SEND OFF YA TUMPALE JOHN MWAISANGO, YAFANA KATIKA UKUMBI WA MKAPA JIJINI MBEYA
![](http://4.bp.blogspot.com/-9Aytz63tA4k/VZ6Ac7N_8KI/AAAAAAAA1I8/C0TF2jvtafw/s72-c/DSC_0287.jpg)
Tumpale John Mwaisango(kulia) Bi. Harusi mtarajiwa akiwa pamoja na Mume wake Mtarajiwa Jeofrey Daniel Shipela (kushoto) katika nyuso za Furaha wakati wa sherehe za kumuaga .
Bi Harusi mtarajiwa Tumpale John Mwaisango akimpa zawadi Mume wake Mtarajiwa Jeofrey Shipela wa kwanza kulia ni mpambe wa Bwana harusi mtarajiwa Venance Matinya
Bi. Harusi Mtarajiwa Tumpale John Mwaisango (kushoto) Akikata keki kulia ni Mpambe wake Monica.
BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-9Aytz63tA4k/VZ6Ac7N_8KI/AAAAAAAA1I8/C0TF2jvtafw/s72-c/DSC_0287.jpg)
SHEREHE YA KUMUAGA (SEND OFF) TUMPALE JOHN MWAISANGO, YAFANA KATIKA UKUMBI WA MKAPA JIJINI MBEYA
![](http://4.bp.blogspot.com/-9Aytz63tA4k/VZ6Ac7N_8KI/AAAAAAAA1I8/C0TF2jvtafw/s640/DSC_0287.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-0tx7nWcGY40/VZ6AQx7anOI/AAAAAAAA1GM/etvXfyr1rwo/s640/DSC_0153.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-gWfrqwJEHvk/VZ6ARQeMswI/AAAAAAAA1GU/ljp8Y04nqpM/s640/DSC_0185.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-ujjtx0YkfUs/VZ6ARtwdE1I/AAAAAAAA1GY/vKDOLmA2a7g/s640/DSC_0198.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-l6DDA7yDtXA/VZ6ATmre3bI/AAAAAAAA1G4/Z4lIwzzozT4/s640/DSC_0218.jpg)
10 years ago
GPLPROF. MWANDOSYA AKITANGAZA NIA YA KUWANIA URAIS KATIKA UKUMBI WA MKAPA JIJINI MBEYA
10 years ago
MichuziSEND OFF PARTY YA NOREEN MHINA YAFANA KATIKA UKUMBI WA DELUXE SINZA
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
11 years ago
MichuziHAPPY BIRTHDAY MWANDISHI MKUU WA MBEYA YETU BLOG JOSEPH MWAISANGO
TONE MULTIMEDIA GROUP Ambao ni wamiliki wa Mtandao huu wa Mbeya yetu Blog , Tunapenda Kuungana na wadau wetu wote Kumpongeza Bwana Joseph Mwaisango ambaye ndiye Mwandishi Mkuu wa Blog hii ya Mbeya yetu na Mmoja wa wakurugenzi wa Tone Multimedia Company Limited (TMCL) ambao pia ni wamiliki wa Blogs za Mikoa Tanzania, Tone Radio-Tz , This Day Magazine, Stay In Tanzania(Tanzania Tours) , Tone Tube Tz , Matukio na...
11 years ago
GPLHAPPY BIRTHDAY MWANDISHI MKUU WA MBEYA YETU BLOG JOSEPH MWAISANGO
10 years ago
MichuziSEND OFF YA ZOURHA MALISA WA TIMES FM RADIO YAFANA
10 years ago
MichuziSEND OFF YA BI. ASNA ALLY MUAZINI YAFANA SANA
10 years ago
Michuzi23 Aug
MH. PINDA AKUTANA NA MZEE MKAPA NA MAMA ANNA MKAPA JIJINI MWANZA
![PG4A2748](https://ci4.googleusercontent.com/proxy/DPF5wRQ8hZJkbNwgo5RV5x162SMVaIqQH6iZ3iwcSyhi2cTfwhAO9RSjy0G2_FKQXVjU8PQYNTyHxtpr1Kn7_dlx0O_01m2Kj8mFqLfeqKz_idL8zmsojQU6AQw=s0-d-e1-ft#http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/08/PG4A2748.jpg)
![PG4A2753](https://ci3.googleusercontent.com/proxy/3Ay8koHw5HAN2Sh7mZyZQharKSrMHWV-GAP-oeX7mx2F2eCduWxyIjQjAJvE5ZS_1KosnqVMP8nsUcFqxcbEaQyogesPAfsWW9h3cvDKaqWB-PmPjZqRuAeRJZI=s0-d-e1-ft#http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/08/PG4A2753.jpg)
10 years ago
Dewji Blog07 Feb
Send Off ya Zourha Malisa wa Times FM Radio yafana Dar
Mtayarishaji wa Vipindi wa Radio FM, Zourha akimkabidhi zawadi ya Laptop mume wake mtarajiwa ambaye pia ni Mtalaamu wa IT wa kituo hicho, George Zuri wakati wa sherehe ya kuagwa jana kwenye Ukumbi wa Quality Centre, Dar es Salaam.(PICHA ZOTE NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA WA KAMANDA WA MATUKIO BLOG).
Bibi Harusi mtarajiwa, Zourha akilia baada ya kuagwa na baba yake, Malisa kushoto.
Zourha akiwapatia keki wazazi wake wakati wa sherehe hiyo
Wafanyakazi wenzie na baba wa Zourha, Mzee...