Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MHE. BERNARD MEMBE ANAKUALIKA KESHO, JUNE 7, 2015 KUMSIKILIZA ATAKAPOKUWA ANATANGAZA NIA YA URAIS

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Moto wawaka ndani ya Lindi wakati Mheshimiwa Bernard Membe akitangaza nia ya kugombea urais 2015

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe akiwapungia mkono umati wa wana CCM na wakazi wa Lindi katika Viwanja vya Ofisi ya CCM Mkoa, wakati alipotangaza nia ya kugombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Uchaguzi Mkuu ujao wa Mwezi Oktoba. (Picha zote na Cathbert Kajuna wa Kajunason Blog).

Wananchi wakimsikiliza Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard...

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI BERNARD MEMBE ACHUKUA FOMU YA KUOMBA RIDHAA YA KUTEULIWA KUGOMBEA NAFASI YA URAIS 2015

 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernard Membe leo June 8, 2015 amechukua fomu za kuomba ridhaa ya kugombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) makao makuu ya chama hicho mjini Dodoma baada ya kutangaza nia hiyo jana (Jumapili). Waziri Membe akipokelewa fomu na Mkewe Dorcas mara baada ya kukabidhiwa fomu mjini Dodoma. Waziri Membe alipokelewa na makada na wafuasi wa chama hicho mjini Dodoma baada ya kukabidhiwa fomu hiyo na Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa...

 

11 years ago

Michuzi

Balozi Mdogo Mhe. Omar Mjenga na Mama Mjenga wamwandalia futari Mhe. Bernard Membe na ujumbe wake Dubai

 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard  Membe  akiwa na Balozi Mdogo wa Tanzania Dubai Mhe. Omar Mjenga wakisubiri muda wa  futari mjini Dubai leo. Mhe. Membe alikuea njiani  kuelekea Colombo, Sri Lanka kwenye mkutano wa Jumuiya ya Madola. Mheshimiwa Membe  akiwa na Mheshimiwa Balozi Mdogo Omar Mjenga kwenye futari.
 Mheshimiwa Membe  akiwa na Mheshimiwa Balozi Mdogo Omar Mjenga kwenye futari.Mheshimiwa Membe pamoja na Mhe. Mjenga, wakiwa katika mazungumzo kwenye...

 

10 years ago

GPL

BERNARD MEMBE: KACHERO ANAYEWANIA URAIS ANAVYOFAA AU ASIVYOFAA

    Mh.Bernard Membe KATIKA mfululizo wa makala hizi zinazochambua wasifu wa wanasiasa wanaotarajiwa kugombea urais katika Uchaguzi Mkuu 2015, leo ‘tunammulika’ Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Camillius Membe ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Mtama mkoani Lindi, Kusini mwa nchi yetu. Kama tutakavyoona katika uchambuzi huu, huyu ni mgombea mwenye historia fupi lakini yenye kujaa...

 

10 years ago

Vijimambo

MHE. BERNARD MEMBE AKABIDHI HUNDI YA $ 100,000 KWA MTOTO WA BRIGEDIA JEN. MSTAAFU HASHIM MBITA

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe Bernard K. Membe (Mb) (katikati) akikabidhi hundi yenye thamani ya Dola za Marekani laki moja kwa mtoto wa Brigedia Jen. Mstaafu Hashim Mbita, Bibi Shella Mbita. Bibi Mbita alipokea zawadi hiyo kwa niaba ya Baba yake ambayo imetolewa na Rais wa Zimbabwe, Mhe. Robert Mugabe kutokana mchango mkubwa alioutoa Brig. Jen. Mbita katika harakati za ukombozi Kuisini mwa Afrika. Mwingine katika picha ni Balozi wa Zimbabwe nchini Tanzania, Mhe....

 

11 years ago

Dewji Blog

Mhe. Bernard Membe, Naibu Spika Job Ndungai waongelea swala la raia pacha Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa kimataifa Mhe. Beranard Membe akiongoza mazungumuzo ya Raia Pacha alipokua akiongea na Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMV Bwn. Idd Sandaly na Katibu wake Amos Cherehani (hawapo pichani) wakiwemo maafisa wa Ubalozi na baadhi ya WanaDMV kwenye Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani siku ya Jumanne April 8, 2014 alipokaribishwa chakula cha jioni Ubalozini hapo huku Naibu spika Mhe. Job Ndungai akiongezea mawili matatu. Chini ni Audio ya mazungumuzo...

 

10 years ago

Vijimambo

MEMBE KUTANGAZA NIA YA URAIS JUMAMOSI WIKI HII


Na theNkoromo Blog WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa  Kimataifa, Bernard Membe, amewaomba Watanzania kusubiri kwa hamu siku ya kutangaza nia ya kuwania urais kwa tiketi ya CCM, katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu.
Membe amesema, amepanga kutangaza nia hiyo,  Juni 6, mwaka huu,  na kuwaomba wananchi wamsikilize kwa makini siku hiyo kwakuwa ataeleza kwa kina nini anataka kufanya nchi iweze kuondoka ilipo ikiwemo kuendelea kudumisha amani na utulivu uliopo.

Waziri Membe ambaye hajatangaza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani