Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AFLEWO KUFANYA MKESHA KWA AJILI YA KUIOMBEA TANZANIA NA AFRIKA


Mchungaji Abel Orgenes (wa kwanza kulia) wa Kanisa la International Evangelism akiongea machache na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati akitangaza mkesha utakaofanywa na Huduma ya AFLEWO ambao utakuwa wa kusifu na kuabudu na maombi kwa ajili ya Afrika na Tanzania. Anayefuatia ni Mchungaji Fred Okello wa Kanisa la Upper Room Ministries Tz, Mchungaji Deo Lubala wa Kanisa la Word Alive pamoja na mwenyeji wao Mchugaji Paul Safari wa Kanisa la Dar es Salaam Pentekoste. Mchungaji Deo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

Dkt. Magufuli kuwa Mgeni Rasmi Mkesha wa kuiombea amani Tanzania.

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Makanisa ya Kipentekoste (Tanzania Fellowship of Churches) Askofu Godfrey Malassy (kushoto) akiongea na waandishi wa Habari (hawapo pichani) leo 22 Desemba, katika Ukumbi wa Idara ya Habari jijini Dar es Salaam kuhusu maandalizi ya Mkesha Mkubwa wa Kitaifa wa kuliombea Taifa pamoja na dua maaum ya kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. John Pombe Joseph Magufuli ambaye anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika dua hiyo. Kulia ni Mwanakamati wa Jumuiya...

 

10 years ago

Michuzi

TANZANIA FELLOWSHIP CHURCHES KUFANYA MKESHA MKUBWA WA KITAIFA KULIOMBEA TAIFA.

                             Na Bakari  Issa,Dar  es Salaam.


Uongozi  wa  Tanzania Fellowship  Churches  unatarajia kufanya mkesha  mkubwa  kitaifa wa kuliombea  Taifa,Desemba 31 katika uwanja wa Taifa jijini  Dar es Salaam.


Mkesha huo una lengo la kuliweka Taifa mbele ya usalama wa Mungu pamoja na kupatikana amani  na utulivu kwa Taifa zima kwa ujumla.


Akithibitisha kuwepo kwa  mkesha huo   kitaifa,Mwenyekiti  wa mkesha  huo kitaifa,Mchungaji  Geodfrey  Mallasy  amesema mkesha huo una lengo ...

 

10 years ago

Mwananchi

Jimy Iyke: Niko tayari kufanya chochote kwa ajili ya watoto

Muonekano wa sura yake na nafasi ambazo mara nyingi hupangiwa kucheza kwenye filamu humfanya kuonekana mwanaume katili na asiye na chembe ya huruma ndani ya moyo wake.

 

11 years ago

Michuzi

Wanamichezo 45 waagwa rasmi kwa ajili ya kwenda nje kufanya maandalizi ya mashindano ya Jumuiya ya Madola

Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernard Membe akizungumza na wanamichezo wanaoenda kuweka kambi katika nchi za New Zealand, Ethiopia, China na Uturuki ikiwa ni maandalizi ya mashindano ya Jumuiya ya Madola mapema mwezi julai. Kushoto ni Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Leornard Thadeo. Kushoto ni Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Leornard Thadeo akifafanua...

 

9 years ago

Michuzi

TIMU YA TAIFA YA PARALYMPIC YAKABIDHIWA VIFAA KWA AJILI MICHEZO YA AFRIKA

 Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Maendeleo ya Vijana kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Juliana Yassoda akiikabidhi Timu ya Taifa ya Paralympic vifaa vya michezo kwa ajili ya kwenda nchini Congo Brazaville kwenye mashindano ya Afrika  (All African Games).Kushoto anayepokea vifaa hivyo ni Kocha wa Timu hiyo Bw. Zaharan Mwenemti. 

 Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Maendeleo ya Vijana kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Juliana Yassoda akiongea na kikosi cha...

 

11 years ago

GPL

HAFRA FUPI YA SHIRIKISHO LA NGUMI ZA RIDHAA TANZANIA KWA AJILI YA KUHAMASISHA MCHEZO WA NGUMI KWA VIJANA TANZANIA

Baadhi ya wachezaji wa timu ya Taifa wa ngumi za Ridhaa pamoja na wadau wengine wa mchezo huo katika Picha ya pamoja, wakati wa hafra hiyo.

Aliyesimama kushoto ni mkurugenzi wa Afrika Mashariki kupitia kinywaji cha Battery Bwana Tony Misokia akiwa anaongea na wananchi walioshiriki katika Hafra hiyo.…

 

9 years ago

Mtanzania

Wabunifu wa mavazi waungana kuiombea amani Tanzania

martinkadindaNA CHRISTOPHER MSEKENA

WABUNIFU wa mavazi nchini, Mustafa Hassanali, Kiki Zimba na Martin Kadinda wameungana kwa ajili ya kufanya onyesho la mavazi la kuiombea amani nchi ‘Fashion For Peace’ kabla ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25, mwaka huu.

Onyesho hilo litafanyika Jumamosi kwenye Ukumbi wa King Solomon, Dar es Salaam kuanzia saa mbili usiku.

“Hekima, Umoja na Amani ndio ngao zetu, ni muhimu kwetu vijana kuhakikisha tunadumisha na kulinda amani yetu tuliyoirithi kutoka kwa mababu zetu,”...

 

10 years ago

Michuzi

TIMU YA WATU 39 KUTOKA AFRIKA KUSINI WAPNDA MLIMA KILIMANJARO KUCHANGISHA FEDHA KWA AJILI YA KUSAIDIA KUNUNUA TAULO MAALUMU KWA WASICHANA WALIOPO MASHULENI PINDI WAWAPO KATIKA HEDHI

Mwanzilishi wa taasisi ya Imbumba Foundation ,Richard Mabaso akizungumza lengo la safari hiyo ya kupanda Mlima Kilimanjaro ijulikanao kama Trek4 Mandela ambayo ni mahususi kwa ajili ya kuchangisha fedha zausaidia wasichana walioko mashuleni.
Mkurugenzi mkuu wa Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) Allan Kijazi akizungumza wakati wa hafla hiyo.
Washiriki wa Changamoto hiyo wakiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Hifadhi za Taifa Tanzania,Allan Kijazi.
Katika timu hiyo wamo wakurugenzi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani