WAWEKEZAJI KUTOKA CHINA WAVUTIWA NA ENEO LA VIWANDA WILAYANI KISARAWE MKOANI PWANI
Kibao kinacho elekeza eneo la mradi wa viwanda wilayani Kisarawe mkoani Pwani lililopo Visegese. Mradi huo unaendeshwa na Halmshauri hiyo na wabia wa Kampuni ya World Map
Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), Brendan Maro (kushoto), akizungumza na viongozi wa Halmshauri ya Wilaya ya Kisarawe, Wabia wa eneo la mradi wa Kampuni ya World Map na wawekezaji kutoka nchini China waliofika wilayani humo jana kuangalia fursa za kuwekeza viwanda katika eneo hilo....
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLWAWEKEZAJI KUTOKA CHINA WAVUTIWA NA ENEO LA VIWANDA WILAYANI KISARAWE MKOANI PWANI
9 years ago
MichuziNHIF YAFANYA ZIARA KWENYE VITUO VITATU VYA AFYA WILAYANI KISARAWE, PWANI
na kutoa msaada wa mashuka 100.
Akizungumza wakati za ziara hiyo, Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti wa Mfuko huo, Rehani Athuman, alisema kuwa wameamua kufanya ziara hiyo kujua ni namna gani wananchi wanapatiwa kuduma kutoka...
10 years ago
Mwananchi25 Apr
China kuigeuza Tanzania eneo la viwanda
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-cXwDz0Ncwoo/VcHyMgz7g8I/AAAAAAAAcEo/hxmy2rlnWow/s72-c/IMG-20150805-WA0050.jpg)
WASHIRIKI WA SHINDANO LA MAMA SHUJAA WA CHAKULA 2015 WAWASILISHA MIRADI YAO YA KILIMO NA MAZINGIRA KWA WANAKIJIJI WA KISANGA WILAYANI KISARAWE PWANI
![](http://1.bp.blogspot.com/-cXwDz0Ncwoo/VcHyMgz7g8I/AAAAAAAAcEo/hxmy2rlnWow/s640/IMG-20150805-WA0050.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-tq6XCpeDV5s/VcHyMGMQsoI/AAAAAAAAcEg/_D_2cH874kM/s640/IMG-20150805-WA0049.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/--bmmLV15n5Q/VcHyMY_D-UI/AAAAAAAAcEk/jKi7Hl0c5jw/s640/IMG-20150805-WA0051.jpg)
BOFYA HAPA KWA PICHA...
10 years ago
MichuziWAFANYABIASHARA NA WAWEKEZAJI KUTOKA UBELGIJI WATEMBELEA MKOA WA PWANI
11 years ago
GPL![](http://1.bp.blogspot.com/-B3yh97TG6WE/UssHPjl3ONI/AAAAAAAAJ98/Wrf-82jDN90/s1600/IMG_20140105_162428.jpg)
UBOVU WA BARABARA ENEO LA VIWANDA VYA KUSAGA NA KUKAMUA MAFUTA ENEO LA SIDO MBEYA NI KERO KWA WAFANYA BIASHARA ENEO HILO
10 years ago
Mwananchi21 Oct
EPZ Bagamoyo yawavutia wawekezaji kutoka China
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-ciywewNmzfo/XnVU8uKgzQI/AAAAAAALklk/nG3lxTS7miQyKwpOvhT8GFVXFOgBqnEJACLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
WAHAMIAJI HARAMU 51 TOKA ETHIOPIA WANASWA WILAYANI BAGAMOYO MKOANI PWANI
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani Wankyo Nyigesa alithibitisha kutokea kwa tukio hilo, ambapo alisema wahamiaji hao walikamatwa majira ya saa 11 alfajiri Mach 19.
Wankyo alisema, watuhumiwa hao walikabidhiwa kwa vyombo vingine vya dola kwa taratibu za kisheria waweze kuchukuliwa hatua.
Mwenyekiti wa...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-NuX3TFUlpjE/XnWq4LxCXBI/AAAAAAALkmU/55_g28YjvKc4HGXcykWXKOtUYkGS6SumQCLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
WAHAMIAJI HARAMU WAPATAO 51 WANASWA WILAYANI BAGAMOYO MKOANI PWANI,WAPIMWA CORONA
JESHI la Polisi Mkoa wa Pwani limewakamata Wahamiaji haramu 51 walioingia nchini kupitia bandari bubu ya ya Makurunge Tarafa ya Yombo Wilayani Bagamoyo Mkoani hapa.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani Wankyo Nyigesa alithibitisha kutokea kwa tukio hilo, ambapo alisema wahamiaji hao walikamatwa majira ya saa 11 alfajiri Mach 19.
Wankyo alisema, watuhumiwa hao walikabidhiwa kwa vyombo vingine vya dola kwa taratibu za kisheria waweze kuchukuliwa hatua.
Mwenyekiti wa...