Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WILLIAM NGELEJA AWATAKA VIONGOZI WA KIROHO KUIOMBEA AMANI NA UTULIVU TANZANIA,AKIRI BUNGE LA KATIBA LIMEWAKOSEA WANANCHI

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

KAMISHNA WA POLISI ZANZIBAR AWATAKA VIONGOZI WA SIASA NA WANANCHI KUDUMISHA AMANI NA UTULIVU WAKATI WA KAMPENI

Kamishna wa Polisi Zanzibar Hamdan Omar Makame akizungumza na waandishi wa habari wa habari wa vyombo mbalimbali vilioko Zanzibar wakati akitowa Taarifa kwa waandishi wa habari kuhusiana na wakati wa kuanza kwa kampeni za Uchaguzi Mkuu hivi karibuni kuwataka Viongozi wa Vyama vya Siasa na Wananchi kufanya kampeni kwa Amani na Utulivu kwa kipindi chote na wakati wa kutolewa kwa matokeo ya Uchaguzi. mkutano huo umefanyika Makao Makuu ya Polisi Kilimani Zanzibar Makamanda wa Jeshi la Polisi...

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Dua ya kuiombea Zanzibar amani na utulivu katika kipindi cha uchaguzi

Na: Hassan Hamad, OMKR Waislamu mbali mbali wakiongozwa na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, leo wamekusanyika katika viwanja vya Maisara mjini Zanzibar kwa ajili ya kuomba dua ya kuiombea […]

The post Dua ya kuiombea Zanzibar amani na utulivu katika kipindi cha uchaguzi appeared first on Mzalendo.net.

 

9 years ago

Vijimambo

MKUU WA MKOA WA DODOMA AWATAKA VIONGOZI WA DINI KUSISITIZA AMANI NA UTULIVU WAKATI WA UCHAGUZI MKUU OKTOBA 25

 Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Chiku Gallawa akifungua Mkutano wa viongozi wa dini mkoani Dodoma uliojadili masuala ya amani na utulivu wakati wa  uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 25 mwaka huu.Picha na John Banda Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma SACP David Misime akifafanua jinsi jeshi la polisi Dodoma lilivyojipanga kusimamia amani na utulivu wakati wa uchaguzi mkuu utakaofanyika oktoba 25 mwaka huu kwenye kikao cha viongozi wa dini kilichoitishwa na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma.
  Viongozi wa dini...

 

9 years ago

Vijimambo

DUA YA KUIOMBEA NCHI AMANI NA UTULIVU KATIKA UCHAGUZI MKUU UJAO YAFANYIKA ZANZIBAR

 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akisalimiana na mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya ADC Bw. Hamad Rashid Mohamed, baada ya kushiriki kwenye dua ya kuiombea nchi amani wakati wa uchaguzi, iliyofanyika viwanja vya Maisara Mjini Zanzibar.Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi, akisoma dua kabla ya kuanza kisomo maalum cha kuiombea nchi amani, katika viwanja vya Maisara mjini Zanzibar.Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif...

 

9 years ago

StarTV

Viongozi wa dini wahimizwa kuiombea nchi amani

Serikali wilayani Meatu katika mkoa wa Simiyu imewataka viongozi wa madhehebu ya dini kuendelea kuiombea nchi amani katika kipindi hiki cha uchaguzi ili kufanya wa amani na haki.

Aidha viongozi hao wametakiwa kuacha upendeleo kwa chama kimoja cha siasa na badala yake watoe haki sawa kwa vyama vyote vilivyosimamisha wagombea katika wilaya hiyo.

Wito huo umetolewa na mkuu wa wilaya ya Meatu Erasto Sima katika uzinduzi wa mkutano mkubwa wa Injili unaofanyika katika mji wa Mwanhuzi wilayani humo...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mhe. Sitta apewa pongezi kwa kuliendesha Bunge Maalum la Katiba kwa utulivu na amani

PIX 1.

Sheikh Hemed Jalala akizungumza na Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba (hayupo pichani) wakati alipotembelea Bunge Maalum leo 03 Septemba, 2014 kwa ajili ya kumpongeza kwa kazi kubwa na nzuri anayoifanya.

Na Magreth Kinabo, Dodoma.

BAADHI ya viongozi wa dini wamempongeza Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta kwa kitendo chake cha kuliendesha Bunge  hilo vizuri katika hali ya utulivu na amani.

Kauli hiyo imetolewa leo na  Sheikh Hemed Jalala kutoka Msikiti wa Ghadiir...

 

11 years ago

Michuzi

MAMA MARIA NYERERE AWAOMBA WAKE WA VIONGOZI KUENDELEA KUIOMBEA NCHI IENDELEE KUWA NA AMANI NA MAENDELEO

Mama Maria Nyerere akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wana kikundi cha (NEW MELLENIUM WOMEN GROUP) ambao ni wake wa viongozi kushoto ni Mke wa Waziri wa Utalii na Maliasili Faraja Kota kulia ni Mke wa Waziri wa Ulinzi na jeshi la Kujenga Taifa Mariam Mwinyi walifika nyumbani kwake Msasani kumtembelea nakumjulia hali kutokana na mchango wake mkubwa ambao aliutoa katika kumsaidia Baba wa taifa Mwalimu Juliasi Nyerere kuwaongoza Watanzania nakudumisha amani na upendo kwa makabila...

 

9 years ago

Dewji Blog

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo Ndani awataka Wakimbizi wa Nyarugusu wadumishe Amani na Utulivu

PICHA 1

Mkurugenzi  wa  Idara  ya Wakimbizi  kutoka  Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Harrison Mseke (kushoto) akizungumza  na watumishi wa mashirika  mbalimbali yaliyoko katika kambi ya Wakimbizi ya Nyarugusu iliyoko wilayani Kasulu mkoani Kigoma (hawapo pichani) wakati wa ziara ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakil (kulia) aliyetembelea kambi hiyo jana.

PICHA 2

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakil (kulia), akizungumza na watumishi...

 

10 years ago

Michuzi

Mangula awataka viongozi wa dini wasiwapotoshe wananchi kuhusiana na kuwapo kwa masuala ya dini katika katiba pendekezwa

Makamu Mwenyekiti wa CCM bara, Philip Mangulla akizungumza na wanafunzi na waalimu wa shule ya Hagafilo mkoani Njombe kuhusiana na katiba pendekezwa na utofauti kati ya katiba pendekezwa na ya sasa. wanafunzi na waalimu wakimsikiliza Makamu mwenyekiti wa CCM bara Philip Mangula juzi wakati akiwapa ufafanuzi wa katiba Pendekezwa.(picha na furaha eliabu wa www.eliabu.blogspot.com)
Na Furaha Eliab, Njombe
MAKAMU mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) - Bara, Philip Mangula amesema kuwa viongozi...

 

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani