Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


PROF. MWANDOSYA AKITANGAZA NIA YA KUWANIA URAIS KATIKA UKUMBI WA MKAPA JIJINI MBEYA

Profesa Mwandosya pamoja na familia yake katika Ukumbi wa Mkapa Mbeya kwenye mkutano wake na wananchi akitangaza nia ya kuwania urais. Mke wa Profesa Mwandosya Bi Lucy Mwandosya akiwasalimia wananchi Profesa Mwandosya akionesha uzalendo kwa kutembea na wananchi…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

SEND OFF YA TUMPALE JOHN MWAISANGO, YAFANA KATIKA UKUMBI WA MKAPA JIJINI MBEYA

Tumpale John Mwaisango(kulia) Bi. Harusi mtarajiwa akiwa pamoja na Mume wake Mtarajiwa Jeofrey Daniel Shipela (kushoto) katika nyuso za Furaha wakati wa sherehe za kumuaga .Bi Harusi mtarajiwa Tumpale John Mwaisango akimpa zawadi Mume wake Mtarajiwa Jeofrey Shipela wa kwanza kulia ni mpambe wa Bwana harusi mtarajiwa Venance Matinya Bi. Harusi Mtarajiwa Tumpale John Mwaisango (kushoto) Akikata keki kulia ni Mpambe wake Monica.

BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI

 

10 years ago

Vijimambo

SHEREHE YA KUMUAGA (SEND OFF) TUMPALE JOHN MWAISANGO, YAFANA KATIKA UKUMBI WA MKAPA JIJINI MBEYA

Tumpale John Mwaisango(kulia) Bi. Harusi mtarajiwa akiwa pamoja na Mume wake Mtarajiwa Jeofrey Daniel Shipela (kushoto) katika nyuso za Furaha wakati wa sherehe za kumuaga .Hivi ndivyo ukumbi ulivyo ulivyokuwaBibi Harusi Mtarajiwa Tumpale John Mwaisango akiwa anaingia ukumbini Bi Harusi mtarajiwa Tumpale John Mwaisango akimpa zawadi Mume wake Mtarajiwa Jeofrey Shipela wa kwanza kulia ni mpambe wa Bwana harusi mtarajiwa Venance Matinya Bi. Harusi Mtarajiwa Tumpale John Mwaisango (kushoto)...

 

10 years ago

GPL

PROF. MUHONGO ATANGAZA NIA YA KUWANIA URAIS

ALIYEKUWA Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo (pichani juu) naye ametangaza nia ya kuwania Urais ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) akiwa kwenye Ukumbi wa Chuo Huria huko Musoma mkoani Mara jioni hii. Prof. Muhongo amesema hawezi kutoa ahadi ya mishahara wakati hajakuza uchumi, hawezi kutoa ahadi ya kujenge shule wakati hajakuza uchumi hivyo tukuze kwanza uchumi kama ulivyo kauli mbiu yake ya Tukuze Uchumi,...

 

10 years ago

Vijimambo

ALICHOSEMA MWIGULU WAKATI AKITANGAZA NIA YA KUGOMBEA URAIS

Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba akizungumza na wananchi kwenye Ukumbi wa Chuo cha Mipango Dodoma alipotangaza nia ya kugombea urais kupitia CCM jana. Picha na Edwin Mjwahuzi
Dodoma/Dar. Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba ametangaza nia yake ya kugombea urais kupitia CCM katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba akieleza jinsi atakavyoivusha Tanzania kuwa nchi yenye uchumi wa kati utakaopatikana kwa kutoa haki kwa watu wote.Akitangaza nia hiyo jana kwenye Ukumbi wa Mwalimu Nyerere katika Chuo...

 

10 years ago

Vijimambo

MATUKIO ZAIDI YA MH. MEMBE AKITANGAZA NIA YA KUGOMBEA URAIS WA TANZANIA


Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe akiusalimia umati wa wana CCM na wakazi wa Lindi, katika Viwanja vya Ofisi ya CCM Mkoa jana, wakati akitangaza nia ya kugombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Uchaguzi Mkuu ujao wa Mwezi Oktoba. Picha na John Badi
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe na mkewe Dorcas wakiupungia umati wa wana CCM na wakazi wa...

 

10 years ago

Vijimambo

DK. MALECELA AKIWA KATIKA STUDIO ZA MWAMBAO JIJINI TANGA, YUPO JIJINI HUMO KUTAFUTA WADHAMINI KATIKA SAFARI YAKE YA KUOMBA KUWANIA URAIS KWA TIKETI YA CCM

Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Taifa ya Utafiti Magonjwa ya Binadamu Dk. Mwale Malecela pichani kabla ya kuingia katika chumba cha habari katika Redio ya Mwambao iliyopo Tanga eneo la Kange ndani ya Kiwanda cha Tanga Fresh ambaye ni mtoto wa Makamu wa zamani wa Chama cha Mapinduzi (CCM) John Malecela ni miongoni mwa wana CCM ambao wamejitosa kugombea urais kupitia CCM. Dk. Mwale katika maisha yake mengi kwa zaidi ya miaka20 amekua mtumishu katika Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani