Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dkt. Magufuli kuwa Mgeni Rasmi Mkesha wa kuiombea amani Tanzania.

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Makanisa ya Kipentekoste (Tanzania Fellowship of Churches) Askofu Godfrey Malassy (kushoto) akiongea na waandishi wa Habari (hawapo pichani) leo 22 Desemba, katika Ukumbi wa Idara ya Habari jijini Dar es Salaam kuhusu maandalizi ya Mkesha Mkubwa wa Kitaifa wa kuliombea Taifa pamoja na dua maaum ya kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. John Pombe Joseph Magufuli ambaye anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika dua hiyo. Kulia ni Mwanakamati wa Jumuiya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Magufuli mgeni rasmi Mkesha wa Amani

RAIS John Magufuli anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Mkesha wa kuiombea Amani Tanzania utakaofanyika Desemba 31 mwaka huu katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

 

9 years ago

Dewji Blog

Rais Magufuli kuwa mgeni rasmi katika Mkesha Mkubwa wa Kitaifa wa kuliombea Taifa

PICHA 2

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Makanisa ya Kipentekoste (Tanzania Fellowship of Churches) Askofu Godfrey Malassy (kushoto) akiongea na waandishi wa Habari (hawapo pichani) leo 22 Desemba, katika Ukumbi wa Idara ya Habari jijini Dar es Salaam kuhusu maandalizi ya Mkesha Mkubwa wa Kitaifa wa kuliombea Taifa pamoja na dua maaum ya kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. John Pombe Joseph Magufuli ambaye anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika dua hiyo. Kulia ni Mwanakamati wa Jumuiya...

 

10 years ago

Michuzi

DKT. SHEIN KUWA MGENI RASMI UTOAJI TUZO ZA TASWA

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohammed Shein anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika utoaji wa tuzo za Wanamichezo Bora Tanzania Ijumaa wiki hii.
Tuzo hizo zinaandaliwa na Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA) na mwaka huu zimedhaminiwa na Selcom Wireless, Said Salim Bakhresa & Co Ltd - Bakhresa Group, IPTL, mifuko ya hifadhi ya jamii, PSPF na NSSF.
TASWA inaishukuru Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa ushirikiano wake na kukubali Rais Dk. Shein...

 

10 years ago

Michuzi

DKT. SHEIN KUWA MGENI RASMI MASHINDANO YA KITAIFA YA RIADHA ZANZIBAR

Mwashungi Tahir-Maelezo Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohammed Shein anatarajiwa kuwa Mgeni rasmi katika mashindano ya Kitaifa ya Riadha ya wilaya ambayo yanatarajiwa kufanyika katika kiwanja cha Amaani Disemba 26-27 mwaka huu.
Mashindano hayo yaliyodhaminiwa na Rais Shein kwa lengo la kukuza sekta ya michezo nchini yametayarishwa na Baraza la michezo la Taifa Zanzibar (BMTZ) kwa kushirikiana na chama cha Riadha (ZAAA) Hayo yameelezwa leo na...

 

11 years ago

Michuzi

AFLEWO KUFANYA MKESHA KWA AJILI YA KUIOMBEA TANZANIA NA AFRIKA


Mchungaji Abel Orgenes (wa kwanza kulia) wa Kanisa la International Evangelism akiongea machache na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati akitangaza mkesha utakaofanywa na Huduma ya AFLEWO ambao utakuwa wa kusifu na kuabudu na maombi kwa ajili ya Afrika na Tanzania. Anayefuatia ni Mchungaji Fred Okello wa Kanisa la Upper Room Ministries Tz, Mchungaji Deo Lubala wa Kanisa la Word Alive pamoja na mwenyeji wao Mchugaji Paul Safari wa Kanisa la Dar es Salaam Pentekoste. Mchungaji Deo...

 

10 years ago

Dewji Blog

Dkt. Shukuru Kawambwa kuwa mgeni rasmi kwenye Harambee ya shule ya Sekondari ya Enaboishu mkoani Arusha

Waziri-wa-Elimu-na-Mafunzo-ya-Ufundi-Dkt.-Shukuru-Kawambwa.

Na Beatrice Lyimo, Maelezo-DSM.

WAZIRI wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Mhe. Dkt. Shukuru Kawambwa (pichani) anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Harambee ya kuchangia kuchangia ujenzi wa nyumba za walimu vyumba vya madarasa na ununuzi wa samani katika shule ya Sekondari ya Enaboishu iliyopo mkoani Arusha.

Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Bodi wa shule hiyo, Bw. Emmanuel Munga wakati alipokuwa akizungumza na waandishi jijini Dar Es Salaam.

Munga amesema kuwa Harambee hiyo inatarajiwa kufanyika...

 

10 years ago

StarTV

Dk. Bilal mgeni rasmi mkesha wa mwaka mpya.

Na Grace Semfuko,

Dar Es Salaam.

 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta Gharib Bilal anatarajia kuwa mgeni rasmi kwenye Mkesha maalum wa mwaka mpya utakaofanyika Desemba 31 Jijini Dar Es Salaam kwa ajili ya kuliombea Taifa amani na utulivu kwa mwaka ujao wa 2015.

 

Mkesha huo ulioandaliwa na kamati maalum ya mikesha ya mwaka mpya tayari maandalizi yake yamekamilika ambapo pia utafanyika kwenye mikoa mingine 16 Nchini na wakuu wa mikoa hiyo watakuwa wageni...

 

9 years ago

Michuzi

BALOZI SEFUE KUWA MGENI RASMI MAADHIMISHO YA SIKU YA WAHANDISI TANZANIA 2015.

 Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Sherehe ya Siku ya Wahandisi  Tanzania mwaka 2015 Prof. Bakari Mwinyiwiwa akiongea na waandishi wa habari kuhusu Maadhimisho ya Siku ya Wahandisi nchini itakayofanyika Septemba 3 mpaka 4 jijini Dar es salaam.Kulia ni Msajili wa Wahandisi nchini Tanzania Muhandisi Steven Mlote na kushoto ni Msajili msaidizi wa Bodi ya Usajili wa Wahandisi Tanzania (ERB) Muhandisi Benedict MukamaMsajili wa Wahandisi nchini Tanzania Muhandisi Steven Mlote...

 

9 years ago

GPL

BALOZI SEFUE KUWA MGENI RASMI MAADHIMISHO YA SIKU YA WAHANDISI NCHINI TANZANIA

Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Sherehe ya Siku ya Wahandisi Tanzania mwaka 2015 Prof.Bakari Mwinyiwiwa akiongea na waandishi wa habari kuhusu Maadhimisho ya Siku ya Wahandisi nchini itakayofanyika Septemba 3 mpaka 4 jijini Dar es salaam.Kulia ni Msajili wa Wahandisi nchini Tanzania Muhandisi Steven Mlote na kushoto ni Msajili msaidizi wa Bodi ya Usajili wa Wahandisi Tanzania (ERB) Muhandisi Benedict Mukama. Msajili wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani