Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MCHEZO WA NGUMI KUHAMIA WILAYANI KISARAWE APRIL 26


Bondia Mbaruku Heri (kushoto) akimkabidhi barua ya maombi ya kuhamasisha mchezo wa masumbwi katika Wilaya ya Kisarawe Mwenyekiti wa halimashauri ya Wilaya ya Kisarawe, Adam Ng'imba  (kulia)
ambapo imepagwa April 26 kutakuwa na ngumi za wazi kwa ajili ya kuhamasisha mchezo huo uliopotea wilayani humo. wengine wa pili kushoto ni Masudi Bakari na Saidi Chaku.
Mwenyekiti wa halimashauri ya Wilaya ya Kisarawe, Adam Ng'imba (kushoto) akitaniana na Masudi Bakari mara baada ya kuletewa barua kwa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

HAFRA FUPI YA SHIRIKISHO LA NGUMI ZA RIDHAA TANZANIA KWA AJILI YA KUHAMASISHA MCHEZO WA NGUMI KWA VIJANA TANZANIA

Baadhi ya wachezaji wa timu ya Taifa wa ngumi za Ridhaa pamoja na wadau wengine wa mchezo huo katika Picha ya pamoja, wakati wa hafra hiyo.

Aliyesimama kushoto ni mkurugenzi wa Afrika Mashariki kupitia kinywaji cha Battery Bwana Tony Misokia akiwa anaongea na wananchi walioshiriki katika Hafra hiyo.…

 

10 years ago

BBCSwahili

Mchezo wa ngumi bado marufuku Zanzibar

Mchezo wa Ngumi za Mateke (Kick Boxing) bado umeendelea kupigwa marufuku katika visiwa vya Zanzibar.

 

5 years ago

Michuzi

Mchezo wa Ngumi Warejesha Heshima ya Tanzania Kimataifa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza na Wachezaji wa timu ya Taifa ya Mpira wa Miguu Taifa Stars
ambao walifika Ikulu Machi 25, 2019 mara baada ya kufanikiwa kufuzu kushiriki Fainali za michuano ya Mataifa ya Africa AFCON baada ya kuifunga Timu ya Taifa ya Uganda The Cranes magoli 3-0 jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli
akiwa na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa,...

 

10 years ago

Michuzi

SHINDANO LA MAMA SHUJAA LAZINDULIWA WILAYANI KISARAWE


Na Mwandishi WetuMkuu wa Wilaya ya Kisarawe Mh.Subira Mgalu amezindua Shindano la Mama Shujaa wa Chakula linaloendeshwa na Shirika lisilo la kiserikali la Oxfam kupitia kampeni ya Grow lenye lengo la Kumuwezesha Mwanamke katika kilimo na kumkwamua kiuchumi.
Subira ameyasema hayo wakati wa uzinduzi wa kampeni ya kumwezesha mwanamke katika kilimo na kumkwa mwanamke kiuchumi iliyofanyika  katika kijiji cha Kisanga wilayani Kisarawe mkoani Pwani.
Subira amesema kufanyika kwa mashindano wilayani...

 

10 years ago

Michuzi

JWTZ LAFAFANUA MGOGORO WA ARDHI TONDORONI WILAYANI KISARAWE

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania linapenda kutoa taarifa kwa wananchi na Vyombo vya Habari kuhusu mgogoro wa eneo la TONDORONI lililopo katika Wilaya ya Kisarawe kama ilivyokaririwa na baadhi ya Vyombo vya Habari hapa nchini.Taarifa zilizotolewa na kukaririwa na baadhi ya Vyombo vya Habari kwamba Wanajeshi wametumia nguvu kuwatoa wananchi eneo la TONDORONI na baadhi yao kudai kupotelewa na mali zao siyo za kweli na ni za kuwapotosha wananchi kwa sababu wananchi hao walitaarifiwa...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI ZUNGU AFANYA ZIARA MACHIMBO YA MADINI YA KAOLIN WILAYANI KISARAWE

 Waziri wa nchi ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira ) Mussa Azzan Zungu akiambatana na Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Mhe. Jokate Mwegelo, viongozi wa kamati ya ulinzi na usalama pamoja na viongozi wengine mara baada ya kuwasili eneo la machimbo ya madini ya Kaolin wilayani Kisarawe. Waziri wa Nchi ofisi ya Makamu wa Rais( Muungano na Mazingira) Mhe. Mussa Azzan Zungu amefanya ziara katika eneo la machimbo ya madini ya kaolin yanayomilikiwa na kampuni ya Rakkadlin Co. Ltd wilayani...

 

10 years ago

Michuzi

WAWEKEZAJI KUTOKA CHINA WAVUTIWA NA ENEO LA VIWANDA WILAYANI KISARAWE MKOANI PWANI

 Kibao kinacho elekeza eneo la mradi wa viwanda wilayani Kisarawe mkoani Pwani lililopo Visegese. Mradi huo unaendeshwa na Halmshauri hiyo na wabia wa Kampuni ya World Map Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), Brendan Maro (kushoto), akizungumza na viongozi wa Halmshauri ya Wilaya ya Kisarawe,  Wabia wa eneo la mradi wa Kampuni ya World Map  na wawekezaji kutoka nchini China waliofika wilayani humo jana kuangalia fursa za kuwekeza viwanda katika eneo hilo....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani