Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SEND OFF YA ZOURHA MALISA WA TIMES FM RADIO YAFANA

 Mtayarishaji wa Vipindi wa Radio FM, Zourha akimkabidhi zawadi ya Laptop mume wake mtarajiwa  ambaye pia ni Mtalaamu wa IT wa kituo hicho, George Zuri wakati wa sherehe ya kuagwa jana kwenye Ukumbi wa Quality Centre, Dar es Salaam.PICHA ZOTE NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA WA KAMANDA WA MATUKIO BLOG Bibi Harusi mtarajiwa, Zourha akilia baada ya kuagwa na babake, Malisa kushoto Zourha akiwapatia keki wazazi wake wakati wa sherehe hiyo Wafanyakazi wenzie na baba wa Zourha, Mzee Malisa kutoka...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Send Off ya Zourha Malisa wa Times FM Radio yafana Dar

 Mtayarishaji wa Vipindi wa Radio FM, Zourha akimkabidhi zawadi ya Laptop mume wake mtarajiwa  ambaye pia ni Mtalaamu wa IT wa kituo hicho, George Zuri wakati wa sherehe ya kuagwa jana kwenye Ukumbi wa Quality Centre, Dar es Salaam.(PICHA ZOTE NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA WA KAMANDA WA MATUKIO BLOG).

 Bibi Harusi mtarajiwa, Zourha akilia baada ya kuagwa na baba yake, Malisa kushoto.

03

 Zourha akiwapatia keki wazazi wake wakati wa sherehe hiyo

 Wafanyakazi wenzie na baba wa Zourha, Mzee...

 

10 years ago

Michuzi

SEND OFF YA BI. ASNA ALLY MUAZINI YAFANA SANA

  Bi Harusi  mtarajiwa Asna Muazini akiwa katika pozi na tabasam katika Hafla yakuagwa kwake (SEND OFF) iliyofanyika hivi punde katika ukumbi wa DDC Keko jijini Dar es Salaam   Bi Harusi  mtarajiwa Asna Muazini akiwa na wapembe wake  katika pozi wakati wa  Hafla yakuagwa (SEND OFF) iliyofanyika hivi punde katika ukumbi wa DDC Keko  Dar es Salaam, kushoto ni Wardat Saidi Juma anaye somea Uwandishi wa Habari huko Zanzibar maeneo ya Vuga na kulia ni Mwanafunzi wa Shule ya Lumumba Zanzibar...

 

9 years ago

Africanjam.Com

RADIO: SIKILIZA HAPA TIMES FM "LIVE"








Afro Localrican music with the best Dj R Guy.Bongo.HomeThe largest type of music in Tanzania "Bongo Fleva" and you only get it right on Bongo Dot Home, With Alloy Sazia A.K.A Mapembe, Brand new songs, Interviews and song interpretation on LINE TATA.Club 100As you prepare to have a fun weekend, or go out with friends club 100 is where you get your mood at. Funky electric music to remind you its the weekend again with the just right and fun loving people.Dawati KuuDar Es Salaam, TanzaniaDJ...

 

10 years ago

Michuzi

SEND OFF PARTY YA NOREEN MHINA YAFANA KATIKA UKUMBI WA DELUXE SINZA

  Bibi Harusi Mtarajiwa Noreen Mhina  akiwa katika nyuso ya Furaha, jana tarehe 25.11.2014   Bibi Harusi Mtarajiwa Noreen akiwa amempata Mume wake mtarajiwa Leonard  Baada ya kumsaka ukumbi Mzima kwa ajili ya kumtambulisha kwa wageni waalikwa . Bibi harusi Mtarajiwa Noreen akimvisha Mume wake mtarajiwa Leonard  zawadi ya Saa Mara baada ya kutambulishwa Rasmi wa wageni waliofika katika Sherehe ya kumuaga.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

10 years ago

Michuzi

SEND OFF YA TUMPALE JOHN MWAISANGO, YAFANA KATIKA UKUMBI WA MKAPA JIJINI MBEYA

Tumpale John Mwaisango(kulia) Bi. Harusi mtarajiwa akiwa pamoja na Mume wake Mtarajiwa Jeofrey Daniel Shipela (kushoto) katika nyuso za Furaha wakati wa sherehe za kumuaga .Bi Harusi mtarajiwa Tumpale John Mwaisango akimpa zawadi Mume wake Mtarajiwa Jeofrey Shipela wa kwanza kulia ni mpambe wa Bwana harusi mtarajiwa Venance Matinya Bi. Harusi Mtarajiwa Tumpale John Mwaisango (kushoto) Akikata keki kulia ni Mpambe wake Monica.

BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI

 

10 years ago

Vijimambo

SHEREHE YA KUMUAGA (SEND OFF) TUMPALE JOHN MWAISANGO, YAFANA KATIKA UKUMBI WA MKAPA JIJINI MBEYA

Tumpale John Mwaisango(kulia) Bi. Harusi mtarajiwa akiwa pamoja na Mume wake Mtarajiwa Jeofrey Daniel Shipela (kushoto) katika nyuso za Furaha wakati wa sherehe za kumuaga .Hivi ndivyo ukumbi ulivyo ulivyokuwaBibi Harusi Mtarajiwa Tumpale John Mwaisango akiwa anaingia ukumbini Bi Harusi mtarajiwa Tumpale John Mwaisango akimpa zawadi Mume wake Mtarajiwa Jeofrey Shipela wa kwanza kulia ni mpambe wa Bwana harusi mtarajiwa Venance Matinya Bi. Harusi Mtarajiwa Tumpale John Mwaisango (kushoto)...

 

9 years ago

Bongo5

Shujaaz radio show na DJ Tee kuanza kuruka hewani kupitia East Africa Radio

EAR - Online Promo

Unamkumbuka yule dogo aliyeanzisha redio stesheni yake nyumbani kwao?

EAR - Online Promo

Bila shaka umewahi kusoma story yake kwenye kijarida cha kila mwezi kiitwacho SHUJAAZ ambacho husambazwa na gazeti la Mwanaspoti na vibanda vya Coca Cola.

Sasa hivi, dogo ana habari mpya na njema kwa vijana na wote wanaomfuatilia. Nyota imeanza kung’ara upande wake na sasa redio kubwa Tanzania EAST AFRICA RADIO imeamua kumpa nafasi aweze kusikika hewani na show yake mpya iitwayo SHUJAAZ.

“Show yangu itahusika na...

 

10 years ago

Michuzi

KITUO CHA RADIO 5 WAADHIMISHA SIKU YA RADIO DUNIANI

SAM_1097
Kushoto ni Mkuu wa vipindi vya Radio 5 Mathew Philip na Ashura Mohamed wakiwa katika picha ya  pamoja na wanafunzi wa sekondari walioshiriki katika maadhimisho hayo ya Radio duniani.  Akizungumza na waandishi wahabari hivi karibuni Mkuu wa vipindi wa Radio 5 Bw.Mathew Philip alisema maadhimisho hayo yalidhaminiwa na kituo hicho pamoja na Farm Radio, ikiwa ni kuhadhimisha siku ya Radio duniani ambapo ilifanyika  tarehe 13/2/2015...

 

10 years ago

Africanjam.Com

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani