RAIS JK MGENI RASMI TAMASHA LA KUOMBEA AMANI OKTOBA 4 MWAKA HUU.
![](http://2.bp.blogspot.com/-YGnPr3SiL_s/Vgaelsuy_rI/AAAAAAAC_sg/01SdPE4dhEk/s72-c/IMG_9377.jpg)
Mwenyekiti Kamati ya maandalizi ya Amani kuelekea uchaguzi mkuu, Alex Msama akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam kuhusu ujio wa waimbaji solly Mahlangu wa afrika kusini na Ifeanyi Kelechi wa uingereza. Kwaajili ya kutumbuiza matika tamasha hilo.Aidha Msama amesema kuwa katika Tamasha hilo Mgeni rasmi atakuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Jakaya Mrisho Kikwete.
Kulia ni Mratibu wa maandalizi ya Tamasha la kuombea amani kuelekea Uchaguzi mkuu utakaofanyika...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziTAMASHA LA KUOMBEA AMANI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU KUFANYIKA OKTOBA 4 MWAKA HUU.
9 years ago
MichuziMWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI WA AFRIKA KUSINI SIPHO MWAKABANE KUSHIRIKI TAMASHA LA KUOMBEA AMANI OKTOBA 4 MWAKA HUU.
9 years ago
Dewji Blog11 Dec
Makamu wa Rais mgeni rasmi Tamasha la Amani
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion Bw. Alex Msama akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake Kinondoni wakati alipomtangaza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mh. Samia Hassan Suluhu kuwa mgeni rasmi wa Tamasha la Kushukuru kufuatia kufanyika kwa uchaguzi wa amani na utulivu tarehe 25 mwezi Oktoba mwaka huu nchini kote huku nchi ikiendelea kuwa na utulivu na amani ya hali ya juu. Kushoto ni Mratibu Tamasja la Kushukuru masuala ya usalama Bw. Hamisi Pembe
9 years ago
Michuzi10 Dec
MAKAMU WA RAIS MGENI RASMI TAMASHA LA AMANI
![](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/12/msa1.jpg)
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion Bw. Alex Msama akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake Kinondoni wakati alipomtangaza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mh. Samia Hassan Suluhu kuwa mgeni rasmi wa Tamasha la Kushukuru kufuatia kufanyika kwa uchaguzi wa amani na utulivu tarehe 25 mwezi Oktoba mwaka huu nchini kote huku nchi ikiendelea kuwa na utulivu na amani ya hali ya juu. Kushoto ni Mratibu Tamasja la Kushukuru masuala ya usalama Bw. Hamisi Pembe.
10 years ago
Dewji Blog05 Mar
Rais Kikwete kuwa mgeni rasmi Bonanza la Maveteran wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki, Aprili 4-5, mwaka huu
Mwenyekiti wa Klabu ya Maveteran, Mussa Kisoky (katikati) akizungumza na wandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa mkutano wao juu ya Bonanza hilo la Maveteran wa Afrika Mashariki hiyo Aprili 4 hadi 5, mwaka huu. Kushoto kwake ni Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi, Mtemi Ramadhani na kwa upande wa kulia ni, Lawarence Mwalusako, tukio lililofanyika katika ukumbi wa Idara habari MAELEZO, jijini Dar es Salaam (Picha na Andrew Chale).
Na Andrew Chale wa Mo dewji blog
RAIS wa Jamhuri ya...
9 years ago
Habarileo28 Sep
JK mgeni rasmi Tamasha la Amani
RAIS Jakaya Kikwete amekubali kuwa mgeni rasmi katika Tamasha la Kuombea Amani nchini litakalofanyika kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, Jumapili wiki hii. Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya tamasha hilo, Alex Msama, Rais Kikwete amekubali kuwa mgeni rasmi siku hiyo katika tamasha la kuombea amani Tanzania kuelekea katika Uchaguzi Mkuu mwezi ujao.
9 years ago
GPLUZINDUZI WA TAMASHA LA KUOMBEA AMANI TAIFA KUELEKEA UCHAGUZI MKUU KUFANYIKA OKTOBA 4, 2015 UWANJA WA TAIFA, DAR
9 years ago
Dewji Blog30 Aug
Uzinduzi wa Tamasha la kuombea Amani Taifa kuelekea Uchaguzi Mkuu kufanyika Oktoba 4, 2015 Uwanja wa Taifa Jijini Dar
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion, waandaaji wa matamasha mbalimbali kama lile la Krismas na Pasaka, Alex Msama (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari ofisini kwake Dar es Salaam jana asubuhi kuhusu uzinduzi wa Tamasha la kuliombea Taifa kuelekea ucahguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 25 mwaka huu utakaofanyika Oktoba 4, 2015 Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Mjumbe wa Kamati ya maandalizi ya tamasha hilo, Benno Chilele (kushoto), akizungumza katika tamasha...
9 years ago
VijimamboUZINDUZI WA TAMASHA LA KUOMBEA AMANI TAIFA KUELEKEA UCHAGUZI MKUU KUFANYIKA OKTOBA 4, 2015 UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR ES SALAAM
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10