Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Magufuli mgeni rasmi mwaka mpya

RAIS John Magufuli anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Mkesha wa kuiombea Amani Tanzania utakaofanyika Desemba 31 katika uwanja wa Taifa. Akizungumza Dar es Salaam jana Mwenyekiti wa Jumuiya ya Makanisa ya Pentekoste (TFC) Godfrey Malassy alisema maandalizi yote yamekamilika ikiwemo kibali kutoka polisi, pamoja washiriki mbalimbali watakaoshiriki katika mkesha huo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

StarTV

Dk. Bilal mgeni rasmi mkesha wa mwaka mpya.

Na Grace Semfuko,

Dar Es Salaam.

 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta Gharib Bilal anatarajia kuwa mgeni rasmi kwenye Mkesha maalum wa mwaka mpya utakaofanyika Desemba 31 Jijini Dar Es Salaam kwa ajili ya kuliombea Taifa amani na utulivu kwa mwaka ujao wa 2015.

 

Mkesha huo ulioandaliwa na kamati maalum ya mikesha ya mwaka mpya tayari maandalizi yake yamekamilika ambapo pia utafanyika kwenye mikoa mingine 16 Nchini na wakuu wa mikoa hiyo watakuwa wageni...

 

10 years ago

Michuzi

Waziri Membe mgeni rasmi kwenye sherehe za kuukaribisha mwaka Mpya waKichina

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard Membe (Mb.) akipokelewa kwa furaha na Balozi wa China hapa nchini Mhe. Dkt. Lu Youqing alipowasili katika hafla ya kuukaribisha mwaka mpya wa Kichina. Waziri Membe amemwakilisha Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, kwenye hafla hiyo ilifanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Mhe. Membe pamoja na Balozi Lu Youqing wakiimba wimbo wa Taifa katika Hafla ya kuukaribisha mwaka...

 

10 years ago

Michuzi

MAGUFULI MGENI RASMI UFUNGUZI WA KAGAME

Waziri wa Ujenzi nchini Tanzania, John Pombe Magufuli anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa michuano ya Kombe la Kagame siku ya Jumamosi, Julai 18 2015 katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.
Magufuli baada ya kufungua rasmi michuano hiyo, atashuhudia mchezo wa ufunguzi rasmi wa mashindano ya Kagame, mechi itakayowakutanisha miamba ya Afrika Mashariki timu ya Yanga dhidi ya Gor Mahia kutoka nchini Kenya.
Michuano ya Kagame inatarajiwa kuanza kutimua vumbi siku ya jumamosi kwa...

 

9 years ago

Habarileo

Magufuli mgeni rasmi Mkesha wa Amani

RAIS John Magufuli anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Mkesha wa kuiombea Amani Tanzania utakaofanyika Desemba 31 mwaka huu katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

 

9 years ago

Michuzi

RAIS JK MGENI RASMI TAMASHA LA KUOMBEA AMANI OKTOBA 4 MWAKA HUU.

Mwenyekiti Kamati ya maandalizi ya Amani kuelekea uchaguzi mkuu, Alex Msama akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam kuhusu ujio wa waimbaji solly Mahlangu wa afrika kusini na Ifeanyi Kelechi wa uingereza. Kwaajili ya kutumbuiza matika tamasha hilo.Aidha Msama amesema kuwa katika Tamasha hilo Mgeni rasmi atakuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Jakaya Mrisho Kikwete. Kulia ni Mratibu wa maandalizi ya Tamasha la  kuombea amani kuelekea Uchaguzi mkuu utakaofanyika...

 

9 years ago

Michuzi

Dkt. Magufuli kuwa Mgeni Rasmi Mkesha wa kuiombea amani Tanzania.

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Makanisa ya Kipentekoste (Tanzania Fellowship of Churches) Askofu Godfrey Malassy (kushoto) akiongea na waandishi wa Habari (hawapo pichani) leo 22 Desemba, katika Ukumbi wa Idara ya Habari jijini Dar es Salaam kuhusu maandalizi ya Mkesha Mkubwa wa Kitaifa wa kuliombea Taifa pamoja na dua maaum ya kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. John Pombe Joseph Magufuli ambaye anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika dua hiyo. Kulia ni Mwanakamati wa Jumuiya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete kuwa mgeni rasmi Bonanza la Maveteran wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki, Aprili 4-5, mwaka huu

DSCN9207

Mwenyekiti wa Klabu ya Maveteran, Mussa Kisoky (katikati) akizungumza na wandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa mkutano wao juu ya Bonanza hilo la Maveteran wa Afrika Mashariki hiyo Aprili 4 hadi 5, mwaka huu. Kushoto kwake ni Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi, Mtemi Ramadhani  na kwa upande wa kulia ni, Lawarence Mwalusako, tukio lililofanyika katika ukumbi wa Idara habari MAELEZO, jijini Dar es Salaam (Picha na Andrew Chale).

DSCN9210

Na Andrew Chale wa Mo dewji blog

RAIS wa Jamhuri ya...

 

9 years ago

Dewji Blog

Rais Magufuli kuwa mgeni rasmi katika Mkesha Mkubwa wa Kitaifa wa kuliombea Taifa

PICHA 2

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Makanisa ya Kipentekoste (Tanzania Fellowship of Churches) Askofu Godfrey Malassy (kushoto) akiongea na waandishi wa Habari (hawapo pichani) leo 22 Desemba, katika Ukumbi wa Idara ya Habari jijini Dar es Salaam kuhusu maandalizi ya Mkesha Mkubwa wa Kitaifa wa kuliombea Taifa pamoja na dua maaum ya kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. John Pombe Joseph Magufuli ambaye anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika dua hiyo. Kulia ni Mwanakamati wa Jumuiya...

 

10 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA WIZARA YA ARDHI,NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI ANGELA KAIRUKI MGENI RASMI SIKU YA WAJANE DUNIANI ITAKAYOFANYIKAJUNI 23 MWAKA HUU.

Mwenyekiti  wa  Chama cha Wajane Tanzania, Rose Sarwatt akizungumza na waandishi  wa habari hawapo pichani  juu maazimisho siku ya wajane Duniani itakayofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja Jeshini jijini Dar es Salaam Juni 23 mwaka huu. Maadhimisho hayo yatalenga  kusaidia wajane kisheria, kupata elimu pale wanapo kwama  kushawishi  jamii kuandaa wosia ili kupunguza  au kuondoa usumbusu. Kulia ni  Katibu Chama cha Wajane Tanzania John Shabani  mkutano huo ulifanyika katika ukumbi wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani