Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CHEMBA ITIRIRISHAYO MAJI MACHAFU BARABARANI MWENGE

Chemba  hii mbovu iliyo nje ya Zahanati ya Mwenge, kwa muda wa zaidi ya miaka 20 imekuwa ni kero kubwa kwa wakazi wa eneo hilo na wapita njia kwani hutirisisha maji machafu yakiwemo ya vyooni nyakati za kiangazi na masika, maji ambayo hutoa harufu mbaya na ambayo ni tishio la kusambaza magonjwa hasa kwa wakazi jirani na eneo hilo.  Chemba hiyo imeendelea kuwa katika hali hiyo mbaya  kwa miaka nenda-rudi bila kufanyiwa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

CHEMBA ILIYOZIBA YAMWAGA MAJI BARABARANI BAMAGA-MWENGE DAR

Chemba husika ikimwaga maji nje wakati wa mvua. Maji yakitiririka sehemu za barabarani. WAKAZI wa maeneo ya Bamaga-Mwenge, jijini Dar es Salaam,  wamelalamika  chemba moja iliyo karibu na Chuo cha Ustawi wa Jamii ambayo imeziba na wakati wa mvua hutiririsha maji taka ambayo huenea katika maeneo ya barabara za Shekilango na Bagamoyo na hivyo kuleta adha na hatari kwa binadamu.  Wakazi hao wamezitaka mamlaka… ...

 

10 years ago

Michuzi

KERO YA MAJI MACHAFU MTAA WA NZASA ZAMANI UMOJA STREET MWENGE

 Huu si Mto lakini ni Maji Machafu ambayo yamefumuka kwenye Chemba baada ya Mvua kunyesha Katika mtaa wa Nzasa zamani Umoja Street Mwenge ambao pia unajulikana kama mtaa wa Kinyesi Haya ni maji machafu ambayo yanatoka katika Chemba za maji taka ambapo yanapita kando ya makazi ya watu na kusababisha Kero ya Harufu mbaya na wasiwasi wa Mlipuko wa Magonjwa.  Hii ni Moja ya Chemba ikiwa inafuka Maji Machafu ambayo yamejitengenezea Njia katika Makazi ya watuNa hii pia ni Chemba ambayo imefumuka...

 

10 years ago

GPL

MAJI MACHAFU YAMLAZA PENDO KITANDANI

Stori: Gladness Mallya MSANII wa filamu na muziki wa taarabu Bongo, Upendo Mushi ‘Pendo’ yu kitandani baada ya kuugua ghafla kwa kile ambacho madaktari waligundua ni kunywa maji yasiyochemshwa. Msanii wa filamu na muziki wa taarabu Bongo, Upendo Mushi ‘Pendo. Kwa mujibu wa chanzo chetu cha kuaminika, msanii huyo anayeishi Mwananyamala jijni Dar es Salaam, baada ya kupimwa na kukutwa na ugonjwa huo, alipatiwa...

 

11 years ago

GPL

CHEMBA ILIYOBOMOKA ENEO LA MWENGE YAWA KERO KWA WATUMIAJI WA BARABARA INAYOELEKEA AFRIKA SANA‏

Chemba iliyobomoka ikiwa wazi maeneo ya Mwenge. Mawe yakiwa yamewekwa kuzuia magari yasipite baada ya chemba hiyo kubomoka. CHEMBA iliyobomoka maeneo ya Mwenge Jijini Dar imekuwa kero kwa watumiaji wa barabara ya kutoka Mwenge kuelekea Afrika Sana. Chemba hiyo ilibomoka baada ya gari…

 

10 years ago

CloudsFM

MTOTO AOPOLEWA KWENYE DIMBWI LA MAJI MACHAFU

Mtoto mwenye umri ya miaka 5 afariki dunia kwenye dimbwi la maji machafu karibu na mtaa wa stendi ya mabasi Mafinga, wilayani Mufindi mkoani Iringa.Mtoto huyo alipotea nyumbani takribani siku 3 zimepita ambapo mama mzazi alitoa taarifa jeshi la polisi liweze kumsaidia lakini juhudi hizo haikuzaa matunda ambapo hii leo amekutwa kwenye dimbwi la maji hayo.

Source: fransis Godwin

 

10 years ago

GPL

MAJI YA CHEMBA YA UCHAFU YAZAGAA SOKONI MANZESE

Maji taka yakitiririka kutoka kwenye chemba. Eneo lililofikwa na maji hayo machafu. KUTOZINGATIWA kwa udhabiti wa mitaro jijini ni moja ya njia zinazozidisha uchafu jijini Dar es Salaam. Mfano mmojawapo ni chemba ya maji taka  ambayo imekuwa ikisambaza uchafu eneo la soko la Mazense, jijini Dar es Salaam, kwa kutoa maji machafu na yenye… ...

 

9 years ago

Vijimambo

UCHAFU WA MAGANDA YA MIWA WAZIBA MTARO WA MAJI MACHAFU SOKO LA MIEMBENI MJINI DODOMA

Katika hali isiyokuwa ya kawaida mtaro wa kupitishia maji machafu hasa wakati wa mvua unakaribia kuzibwa na maganda ya miwa yanayomwagwa na wafanyabiashara wa miwa waliopo soko la Miembeni mjini Dodoma.Picha na John Banda Baadhi ya watu wanaonekana wakikusanyia takataka za maganda ya miwa kwenye mtaro unakatisha katika soko la Miembeni mjini Dodoma hali ambayo ni hatari kwa mtaro huo kuziba na kusababisha maji ya mvua zinazokaria kuanza mjini humo kutwama.

Maji machafu ambayo yamekuwa...

 

10 years ago

GPL

WANANCHI WAGOMA KULIPA USHURU KWASABABU YA CHEMBA YA MAJI TAKA – AFRIKA SANA DAR

Chemba iliyowazi kwa muda mrefu maeneo ya Afrika sana.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani