TANZANIA FELLOWSHIP CHURCHES KUFANYA MKESHA MKUBWA WA KITAIFA KULIOMBEA TAIFA.
Na Bakari Issa,Dar es Salaam.
Uongozi wa Tanzania Fellowship Churches unatarajia kufanya mkesha mkubwa kitaifa wa kuliombea Taifa,Desemba 31 katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Mkesha huo una lengo la kuliweka Taifa mbele ya usalama wa Mungu pamoja na kupatikana amani na utulivu kwa Taifa zima kwa ujumla.
Akithibitisha kuwepo kwa mkesha huo kitaifa,Mwenyekiti wa mkesha huo kitaifa,Mchungaji Geodfrey Mallasy amesema mkesha huo una lengo ...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog22 Dec
Rais Magufuli kuwa mgeni rasmi katika Mkesha Mkubwa wa Kitaifa wa kuliombea Taifa
10 years ago
GPLMKESHA MKUU WA KULIOMBEA DUA TAIFA KUFANYIKA DESEMBA 31-2014 UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR
10 years ago
MichuziMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ALIHUTUBIA TAIFA KWENYE TAMASHA LA MKESHA WA KULIOMBEA TAIFA,JIJINI DAR
10 years ago
GPLMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ALIHUTUBIA TAIFA KWENYE TAMASHA LA MKESHA WA KULIOMBEA TAIFA, JIJINI DAR
10 years ago
GPLMAANDALIZI YA MKESHA KULIOMBEA TAIFA YAKAMILIKA
10 years ago
MichuziMKESHA WA KULIOMBEA TAIFA KUFANIYIKA JIJINI DAR DESEMBA 31,2014
10 years ago
MichuziMKUU WA MKOA WA DODOMA AFUNGUA MKUTANO WA KITAIFA WA KANISA MORAVIAN TANZANIA, ATAKA KANISA KULIOMBEA TAIFA
9 years ago
CCM Blog![](http://1.bp.blogspot.com/-jN7bU6x2yv0/VoYhAFIGtlI/AAAAAAAAs1Y/BWx9tCEdb9Y/s72-c/31.jpg)
MKESHA WA KULIOMBEA TAIFA NA VIONGOZI WAKE WAFANA JIJINI DAR ES SALAAM
![](http://1.bp.blogspot.com/-jN7bU6x2yv0/VoYhAFIGtlI/AAAAAAAAs1Y/BWx9tCEdb9Y/s640/31.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-VC2Ituezsfo/VoYhC95yB7I/AAAAAAAAs1o/oWDIvRnkbU0/s640/6.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-dBIsJ7udlpM/VoYg6ZcsQzI/AAAAAAAAs1Q/cvx2liQcBH8/s640/12.jpg)
Viongozi wakiwa wameshikana mikono wakati wa maombi maalum kwa Taifa na Viongozi...
10 years ago
Dewji Blog01 Jan
Makamu wa Rais Dkt. Bilal alihutubia kwenye tamasha la mkesha wa kuliombea taifa
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na wananchi alipowasili Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam jana usiku Disemba 31, 2014/2015 kwa ajili ya kuhudhuria Tamasha la mkesha wa Mwaka Mpya na Dua maalum ya kuliombea Taifa.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia Taifa kwenye Tamasha la Mkesha wa mwaka mpya wa 2015 iliyofanyika Disemba 31, 2014/2015 usiku wa kuamkia mwaka mpya...