Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wabunifu wa mavazi waungana kuiombea amani Tanzania

martinkadindaNA CHRISTOPHER MSEKENA

WABUNIFU wa mavazi nchini, Mustafa Hassanali, Kiki Zimba na Martin Kadinda wameungana kwa ajili ya kufanya onyesho la mavazi la kuiombea amani nchi ‘Fashion For Peace’ kabla ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25, mwaka huu.

Onyesho hilo litafanyika Jumamosi kwenye Ukumbi wa King Solomon, Dar es Salaam kuanzia saa mbili usiku.

“Hekima, Umoja na Amani ndio ngao zetu, ni muhimu kwetu vijana kuhakikisha tunadumisha na kulinda amani yetu tuliyoirithi kutoka kwa mababu zetu,”...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

WABUNIFU WA MAVAZI NCHINI WAKUSANYA NGUVU KWA PAMOJA KUHUBIRI JUU YA UMUHIMU WA AMANI

Mbunifu wa Mavazi nchini, Mustafa Hassanali akizungumza na  Waandishi wa Habari hawapo pichani juu ya umuhimu wa Amani hususani katika kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25, Mwaka huu na kusisitiza onyesho la mavazi litakalo fanyika tarehe Oktoba  17 Mwaka huu katika ukumbi wa King Solomon uliopo Eater Point Namanga, ambalo litakaloonyesha kazi za wa wabunifu mbalimbali kama Kiki Zimba pamoja na Martin Kadinda. Baadhi ya Waandishi wa Habari wakisikiliza kwa makini taarifa iliyokuwa inatolewa...

 

9 years ago

Michuzi

Dkt. Magufuli kuwa Mgeni Rasmi Mkesha wa kuiombea amani Tanzania.

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Makanisa ya Kipentekoste (Tanzania Fellowship of Churches) Askofu Godfrey Malassy (kushoto) akiongea na waandishi wa Habari (hawapo pichani) leo 22 Desemba, katika Ukumbi wa Idara ya Habari jijini Dar es Salaam kuhusu maandalizi ya Mkesha Mkubwa wa Kitaifa wa kuliombea Taifa pamoja na dua maaum ya kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. John Pombe Joseph Magufuli ambaye anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika dua hiyo. Kulia ni Mwanakamati wa Jumuiya...

 

10 years ago

Michuzi

MAMA TUNU PINDA AYAOMBA MADHEHEBU YOTE NCHINI KUIOMBEA AMANI TANZANIA

Mke wa Waziri Mkuu Tunu Pinda akiwahutubia waumini wakanisa katoliki Yombo Vituka wakati washerehe ya Kumkumbuka Bikira Maria iliyo andaliwa na umoja wa wanawake wakatoliki WAWATA Dekania ya Ukonga,Mama Pinda alitumia nafasi hiyo kuwaomba waTanzania kuendelea kudumisha amani iliyopo kwani kuna nchi nyingine zinamatatizo hata hawawezi kupata nafasi ya kuhudhuria ibada kutokana na vita vya wenyewe kwa wenyewe.Mama Tunu Pinda akinunua sanamu ya mfano wa Bikira Maria ambayo ilikwa inauzwa katika...

 

11 years ago

Mwananchi

Wabunifu mavazi wazingatie rika zote

Moja ya mambo yaliyotawala ubongo wa binadamu ni ubinafsi. Binadamu yeyote kabla ya kuangalia jinsi anavyoweza kuchangia katika maisha ya mwenzake, hujiangalia kwanza yeye kama amejitosheleza.

 

9 years ago

Dewji Blog

Maonyesho ya Mavazi Kuhamasisha Amani Tanzania kufanyika Oktoba 17 Dar

20151006142603450_640_905_1_0

FASHION FOR PEACE: Fashion Show on Saturday 17th October at 8PM at King Solomon Hall (Behind Eaters Point, Namanga) Dar es Salaam, Tanzania.

GET YOUR TICKET: +255767123055 www.mustafahassanali.net

 

 

 

9 years ago

StarTV

Viongozi wa dini wahimizwa kuiombea nchi amani

Serikali wilayani Meatu katika mkoa wa Simiyu imewataka viongozi wa madhehebu ya dini kuendelea kuiombea nchi amani katika kipindi hiki cha uchaguzi ili kufanya wa amani na haki.

Aidha viongozi hao wametakiwa kuacha upendeleo kwa chama kimoja cha siasa na badala yake watoe haki sawa kwa vyama vyote vilivyosimamisha wagombea katika wilaya hiyo.

Wito huo umetolewa na mkuu wa wilaya ya Meatu Erasto Sima katika uzinduzi wa mkutano mkubwa wa Injili unaofanyika katika mji wa Mwanhuzi wilayani humo...

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Dua ya kuiombea Zanzibar amani na utulivu katika kipindi cha uchaguzi

Na: Hassan Hamad, OMKR Waislamu mbali mbali wakiongozwa na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, leo wamekusanyika katika viwanja vya Maisara mjini Zanzibar kwa ajili ya kuomba dua ya kuiombea […]

The post Dua ya kuiombea Zanzibar amani na utulivu katika kipindi cha uchaguzi appeared first on Mzalendo.net.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani