Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KAMA HUKUBAHATIKA KUMSIKILIZA MH. WASSIRA WAKATI AKITANGAZA NIA YA URAIS, MSIKILIZE HAPA

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

ALICHOSEMA MWIGULU WAKATI AKITANGAZA NIA YA KUGOMBEA URAIS

Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba akizungumza na wananchi kwenye Ukumbi wa Chuo cha Mipango Dodoma alipotangaza nia ya kugombea urais kupitia CCM jana. Picha na Edwin Mjwahuzi
Dodoma/Dar. Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba ametangaza nia yake ya kugombea urais kupitia CCM katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba akieleza jinsi atakavyoivusha Tanzania kuwa nchi yenye uchumi wa kati utakaopatikana kwa kutoa haki kwa watu wote.Akitangaza nia hiyo jana kwenye Ukumbi wa Mwalimu Nyerere katika Chuo...

 

10 years ago

Dewji Blog

Moto wawaka ndani ya Lindi wakati Mheshimiwa Bernard Membe akitangaza nia ya kugombea urais 2015

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe akiwapungia mkono umati wa wana CCM na wakazi wa Lindi katika Viwanja vya Ofisi ya CCM Mkoa, wakati alipotangaza nia ya kugombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Uchaguzi Mkuu ujao wa Mwezi Oktoba. (Picha zote na Cathbert Kajuna wa Kajunason Blog).

Wananchi wakimsikiliza Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard...

 

10 years ago

Vijimambo

MATUKIO ZAIDI YA MH. MEMBE AKITANGAZA NIA YA KUGOMBEA URAIS WA TANZANIA


Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe akiusalimia umati wa wana CCM na wakazi wa Lindi, katika Viwanja vya Ofisi ya CCM Mkoa jana, wakati akitangaza nia ya kugombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Uchaguzi Mkuu ujao wa Mwezi Oktoba. Picha na John Badi
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe na mkewe Dorcas wakiupungia umati wa wana CCM na wakazi wa...

 

10 years ago

GPL

PROF. MWANDOSYA AKITANGAZA NIA YA KUWANIA URAIS KATIKA UKUMBI WA MKAPA JIJINI MBEYA

Profesa Mwandosya pamoja na familia yake katika Ukumbi wa Mkapa Mbeya kwenye mkutano wake na wananchi akitangaza nia ya kuwania urais. Mke wa Profesa Mwandosya Bi Lucy Mwandosya akiwasalimia wananchi Profesa Mwandosya akionesha uzalendo kwa kutembea na wananchi…

 

10 years ago

GPL

STEPHEN WASSIRA ATANGAZA NIA YA KUWANIA URAIS

Stephen Wassira akitangaza nia ya kuwania Urais kwenye Ukumbi wa wa BOT jijini Mwanza leo. WAZIRI wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Stephen Wassira leo ametangaza nia ya kuwania Urais kwenye Ukumbi wa wa BOT jijini Mwanza. Wassira anawania nafasi ya kugombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM). Katika hotuba yake wakati wa kutangaza nia yake, Wassira amesema amepata kuteuliwa kuongoza sehemu mbalimbali nchini maana marais wote...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani