Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UBOVU WA BARABARA ENEO LA VIWANDA VYA KUSAGA NA KUKAMUA MAFUTA ENEO LA SIDO MBEYA NI KERO KWA WAFANYA BIASHARA ENEO HILO

 Hii dimbwi ambalo maji yametuama na kutunza uchafu.  Barabara iendayo kutokea uwanja wa zamani wa ndege mbeya ukiwa umejaa maji.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

CHEMBA ILIYOBOMOKA ENEO LA MWENGE YAWA KERO KWA WATUMIAJI WA BARABARA INAYOELEKEA AFRIKA SANA‏

Chemba iliyobomoka ikiwa wazi maeneo ya Mwenge. Mawe yakiwa yamewekwa kuzuia magari yasipite baada ya chemba hiyo kubomoka. CHEMBA iliyobomoka maeneo ya Mwenge Jijini Dar imekuwa kero kwa watumiaji wa barabara ya kutoka Mwenge kuelekea Afrika Sana. Chemba hiyo ilibomoka baada ya gari…

 

9 years ago

Vijimambo

TAHADHARI KWA WATUMIAJI WA BARABARA YA LUPA ENEO LA NJIA PANDA ISANGA JIJINI MBEYA


Kipande cha barabara ya njia Panda Isanga karibu na Hotel ya Lifti Valey jijini Mbeya (LUPA WAY )ambacho kimejengwa upya kwa kuongezewa njia kimeleta sura mpya jijini hapa  lakini kimeleta pia changamoto kwa madereva hasa kwa nyakati za usiku  kwani hakuna taa hivyo nivema watumiaji wa barabara hii wakachukua tahadhari kwa kuto endesha kwa mwendo kasi ili kuepuka ajali zisizo za lazima ...JAMIIMOJABLOG

 

10 years ago

Mwananchi

China kuigeuza Tanzania eneo la viwanda

Tanzania ni miongoni mwa nchi tatu za Afrika zitakazofaidika na mradi wa kuzigeuza kuwa eneo la viwanda, ambapo wananchi wake watanufaika kwa ongezeko la ajira na serikali kupata kodi.

 

10 years ago

Michuzi

NYUMBA YATEKETEA KWA MOTO ENEO LA SOWETO JIJINI MBEYA LEO

Nyumba ikiendelea kuteketea kwa moto mapema leo katika eneo la Soweto jijini Mbeya,Chanzo cha moto huo hakikuweza kufahamika mara moja.Picha na Fadhiri Atick Mr.Pengo,Mbeya.Juhudi za kuuzima moto huo zikiendelea kufanywa na baadhi ya majirani wa eneo ilipo nyumba hiyo,huku wakiendelea kukisubiria kikosi cha Zimamoto.Hakuna kilichobaki ndani ya Nyumba hiyo.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

5 years ago

Michuzi

VIWANDA VYATUMIA ENEO LA KANISA KUKWEPA KODI

Na Hassan Mabuye, Wizara ya ArdhiENEO la kanisa la Anglikana lililopo Mtoni-Buza katika Manispaa ya Temeke jijini Dar es salaam limetumika kukwepa kodi ya pango la ardhi kwa kuendesha biashara vikiwemo viwanda vya wachina na maduka makubwa.
Hayo yamebainika baada ya Mkuu wa kitengo cha Kodi kutoka Wizara ya Ardhi Bw. Denis Masami kutembelea eneo hilo lenye jumla ya ekari 410 ambalo limemilikishwa kwa matumizi ya makazi na siyo biashara.
Mkuu wa kitengo cha kodi alilazimika kufika katika eneo...

 

11 years ago

GPL

KERO ZA KUZIBA MITARO ENEO LA UFI JIRANI NA SHEKILANGO

Baadhi ya madereva wa Bodaboda wakijiuliza namna ya kupita katika dimbwi hilo.
Hawa ndiyo wenye mradi wa kuvukisha waenda kwa miguu.
Jinsi magari yanavyopita katika barabara hiyo ya Ufi.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani