Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MHE. BERNARD MEMBE ALIPOKUWA MBEYA KUSAKA WADHAMINI

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WAZIRI BERNARD MEMBE APATA WADHAMINI MKOA WA MBEYA

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe akiwapungia mkono wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), na wananchi waliofika kumpokea nje ya Ofisi ya CCM Mkoa wa Mbeya jana, baada ya kuwasili mkoani humo kwa ajili ya kutafuta wadhamini watakaotia saini fomu zake za kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho, ambapo aliweza kupata wadhamini zaidi ya 877. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa...

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI BERNARD MEMBE APOKELEWA KWA KISHINDO MBEYA NA KUPATA WADHAMINI


Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe akiwapungia mkono wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), na wananchi waliofika kumpokea nje ya Ofisi ya CCM Mkoa wa Mbeya leo June 10, 2015 baada ya kuwasili mkoani humo kwa ajili ya kutafuta wadhamini watakaotia saini fomu zake za kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho. Picha zote na John Badi.Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la...

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI BERNARD MEMBE APATA WADHAMINI GEITA

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (kushoto) akizungumza na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliofurika kwenye Ukumbi wa Ofisi ya CCM Wilaya ya Geita Juni 21.2015, kwa ajili ya kumdhamini ili aweze kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho. Picha zote na John BadWaziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (katikati mwenye miwani) akishangiliwa na...

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI BERNARD MEMBE APATA MAPOKEZI MAKUBWA BUKOBA AZOA WADHAMINI

Msafara wa bodaboda ukiongozi msafara wa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (hayupo pichani) baada ya kuwasili mjini Bukoba mkoani Kagera Juni 20.2015,kwa ajili ya kutafuta wadhamini wa kumdhamini ili aweze kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho, ambapo aliweza kupata wadhamini zaidi ya 500 mkoani humo.Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (mbele...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI BERNARD MEMBE APATA MAPOKEZI MAKUBWA BUKOBA, AZOA WADHAMINI LUKUKI

 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (kushoto) akizungumza na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na wananchi waliofurika nje ya Ofisi ya CCM Mkoa wa Kagera mjini Bukoba Juni 20.2015, alipokwenda kwa ajili ya kutafuta wadhamini wa kumdhamini ili aweze kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho, ambapo aliweza kupata wadhamini zaidi ya 500 mkoani humo. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na...

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI BERNARD MEMBE APATA MAPOKEZI MAKUBWA MOSHI MJINI AZOA WADHAMINI WAKUTOSHA

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (kulia) akizungumza na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wa Mkoa wa Kilimanjaro, waliofika katika Ofisi ya CCM ya wilaya ya Moshi Mjini Juni 17.2015, kwa ajili ya kumdhamini iliaweze kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho, ambapo aliweza kupata wadhamini zaidi ya 1,250. Picha zote na John BadiWaziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la...

 

11 years ago

Michuzi

Balozi Mdogo Mhe. Omar Mjenga na Mama Mjenga wamwandalia futari Mhe. Bernard Membe na ujumbe wake Dubai

 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard  Membe  akiwa na Balozi Mdogo wa Tanzania Dubai Mhe. Omar Mjenga wakisubiri muda wa  futari mjini Dubai leo. Mhe. Membe alikuea njiani  kuelekea Colombo, Sri Lanka kwenye mkutano wa Jumuiya ya Madola. Mheshimiwa Membe  akiwa na Mheshimiwa Balozi Mdogo Omar Mjenga kwenye futari.
 Mheshimiwa Membe  akiwa na Mheshimiwa Balozi Mdogo Omar Mjenga kwenye futari.Mheshimiwa Membe pamoja na Mhe. Mjenga, wakiwa katika mazungumzo kwenye...

 

10 years ago

Vijimambo

BERNARD MEMBE APATA WADHAMINI WILAYANI CHAMWINO -DODOMA, ATEMBELEA MNARA WA KUMBUKUMBU YA MW. NYERERE KATIKA KIJIJI CHA CHAMWINO IKULU

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (kushoto) akilakiwa na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliofika kwenye viwanja vya Ofisi ya Serikali ya Kijiji cha Chamwino Ikulu, wilayani Chamwino Mkoa wa Dodoma Juni 22.2015, kwa ajili ya kumdhamini ili aweze kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho. Picha zote na John Badi Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani