MH. PINDA AKUTANA NA MZEE MKAPA NA MAMA ANNA MKAPA JIJINI MWANZA
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa na mkewe Mama Anna Mkapa kwenye Ikulu ya Mwanza ambako atakuwa mgeni rasmi katiaka harambee ya Mkapa Foundation inayotarajiwa kufanyika jijini Mwanza.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akizungumza na Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa na mkewe Mama Anna Mkapa kwenye Ikulu ya Mwanza ambako atakuwa mgeni rasmi katiaka harambee ya Mkapa Foundation inayotarajiwa kufanyika jijini Mwanza. (Picha na Ofisi ya Waziri...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziMH. PINDA AONGOZA HARAMBEE YA MKAPA FELLOWS JIJINI MWANZA
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-cra3smLrxF8/VQ66_nz5wRI/AAAAAAAHMLg/sSM1SlTy3Ys/s72-c/unnamed%2B(54).jpg)
Rais Kikwete akutana na Rais Uhuru Kenyatta mjini Windhoek, Alhaj Mwinyi na Mzee Mkapa waungana naye sherehe za kuapishwa rais mpya wa namibia
![](http://3.bp.blogspot.com/-cra3smLrxF8/VQ66_nz5wRI/AAAAAAAHMLg/sSM1SlTy3Ys/s1600/unnamed%2B(54).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-a0pRN5HFuA0/VQ66_UT049I/AAAAAAAHMLc/khLtmIT_i0g/s1600/unnamed%2B(56).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-X422Ur7jOR4/VQ67A4qaJQI/AAAAAAAHMLs/dr0qghe3iko/s1600/unnamed%2B(55).jpg)
10 years ago
Dewji Blog25 Aug
Pinda aongoza harambee ya Mkapa Fellows
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza katika harambee ya kuchangia Mradi wa Mkapa Fellows kwenye hoteli ya JB Belmont jijini Mwanza August 23, 2014. Zaidi ya sh. Bilioni 1.3 zilichangwa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipokea mchango wa shilingi milioni 15 kutoka kwa Mfanyabiashara wa Mwanza na Dar es salaam Jumanne Kishimba katika harambee ya kuchangia Mradi wa Mkapa Fellows iliyofanyiak kwenye hoteli ya JB Belmont jijini Mwanza August 23,2014. Zaidi ya...
10 years ago
Mwananchi23 Jun
Mzee Mwinyi, Mkapa, Dk Mengi, Dewji, tunasubiri vitabu vyenu
10 years ago
Habarileo23 Aug
Pinda kuchangisha mil. 500/- Taasisi ya Mkapa
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika harambee ya kuchangisha fedha kwa ajili ya Mpango wa Mkapa Fellows awamu ya pili jijini Mwanza wenye lengo la kuimarisha huduma za afya.
10 years ago
Mwananchi25 Aug
Ben Mkapa ampigia Pinda debe kiaina
11 years ago
MichuziMama Tunu Pinda awasili jijini Mwanza tayari kwa ufunguzi wa Tamashsa la Wanawake
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-9Aytz63tA4k/VZ6Ac7N_8KI/AAAAAAAA1I8/C0TF2jvtafw/s72-c/DSC_0287.jpg)
SEND OFF YA TUMPALE JOHN MWAISANGO, YAFANA KATIKA UKUMBI WA MKAPA JIJINI MBEYA
![](http://4.bp.blogspot.com/-9Aytz63tA4k/VZ6Ac7N_8KI/AAAAAAAA1I8/C0TF2jvtafw/s640/DSC_0287.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-ujjtx0YkfUs/VZ6ARtwdE1I/AAAAAAAA1GY/vKDOLmA2a7g/s640/DSC_0198.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-l6DDA7yDtXA/VZ6ATmre3bI/AAAAAAAA1G4/Z4lIwzzozT4/s640/DSC_0218.jpg)
BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI
10 years ago
GPLPROF. MWANDOSYA AKITANGAZA NIA YA KUWANIA URAIS KATIKA UKUMBI WA MKAPA JIJINI MBEYA