Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Taasisi ya Mkapa wasafisha Zahanati ya Kawe

Katika kuitikia wito wa Raisi wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli wa kusherekea siku ya Uhuru wa miaka 54 ya Tanzania, Taasisi ya Benjamin William Mkapa (The Benjamin William Mkapa Foundation- BMF) imeshiriki kikamilifu katika shughuli za usafi zilizofanyika siku ya maadhimisho ya Uhuru tarehe 9 desemba mwaka huu wa 2015 kwa kufanya usafi katika Zahanati ya Kawe iliyopo Manispaa ya Kinondoni, Dar Es Salaam.
Zoezi hili la usafi lilishirikisha wafanyakazi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Taasisi ya Mkapa kusomesha wanafunzi 890

 Taasisi ya Benjamin William Mkapa itafadhili wanafunzi 890 kutoka halmashauri 137 nchini ili kujiunga na vyuo vikuu 93 vya afya katika mwaka wa masomo unaoanza 2014 hadi 2016.

 

10 years ago

Habarileo

Taasisi Benjamin Mkapa yakusanya bil. 1/-

TAASISI ya Benjamini Mkapa HIV/AIDS Foundation (BMAF) imekusanya zaidi ya Sh bilioni 1.3 ikiwa ni fedha taslimu pamoja na ahadi katika harambee iliyofanyika jijini hapa kwa ajili ya mradi wa kuimarisha huduma za afya.

 

10 years ago

Habarileo

Pinda kuchangisha mil. 500/- Taasisi ya Mkapa

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika harambee ya kuchangisha fedha kwa ajili ya Mpango wa Mkapa Fellows awamu ya pili jijini Mwanza wenye lengo la kuimarisha huduma za afya.

 

5 years ago

Michuzi

TAASISI YA BENJAMIN MKAPA YAMWAGA AJIRA 307 ZA WATUMISHI WA AFYA.




Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu akieleza jambo wakati wa kikao na Waandishi wa habari, kilichofanyika Jinjini Dodoma.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu akiongea na Waandishi wa habari.

Mkurugenzi mtendaji wa taasisi ya Benjamin Mkapa Dkt. Ellen Mkondya akifafanua jambo mbele ya Waandishi wa Habari, katika Mkutano ulioongozwa na Waziri wa Afya leo Jijini Dodoma.



Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,...

 

9 years ago

Michuzi

Taasisi ya Benjamin William Mkapa yasikitishwa na udanganyifu au utapeli unaoendeshwa na baadhi ya watu wasiojulikana kupitia jina lake

Taasisi ya Benjamin William Mkapa inasikitika kuwatangazia Umma kwamba kumekuwa na udanganyifu au utapeli unaoendeshwa na baadhi ya watu wasiojulikana wakitumia jina la Taasisi hii katika kutoza fedha watu mbalimbali wakidai kusaidia kupata ajira au ufadhili wa masomo katika sekta ya afya.
Baadhi ya wadanganyifu hao wamekuwa wakitumia barua au akaunti yenye jina “Benjamini Mkapa” katika mtandao wa kijamii wa ‘facebook’ ambapo huwasiliana na watu, na kuwahadaa kuwa watawapatia ajira au...

 

10 years ago

Michuzi

MH. PINDA AKUTANA NA MZEE MKAPA NA MAMA ANNA MKAPA JIJINI MWANZA

PG4A2748Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na  Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa na mkewe Mama Anna Mkapa kwenye Ikulu ya Mwanza  ambako atakuwa  mgeni rasmi katiaka harambee ya Mkapa Foundation inayotarajiwa kufanyika  jijini Mwanza.
PG4A2753Waziri Mkuu Mizengo  Pinda akizungumza na  Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa na mkewe Mama Anna Mkapa kwenye Ikulu ya Mwanza  ambako  atakuwa   mgeni rasmi katiaka harambee ya Mkapa Foundation inayotarajiwa kufanyika  jijini Mwanza. (Picha na Ofisi ya Waziri...

 

9 years ago

Mwananchi

Wasafisha barabara kumlaki Lowassa

Mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa jana alipokelewa na umati wa wananchi wa mji wa Musoma mkoani Mara, huku baadhi yao wakifagia barabara na kupiga deki ili apite bila vumbi.

 

11 years ago

GPL

POLISI WASAFISHA GEREJI BUBU BAMAGA, MWENGE

Gari aina ya Toyota Hilux yenye namba T 510 ADT ikitolewa na break-down.
Eneo la gereji bubu likiwa jeupe baada ya magari kadhaa kuondolewa.
Baadhi ya mafundi gereji bubu wakitahamaki.…

 

11 years ago

GPL

WAFANYAKAZI WA EXIM SHINYANGA WASAFISHA SOKO KUU

 Wafanyakazi wa Benki ya…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani