HAFRA FUPI YA SHIRIKISHO LA NGUMI ZA RIDHAA TANZANIA KWA AJILI YA KUHAMASISHA MCHEZO WA NGUMI KWA VIJANA TANZANIA
Baadhi ya wachezaji wa timu ya Taifa wa ngumi za Ridhaa pamoja na wadau wengine wa mchezo huo katika Picha ya pamoja, wakati wa hafra hiyo. Aliyesimama kushoto ni mkurugenzi wa Afrika Mashariki kupitia kinywaji cha Battery Bwana Tony Misokia akiwa anaongea na wananchi walioshiriki katika Hafra hiyo.…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili07 Apr
Shirikisho la ngumi Tanzania lina ukata.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-bPFYxSmYd8Q/XrLLWCBbzCI/AAAAAAALpTE/L2Y6bLsI6CUeskg7eNI9OC02j_y6K4BQACLcBGAsYHQ/s72-c/01.jpg)
Mchezo wa Ngumi Warejesha Heshima ya Tanzania Kimataifa
![](https://1.bp.blogspot.com/-bPFYxSmYd8Q/XrLLWCBbzCI/AAAAAAALpTE/L2Y6bLsI6CUeskg7eNI9OC02j_y6K4BQACLcBGAsYHQ/s640/01.jpg)
akizungumza na Wachezaji wa timu ya Taifa ya Mpira wa Miguu Taifa Stars
ambao walifika Ikulu Machi 25, 2019 mara baada ya kufanikiwa kufuzu kushiriki Fainali za michuano ya Mataifa ya Africa AFCON baada ya kuifunga Timu ya Taifa ya Uganda The Cranes magoli 3-0 jijini Dar es Salaam.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/05/02-1.jpg)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli
akiwa na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa,...
10 years ago
BBCSwahili10 Mar
Mchezo wa ngumi bado marufuku Zanzibar
11 years ago
Michuzi19 Feb
MCHEZO WA NGUMI KUHAMIA WILAYANI KISARAWE APRIL 26
Bondia Mbaruku Heri (kushoto) akimkabidhi barua ya maombi ya kuhamasisha mchezo wa masumbwi katika Wilaya ya Kisarawe Mwenyekiti wa halimashauri ya Wilaya ya Kisarawe, Adam Ng'imba (kulia)
ambapo imepagwa April 26 kutakuwa na ngumi za wazi kwa ajili ya kuhamasisha mchezo huo uliopotea wilayani humo. wengine wa pili kushoto ni Masudi Bakari na Saidi Chaku.
10 years ago
BBCSwahili01 May
Tanzania kuongeza makocha timu ya ngumi
10 years ago
BBCSwahili02 Apr
Timu ya ngumi Tanzania 2015, yatajwa.
10 years ago
MichuziWARSHA KATIKA HOTEL YA GOLD CREST JIJINI MWANZA KWA AJILI KUHAMASISHA NA KUJENGA UWEZO WA KUJUMUISHA MASUALA YA VIJANA KATIKA MIPANGO YA MAENDELEO YA MKOA NA WILAYA
Warsha hiyo inafanyika katika vituo vya Mwanza na Musoma. Katika kituo cha Mwanza warsha inafanyika tarehe 8 na 9 Juni 2015, kituo ambacho kinajumuisha Sekretarieti ya Mkoa na Halmashauri za mikoa ya Mwanza,...
10 years ago
Vijimambo26 Feb
Mwanafunzi aua mwenzake kwa ngumi.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Longinus-26Feb2015.jpg)
Mwanafunzi wa Shule ya Msingi Ilola, Kata ya Ilola Itwangi, Wilaya ya Shinyanga Vijijini, mkoani hapa, mwenye umri umri wa miaka 12 (jina lake linahifadhiwa kutokana na umri wake), anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kumuua mwenzake kwa kumpiga ngumi kichwani na kuangukia kisogo, wakati wakigombea daftari waliloazima.
Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, Longinus Tibishubwamu, jana alisema tukio hilo lilitokea juzi saa...