MAMA SHUJAA WA CHAKULA WAINGIA RASMI KIJIJI CHA MAISHA PLUS, PROFESA ANNA TIBAIJUKA MGENI RASMI KATIKA SHEREHE HIZO
Profesa Anna Tibaijuka Waziri wa Nyumba Ardhi na maendeleo ya Makazi wa pili kutoka kulia pamoja na Babu wa Kijiji cha Maisha Plus akiwasalimia akina mama Shujaa wa Chakula ambao wameingia Rasmi Kijiji cha Maisha Plus Jana usiku. Akina Mama Shujaa wa Chakula Wakiwa wanamuimbia wimbo maalum Profesa Anna Tibaijuka Waziri wa Nyumba Ardhi na maendeleo ya Makazi mara baada ya kuwasili Kijijini… ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboSHEREHE YA KUWAKARIBISHA RASMI WASHIRIKI WA SHINDANO LA MAMA SHUJAA WA CHAKULA 2015 KIJIJI CHA MAKUMBUSHO JIJINI DAR, WAINGIA RASMI KAMBINI
11 years ago
MichuziMAMA SHUJAA WA CHAKULA WAINGIA RASMI KIJIJI CHA MAISHA PLUS
10 years ago
MichuziSHINDANO LA MAMA SHUJAA WA CHAKULA MSIMU WA 4 LAANZA RASMI, WAFANYIWA SHEREHE YA UKARIBISHO KIJIJI CHA MAKUMBUSHO DAR
11 years ago
Michuzi21 May
PROFESA ANA TIBAIJUKA AKABIDHI RASMI ZAWADI YAKE YA TSH.9,500,000 MAMA SHUJAA WA CHAKULA
11 years ago
GPLPROFESA ANA TIBAIJUKA AKABIDHI RASMI ZAWADI YAKE YA TSH 9,500,000 MAMA SHUJAA WA CHAKULA
11 years ago
Dewji Blog21 May
Profesa Ana Tibaijuka akabidhi rasmi zawadi yake ya Tsh.9,500,000 kwa Mama Shujaa wa Chakula
Mkurugenzi mtendaji wa DMB ambao ndio wamiliki wa Shindano la Maisha Plus Masoud Ally ‘Kipanya’ akiwa anaendelea kuendesha ratiba wakati wa Sherehe fupi za Waziri wa Nyumba Ardhi na maendeleo ya Makazi Profesa Anna Tibaijuka kukabidhi zawadi kwa washindi wa Mama shujaa wa Chakula pamoja na washiriki wote wa Maisha Plus 2014.
Afisa Mradi wa UKIMWI kutoka OXFAM Ester Mhagama akifungua rasmi sherehe hiyo fupi ya utoaji wa zawadi pamoja na kumkaribisha Mgeni rasmi apate kuongea na Mama...
11 years ago
GPLZOEZI LA KUWACHAGUA WASHIRIKI WA MAISHA PLUS/ MAMA SHUJAA WA CHAKULA LAANZA RASMI
11 years ago
MichuziDKT. SHEIN MGENI RASMI KATIKA HAFLA YA CHAKULA CHA MCHANA KWA WAPIGANAJI WALIOFANIKISHA SHEREHE ZA MIAKA 50 YA MAPINDUZI
11 years ago
Michuzitop 20 ya 'Mama Shujaa wa Chakula' watakaoingia kijiji cha Maisha Plus wikiendi hii
Wanawake hao wenye wasifu tofauti tofauti sasa wataingia katika kijiji cha maisha plus kwa muda wa wiki tatu ikiwa ni katika hatua ya kutafuta mshindi wa shindano hilo ambalo linalenga kuhamasisha jamii juu ya kilimo, hifadhi ya chakula na namna ya kukabiliana na mabadiliko ya...