JK mgeni rasmi Tamasha la Amani
RAIS Jakaya Kikwete amekubali kuwa mgeni rasmi katika Tamasha la Kuombea Amani nchini litakalofanyika kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, Jumapili wiki hii. Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya tamasha hilo, Alex Msama, Rais Kikwete amekubali kuwa mgeni rasmi siku hiyo katika tamasha la kuombea amani Tanzania kuelekea katika Uchaguzi Mkuu mwezi ujao.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog11 Dec
Makamu wa Rais mgeni rasmi Tamasha la Amani
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion Bw. Alex Msama akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake Kinondoni wakati alipomtangaza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mh. Samia Hassan Suluhu kuwa mgeni rasmi wa Tamasha la Kushukuru kufuatia kufanyika kwa uchaguzi wa amani na utulivu tarehe 25 mwezi Oktoba mwaka huu nchini kote huku nchi ikiendelea kuwa na utulivu na amani ya hali ya juu. Kushoto ni Mratibu Tamasja la Kushukuru masuala ya usalama Bw. Hamisi Pembe
9 years ago
Michuzi10 Dec
MAKAMU WA RAIS MGENI RASMI TAMASHA LA AMANI

Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion Bw. Alex Msama akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake Kinondoni wakati alipomtangaza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mh. Samia Hassan Suluhu kuwa mgeni rasmi wa Tamasha la Kushukuru kufuatia kufanyika kwa uchaguzi wa amani na utulivu tarehe 25 mwezi Oktoba mwaka huu nchini kote huku nchi ikiendelea kuwa na utulivu na amani ya hali ya juu. Kushoto ni Mratibu Tamasja la Kushukuru masuala ya usalama Bw. Hamisi Pembe.
10 years ago
Michuzi
RAIS JK MGENI RASMI TAMASHA LA KUOMBEA AMANI OKTOBA 4 MWAKA HUU.


11 years ago
Michuzi
Balozi Idd mgeni rasmi kwenye Tamasha la Kuliombea Taifa na Kuhamasisha amani linalofanyika mjini Bagamoyo
Alisema kazi kubwa inayotakiwa kufanywa na Viongozi hao wa Kidini ni kuwaombea watu wakiwemo Viongozi wa Nchi ili Baraka ziongezeke ndani ya Taifa pamojana umma jambo ambalo litasaidia kupunguza misuguano.
Balozi Seif alisema hayo wakati akilifungua Tamasha la...
9 years ago
Habarileo23 Dec
Magufuli mgeni rasmi Mkesha wa Amani
RAIS John Magufuli anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Mkesha wa kuiombea Amani Tanzania utakaofanyika Desemba 31 mwaka huu katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
10 years ago
MichuziMEMBE MGENI RASMI TAMASHA LA PASAKA
9 years ago
Habarileo22 Dec
Nape mgeni rasmi tamasha la Krismasi
WAZIRI wa Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye anatarajiwa kumwakilisha Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kwenye Tamasha la Krismasi litakalofanyika Desemba 25 kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee ,Dar es Salaam.
10 years ago
MichuziMH. MEMBE KUWA MGENI RASMI TAMASHA LA PASAKA
Na Mwandishi Wetu
WAZIRI wa Mambo ya Nje na...
10 years ago
Mtanzania16 Oct
Nehemia Mchechu mgeni rasmi tamasha la ‘mateja’
NA MWANDISHI WETU
MKURUGENZI Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Nehemia Mchechu, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika tamasha la kwaya mbalimbali lenye lengo la kuchangia uanzishwaji wa Kituo cha kusaidia vijana walioathirika na dawa za kulevya.
Tamasha hilo lililoandaliwa na Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Kigogo, litafanyika Jumapili ya Oktoba 18, katika Ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini Dar es Salaam.
Msanii kutoka Kenya, Solomoni Mukubwa, kwaya ya...
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10