MAGUFULI MGENI RASMI UFUNGUZI WA KAGAME
![](http://3.bp.blogspot.com/-LWKWHwJqRYQ/VaTvRiVAuTI/AAAAAAAHpmM/lvLX1biPrFA/s72-c/Magufuli%252BPHOTO.jpg)
Waziri wa Ujenzi nchini Tanzania, John Pombe Magufuli anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa michuano ya Kombe la Kagame siku ya Jumamosi, Julai 18 2015 katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.
Magufuli baada ya kufungua rasmi michuano hiyo, atashuhudia mchezo wa ufunguzi rasmi wa mashindano ya Kagame, mechi itakayowakutanisha miamba ya Afrika Mashariki timu ya Yanga dhidi ya Gor Mahia kutoka nchini Kenya.
Michuano ya Kagame inatarajiwa kuanza kutimua vumbi siku ya jumamosi kwa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo19 Feb
NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE MGENI RASMI UFUNGUZI WA TAASISI YA SHERIA ZA KIMATAIFA
9 years ago
Michuzi14 Nov
Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan mgeni rasmi ufunguzi michezo ya shimmuta Arusha
![](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2015/09/Samia-Suluhu-Hassan.jpg)
Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan
Na Woinde Shizza,Arusha
Michuano ya Shirikisho la Michezo la Mashirika ya Umma, Taasisi na Makampuni Binafsi Tanzania (SHIMMUTA), yanatarajia kuanza kutimua vumbi wiki ijayo jijini Arusha kwa kushirikisha Mikoa Yote Tanzania.
Katibu mkuu wa SHIMMUTA Award Safari alisema kuwa hadi sasa tayari mikoa kadhaa imethibitisha ushiriki wao ikiwemo wenyeji wa mashindano hayo Mkoa wa Arusha na Mikoa mingine ni Dar es salaam, Dodoma, Morogoro, Mbeya na Tanga. ...
9 years ago
Habarileo23 Dec
Magufuli mgeni rasmi Mkesha wa Amani
RAIS John Magufuli anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Mkesha wa kuiombea Amani Tanzania utakaofanyika Desemba 31 mwaka huu katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
9 years ago
Habarileo24 Dec
Magufuli mgeni rasmi mwaka mpya
RAIS John Magufuli anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Mkesha wa kuiombea Amani Tanzania utakaofanyika Desemba 31 katika uwanja wa Taifa. Akizungumza Dar es Salaam jana Mwenyekiti wa Jumuiya ya Makanisa ya Pentekoste (TFC) Godfrey Malassy alisema maandalizi yote yamekamilika ikiwemo kibali kutoka polisi, pamoja washiriki mbalimbali watakaoshiriki katika mkesha huo.
9 years ago
MichuziDkt. Magufuli kuwa Mgeni Rasmi Mkesha wa kuiombea amani Tanzania.
9 years ago
Dewji Blog22 Dec
Rais Magufuli kuwa mgeni rasmi katika Mkesha Mkubwa wa Kitaifa wa kuliombea Taifa
11 years ago
GPLMAMA SHUJAA WA CHAKULA WAINGIA RASMI KIJIJI CHA MAISHA PLUS, PROFESA ANNA TIBAIJUKA MGENI RASMI KATIKA SHEREHE HIZO
10 years ago
Vijimambo09 Jan
TANGAZO MAALUM: UFUNGUZI RASMI WA DARASA LA KISWAHILI DMV.
Uongozi wa Jumuiya ya Watanzania unapenda kuwatangazia watanzania wote wanaoishi maeneo ya Washington DC, Maryland na Virginia kuhusu Madarasa ya Kiswahili yatakayoanza rasmi tarehe 24 January, 2015.
White Oak Community Recreation Center,1700 April Lane, Silver Spring, MD 20904 Kuanzia tarehe 24/1/2015 Saa 9 mchana – 11 Jioni kila Jumamosi
![](http://www.columbiaengineering.com/Lists/Photos/Community/White%20Oak%20Community%20Center.jpg)
Kwa maelezo zaidi wasiliana na viongozi wafuatao:
Rais- Iddy Sandaly (301) 613-5165Makamu wa Rais – Harriet...
10 years ago
GPL![](http://1.bp.blogspot.com/-q6gFJreGttc/VEijVaBkxhI/AAAAAAAAMqU/LvgQ48uRpdY/s1600/IMG-20141023-WA0000.jpg?width=650)