CHEMBA ILIYOBOMOKA ENEO LA MWENGE YAWA KERO KWA WATUMIAJI WA BARABARA INAYOELEKEA AFRIKA SANA
![](http://3.bp.blogspot.com/-ABxss8JQZbo/UzAJOoD2rvI/AAAAAAAALt0/HB6Tgmvun3s/s1600/Photo3477.jpg)
Chemba iliyobomoka ikiwa wazi maeneo ya Mwenge. Mawe yakiwa yamewekwa kuzuia magari yasipite baada ya chemba hiyo kubomoka. CHEMBA iliyobomoka maeneo ya Mwenge Jijini Dar imekuwa kero kwa watumiaji wa barabara ya kutoka Mwenge kuelekea Afrika Sana. Chemba hiyo ilibomoka baada ya gari…
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NvWHU5oq4TbnWaKqHkUKeurOYN2uIkkdJ70*i6UQtGo7qmh8dn*npcP53DGkCgHcrTWjHMrY3af5BMU0hmYiTwByAOrEwGzO/tope3.jpg?width=650)
MVUA YAKIHARIBU KITUO CHA MABASI NJOMBE, KERO YAWA KUBWA KWA WATUMIAJI
Baada ya mvua kubwa kunyesha jana mkoani Njombe, kituo hiki cha Njombe kimegeuka matope matupu na kusababisha watumiaji kupata tabu ya kutembea kwa shida na kutafuta eneo la kukanyaga ili wapite. Hali halisi kutoka kituo cha mabasi Njombe.…
11 years ago
GPL![](http://1.bp.blogspot.com/-B3yh97TG6WE/UssHPjl3ONI/AAAAAAAAJ98/Wrf-82jDN90/s1600/IMG_20140105_162428.jpg)
UBOVU WA BARABARA ENEO LA VIWANDA VYA KUSAGA NA KUKAMUA MAFUTA ENEO LA SIDO MBEYA NI KERO KWA WAFANYA BIASHARA ENEO HILO
 Hii dimbwi ambalo maji yametuama na kutunza uchafu.  Barabara iendayo kutokea uwanja wa zamani wa ndege mbeya ukiwa umejaa maji.…
10 years ago
GPLBARABARA ZA KUINGIA STENDI YA MAKUMBUSHO ZAWA KERO KWA WATUMIAJI
Bajaji ikijaribu kupita pembeni ya barabara. Gari likionekana kupita pamoja na Bajaj katika njia hiyo inayoelekea maeneo ya Mwananyamala jijini Dar.…
10 years ago
GPLMAJI TAKA, BARABARA MBOVU NI KERO KWA WAKAZI WA MWENGE DAR
Mkazi wa Mwenge akipita kwa kwa taabu katika moja ya barabara za Mwenge ambazo zimejaa maji taka na ambazo ni mbovu. MAJI taka yaliyovamia sehembu mbalimbali na barabara mbovu vimekuwa ni kero kubwa kwa wakazi wa Mwenge jijini Dar es Salaam hasa katika maeneo ya wafanyabiashara ndogondogo. Matokeo ya adha hiyo ni kupitika kwa taabu sehemu hiyo na harufu mbaya inayotokana na maji hayo hususan kwa watembea kwa miguu....
9 years ago
VijimamboTAHADHARI KWA WATUMIAJI WA BARABARA YA LUPA ENEO LA NJIA PANDA ISANGA JIJINI MBEYA
10 years ago
GPLWANANCHI WAGOMA KULIPA USHURU KWASABABU YA CHEMBA YA MAJI TAKA – AFRIKA SANA DAR
Chemba iliyowazi kwa muda mrefu maeneo ya Afrika sana.…
10 years ago
GPLHALI ILIVYOKUWA ENEO LA SINZA-AFRIKA SANA BAADA YA KUNYESHA MVUA KUBWA JANA
Wananchi wakivushwa na lori eneo la Sinza-Afrika lililojaa maji kutokana na mvua kubwa iliyonyesha jana. Magari yakipita kwa tabu eneo hilo kutokana na mvua kubwa zinazoendea kunyesha. (Picha na Makongoro Oging /…
11 years ago
GPLCHEMBA ITIRIRISHAYO MAJI MACHAFU BARABARANI MWENGE
Chemba hii mbovu iliyo nje ya Zahanati ya Mwenge, kwa muda wa zaidi ya miaka 20 imekuwa ni kero kubwa kwa wakazi wa eneo hilo na wapita njia kwani hutirisisha maji machafu yakiwemo ya vyooni nyakati za kiangazi na masika, maji ambayo hutoa harufu mbaya na ambayo ni tishio la kusambaza magonjwa hasa kwa wakazi jirani na eneo hilo. Chemba hiyo imeendelea kuwa katika hali hiyo mbaya kwa miaka nenda-rudi bila kufanyiwa...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania