WABUNIFU WA MAVAZI NCHINI WAKUSANYA NGUVU KWA PAMOJA KUHUBIRI JUU YA UMUHIMU WA AMANI

Mbunifu wa Mavazi nchini, Mustafa Hassanali akizungumza na Waandishi wa Habari hawapo pichani juu ya umuhimu wa Amani hususani katika kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25, Mwaka huu na kusisitiza onyesho la mavazi litakalo fanyika tarehe Oktoba 17 Mwaka huu katika ukumbi wa King Solomon uliopo Eater Point Namanga, ambalo litakaloonyesha kazi za wa wabunifu mbalimbali kama Kiki Zimba pamoja na Martin Kadinda.
Baadhi ya Waandishi wa Habari wakisikiliza kwa makini taarifa iliyokuwa inatolewa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
10 years ago
Mtanzania16 Oct
Wabunifu wa mavazi waungana kuiombea amani Tanzania
NA CHRISTOPHER MSEKENA
WABUNIFU wa mavazi nchini, Mustafa Hassanali, Kiki Zimba na Martin Kadinda wameungana kwa ajili ya kufanya onyesho la mavazi la kuiombea amani nchi ‘Fashion For Peace’ kabla ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25, mwaka huu.
Onyesho hilo litafanyika Jumamosi kwenye Ukumbi wa King Solomon, Dar es Salaam kuanzia saa mbili usiku.
“Hekima, Umoja na Amani ndio ngao zetu, ni muhimu kwetu vijana kuhakikisha tunadumisha na kulinda amani yetu tuliyoirithi kutoka kwa mababu zetu,”...
9 years ago
Michuzi
11 years ago
Mwananchi31 May
Wabunifu mavazi wazingatie rika zote
10 years ago
Habarileo15 Jul
Viongozi wa dini watakiwa kuungana kuhubiri amani
VIONGOZI wa dini nchini, wametakiwa kuwa kitu kimoja kuhubiri amani katika kipindi cha kuelekea kwenye uchuguzi mkuu.
10 years ago
Habarileo11 Jan
Kikwete awataka viongozi wa dini kuhubiri amani
RAIS Jakaya Kikwete amewataka viongozi wa dini kote nchini kuhakikisha wanasimamia na kuhubiri amani ili kufanikisha upigaji kura wa Katiba Inayopendekezwa unaofanyika Aprili mwaka huu.
11 years ago
Tanzania Daima25 Mar
WABUNIFU, WAKADIRIAJI MAJENZI: Fani nyeti isiyopewa umuhimu
HIVI karibuni Bodi ya Usajili ya Wabunifu na Wakadiriaji Majenzi (AQRB) iliandaa semina ya siku mbili mkoani Mbeya. Semina hiyo iliwashirikisha zaidi ya wanataaluma 600 kutoka mikoa mbalimbali, lengo likiwa...
11 years ago
Dewji Blog16 Sep
Balozi Seif Iddi awataka viongozi wa dini kuhubiri amani
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiingia ndani ya Ukumbi wa Masai Laugwa Wilaya ya Bagamoyo kuzindua Tamasha la Kuliombea Taifa Amani lililoandaliwa na Kanisa la Restoration { Restoration Bible Church }.Kulia kwa Balozi Seif ni Makamu Askofu Mkuu wa Restoration Bible Church Tanzania Askofu Sedrick Ndonde na kushoto kwake ni Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Nd. Ahmed Kipozi.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alisema Viongozi wa Kidini wanapaswa kuwa...
10 years ago
MichuziMUFT MKUU WA ZANZIBAR ASISITIZA MASHEKH NA WALIMU KUHUBIRI AMANI