Send Off ya Zourha Malisa wa Times FM Radio yafana Dar
Mtayarishaji wa Vipindi wa Radio FM, Zourha akimkabidhi zawadi ya Laptop mume wake mtarajiwa ambaye pia ni Mtalaamu wa IT wa kituo hicho, George Zuri wakati wa sherehe ya kuagwa jana kwenye Ukumbi wa Quality Centre, Dar es Salaam.(PICHA ZOTE NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA WA KAMANDA WA MATUKIO BLOG).
Bibi Harusi mtarajiwa, Zourha akilia baada ya kuagwa na baba yake, Malisa kushoto.
Zourha akiwapatia keki wazazi wake wakati wa sherehe hiyo
Wafanyakazi wenzie na baba wa Zourha, Mzee...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziSEND OFF YA ZOURHA MALISA WA TIMES FM RADIO YAFANA
Mtayarishaji wa Vipindi wa Radio FM, Zourha akimkabidhi zawadi ya Laptop mume wake mtarajiwa ambaye pia ni Mtalaamu wa IT wa kituo hicho, George Zuri wakati wa sherehe ya kuagwa jana kwenye Ukumbi wa Quality Centre, Dar es Salaam.PICHA ZOTE NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA WA KAMANDA WA MATUKIO BLOG Bibi Harusi mtarajiwa, Zourha akilia baada ya kuagwa na babake, Malisa kushoto Zourha akiwapatia keki wazazi wake wakati wa sherehe hiyo Wafanyakazi wenzie na baba wa Zourha, Mzee Malisa kutoka...
10 years ago
MichuziSEND OFF YA BI. ASNA ALLY MUAZINI YAFANA SANA
Bi Harusi mtarajiwa Asna Muazini akiwa katika pozi na tabasam katika Hafla yakuagwa kwake (SEND OFF) iliyofanyika hivi punde katika ukumbi wa DDC Keko jijini Dar es Salaam Bi Harusi mtarajiwa Asna Muazini akiwa na wapembe wake katika pozi wakati wa Hafla yakuagwa (SEND OFF) iliyofanyika hivi punde katika ukumbi wa DDC Keko Dar es Salaam, kushoto ni Wardat Saidi Juma anaye somea Uwandishi wa Habari huko Zanzibar maeneo ya Vuga na kulia ni Mwanafunzi wa Shule ya Lumumba Zanzibar...
9 years ago
Africanjam.ComRADIO: SIKILIZA HAPA TIMES FM "LIVE"
Afro Localrican music with the best Dj R Guy.Bongo.HomeThe largest type of music in Tanzania "Bongo Fleva" and you only get it right on Bongo Dot Home, With Alloy Sazia A.K.A Mapembe, Brand new songs, Interviews and song interpretation on LINE TATA.Club 100As you prepare to have a fun weekend, or go out with friends club 100 is where you get your mood at. Funky electric music to remind you its the weekend again with the just right and fun loving people.Dawati KuuDar Es Salaam, TanzaniaDJ...
10 years ago
MichuziSEND OFF PARTY YA NOREEN MHINA YAFANA KATIKA UKUMBI WA DELUXE SINZA
Bibi Harusi Mtarajiwa Noreen Mhina akiwa katika nyuso ya Furaha, jana tarehe 25.11.2014 Bibi Harusi Mtarajiwa Noreen akiwa amempata Mume wake mtarajiwa Leonard Baada ya kumsaka ukumbi Mzima kwa ajili ya kumtambulisha kwa wageni waalikwa . Bibi harusi Mtarajiwa Noreen akimvisha Mume wake mtarajiwa Leonard zawadi ya Saa Mara baada ya kutambulishwa Rasmi wa wageni waliofika katika Sherehe ya kumuaga.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
10 years ago
MichuziSEND OFF YA TUMPALE JOHN MWAISANGO, YAFANA KATIKA UKUMBI WA MKAPA JIJINI MBEYA
Tumpale John Mwaisango(kulia) Bi. Harusi mtarajiwa akiwa pamoja na Mume wake Mtarajiwa Jeofrey Daniel Shipela (kushoto) katika nyuso za Furaha wakati wa sherehe za kumuaga .Bi Harusi mtarajiwa Tumpale John Mwaisango akimpa zawadi Mume wake Mtarajiwa Jeofrey Shipela wa kwanza kulia ni mpambe wa Bwana harusi mtarajiwa Venance Matinya Bi. Harusi Mtarajiwa Tumpale John Mwaisango (kushoto) Akikata keki kulia ni Mpambe wake Monica.
BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI
BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI
10 years ago
VijimamboSHEREHE YA KUMUAGA (SEND OFF) TUMPALE JOHN MWAISANGO, YAFANA KATIKA UKUMBI WA MKAPA JIJINI MBEYA
Tumpale John Mwaisango(kulia) Bi. Harusi mtarajiwa akiwa pamoja na Mume wake Mtarajiwa Jeofrey Daniel Shipela (kushoto) katika nyuso za Furaha wakati wa sherehe za kumuaga .Hivi ndivyo ukumbi ulivyo ulivyokuwaBibi Harusi Mtarajiwa Tumpale John Mwaisango akiwa anaingia ukumbini Bi Harusi mtarajiwa Tumpale John Mwaisango akimpa zawadi Mume wake Mtarajiwa Jeofrey Shipela wa kwanza kulia ni mpambe wa Bwana harusi mtarajiwa Venance Matinya Bi. Harusi Mtarajiwa Tumpale John Mwaisango (kushoto)...
10 years ago
MichuziMH. CHIKAWE AWAONGOZA WAOMBOLEZAJI KUUAGA MWILI WA MAREHEMU KAMISHNA MKUU MSTAAFU WA JESHI LA MAGEREZA, ONEL MALISA JIJINI DAR
Mwili wa Marehemu, Kamishna Mkuu Mstaafu wa Magereza, Onel Malisa ukiwa umebebwa na Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Magereza tayari kwa zoezi la kuagwa Kijeshi katika Chuo cha Maafisa Magereza Ukonga, Jijini Dar es Salaam.Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mathias Chikawe akitoa heshima za mwisho kwa Marehemu Kamishna Mkuu Mstaafu wa Magereza, Onel Malisa ambaye ameagwa leo Kijeshi Juni 04, 2015 katika Chuo cha Maafisa Magereza Ukonga Jijini Dar es Salaam kabla ya kusafirishwa kwa mazishi...
10 years ago
VijimamboWAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI AWAONGOZA WAOMBOLEZAJI KUUAGA MWILI WA MAREHEMU KAMISHNA MKUU MSTAAFU WA JESHI LA MAGEREZA, ONEL MALISA JIJINI DAR
Mwili wa Marehemu, Kamishna Mkuu Mstaafu wa Magereza, Onel Malisa ukiwa umebebwa na Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Magereza tayari kwa zoezi la kuagwa Kijeshi katika Chuo cha Maafisa Magereza Ukonga, Jijini Dar es Salaam.Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mathias Chikawe akitoa heshima za mwisho kwa Marehemu Kamishna Mkuu Mstaafu wa Magereza, Onel Malisa ambaye ameagwa leo Kijeshi Juni 04, 2015 katika Chuo cha Maafisa Magereza Ukonga Jijini Dar es Salaam kabla ya kusafirishwa kwa mazishi...
11 years ago
TheCitizen11 Jul
Dar to send peacekeepers to Juba
>Tanzania will send a battalion of peacekeepers to South Sudan this year as part of its support to efforts aimed at stabilising the newest nation torn by civil strife.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania