Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MUFT MKUU WA ZANZIBAR ASISITIZA MASHEKH NA WALIMU KUHUBIRI AMANI

Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kaabi wakwanza kushoto akitoa maelezo juuya haki za binaadamu  kwa mujibu wa Uislam wakati alipokuwa akifunguwa Mafunzo ya Haki za Binaadamu na kuwatambulisha wasaidizi wa Sheria kwa Viongozi wa Dini, katikati ni Mkurugenzi Mtendaji Harusi Miraji na mwisho Jina Mwinyi Waziri Afisa Mipango wa Kituo cha Huduma na Sheria.Sheikh Thabit Nooman Jongo kutoka Afisi ya Mufti Zanzibar akiwafahamisha jambo washiriki wa mafunzo ya Haki za Binaadamu katika Ukumbi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Viongozi wa dini watakiwa kuungana kuhubiri amani

VIONGOZI wa dini nchini, wametakiwa kuwa kitu kimoja kuhubiri amani katika kipindi cha kuelekea kwenye uchuguzi mkuu.

 

10 years ago

Habarileo

Kikwete awataka viongozi wa dini kuhubiri amani

Rais Jakaya Kikwete.RAIS Jakaya Kikwete amewataka viongozi wa dini kote nchini kuhakikisha wanasimamia na kuhubiri amani ili kufanikisha upigaji kura wa Katiba Inayopendekezwa unaofanyika Aprili mwaka huu.

 

10 years ago

Dewji Blog

Balozi Seif Iddi awataka viongozi wa dini kuhubiri amani

581

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiingia ndani ya Ukumbi wa Masai Laugwa Wilaya ya Bagamoyo kuzindua Tamasha la Kuliombea Taifa Amani lililoandaliwa na Kanisa la Restoration { Restoration Bible Church }.Kulia kwa Balozi Seif ni Makamu Askofu Mkuu wa Restoration Bible Church Tanzania Askofu Sedrick Ndonde na kushoto kwake ni Mkuu wa Wilaya ya  Bagamoyo Nd. Ahmed Kipozi.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alisema Viongozi wa Kidini wanapaswa kuwa...

 

9 years ago

Michuzi

WABUNIFU WA MAVAZI NCHINI WAKUSANYA NGUVU KWA PAMOJA KUHUBIRI JUU YA UMUHIMU WA AMANI

Mbunifu wa Mavazi nchini, Mustafa Hassanali akizungumza na  Waandishi wa Habari hawapo pichani juu ya umuhimu wa Amani hususani katika kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25, Mwaka huu na kusisitiza onyesho la mavazi litakalo fanyika tarehe Oktoba  17 Mwaka huu katika ukumbi wa King Solomon uliopo Eater Point Namanga, ambalo litakaloonyesha kazi za wa wabunifu mbalimbali kama Kiki Zimba pamoja na Martin Kadinda. Baadhi ya Waandishi wa Habari wakisikiliza kwa makini taarifa iliyokuwa inatolewa...

 

9 years ago

Habarileo

Migiro asisitiza amani

WAZIRI wa Katiba na Sheria, Dk Asha-Rose Migiro, amewataka Watanzania kukataa kugawanywa kwa misingi ya dini na itikadi za vyama vya siasa, badala yake waendelee kulinda amani taifa livuke salama katika uchaguzi mkuu.

 

9 years ago

Habarileo

JK asisitiza uchaguzi wa amani

TANZANIA imeendelea kusisitiza kuwa, Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge, Wawakilishi, Madiwani na Masheha unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, mwaka huu utafanyika kwa amani na utulivu ambapo Watanzania watakuwa na uhuru wa kupiga kura bila woga kuwachagua viongozi wanaowataka.

 

9 years ago

Vijimambo

DUA YA KUIOMBEA NCHI AMANI NA UTULIVU KATIKA UCHAGUZI MKUU UJAO YAFANYIKA ZANZIBAR

 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akisalimiana na mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya ADC Bw. Hamad Rashid Mohamed, baada ya kushiriki kwenye dua ya kuiombea nchi amani wakati wa uchaguzi, iliyofanyika viwanja vya Maisara Mjini Zanzibar.Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi, akisoma dua kabla ya kuanza kisomo maalum cha kuiombea nchi amani, katika viwanja vya Maisara mjini Zanzibar.Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani