CHEMBA ILIYOZIBA YAMWAGA MAJI BARABARANI BAMAGA-MWENGE DAR
Chemba husika ikimwaga maji nje wakati wa mvua. Maji yakitiririka sehemu za barabarani. WAKAZI wa maeneo ya Bamaga-Mwenge, jijini Dar es Salaam, wamelalamika chemba moja iliyo karibu na Chuo cha Ustawi wa Jamii ambayo imeziba na wakati wa mvua hutiririsha maji taka ambayo huenea katika maeneo ya barabara za Shekilango na Bagamoyo na hivyo kuleta adha na hatari kwa binadamu. Wakazi hao wamezitaka mamlaka… ...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLCHEMBA ITIRIRISHAYO MAJI MACHAFU BARABARANI MWENGE
10 years ago
GPLENEO LA BAMAGA MWENGE DAR LEO MCHANA
10 years ago
GPLREAL MADRID WATINGA TSN BAMAGA, MWENGE DAR
10 years ago
GPLMVUA YAFURIKISHA MITARO MAENEO YA BAMAGA-MWENGE, DAR
11 years ago
GPLPOLISI WASAFISHA GEREJI BUBU BAMAGA, MWENGE
10 years ago
GPLWANANCHI WAGOMA KULIPA USHURU KWASABABU YA CHEMBA YA MAJI TAKA – AFRIKA SANA DAR
10 years ago
GPLMAJI TAKA, BARABARA MBOVU NI KERO KWA WAKAZI WA MWENGE DAR
11 years ago
GPL![](http://3.bp.blogspot.com/-ABxss8JQZbo/UzAJOoD2rvI/AAAAAAAALt0/HB6Tgmvun3s/s1600/Photo3477.jpg)
CHEMBA ILIYOBOMOKA ENEO LA MWENGE YAWA KERO KWA WATUMIAJI WA BARABARA INAYOELEKEA AFRIKA SANA