POLISI WASAFISHA GEREJI BUBU BAMAGA, MWENGE
Gari aina ya Toyota Hilux yenye namba T 510 ADT ikitolewa na break-down. Eneo la gereji bubu likiwa jeupe baada ya magari kadhaa kuondolewa. Baadhi ya mafundi gereji bubu wakitahamaki.…
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/-nMzymXXjMJ5CgPscjZefT8*-zlHFPmOe0OYFfD3wfJsKO0tX*us3lF0HR5yLa975rQcdOFkilFJ7gYpsJ7hWocXQOmJDVA7/somazaidi.gif)
OPERESHENI GEREJI BUBU YAENDESHWA KINONDONI JIJINI DAR
10 years ago
GPLENEO LA BAMAGA MWENGE DAR LEO MCHANA
10 years ago
GPLREAL MADRID WATINGA TSN BAMAGA, MWENGE DAR
10 years ago
GPLMVUA YAFURIKISHA MITARO MAENEO YA BAMAGA-MWENGE, DAR
10 years ago
GPLCHEMBA ILIYOZIBA YAMWAGA MAJI BARABARANI BAMAGA-MWENGE DAR
11 years ago
Mwananchi05 Jun
Mwenge wapata ajali, polisi watatu wajeruhiwa
11 years ago
CloudsFM05 Jun
MWENGE WA UHURU WAPATA AJALI, POLISI WATATU WAJERUHIWA
Askari polisi watatu kati ya watano, wameumia vibaya baada ya gari walilokuwa wakisindikizia Mwenge wa Uhuru kupata ajali mkoani Singida huku waandishi wa habari na wapigapicha wakinyang’anywa vitendea kazi na kiongozi wa Mbio za Mwenge, Rachel Steven.
Kitendo hicho kilielezwa kuwa ni kuwazuia waandishi wa habari kutuma taarifa za ajali hiyo kwenye vyombo vyao vya habari. Mzozo mkali uliibuka kwa waandishi wa habari wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), kituo cha Televisheni cha ITV na...
9 years ago
Mwananchi12 Oct
Wasafisha barabara kumlaki Lowassa
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-y07lk9W-gHc/VmvMGSWncqI/AAAAAAAILvg/kk_6C2Qgn0s/s72-c/Untitled01.png)
Taasisi ya Mkapa wasafisha Zahanati ya Kawe
Zoezi hili la usafi lilishirikisha wafanyakazi...