Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Pinda aongoza harambee ya Mkapa Fellows

PG4A3120

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza katika harambee ya kuchangia Mradi wa Mkapa Fellows kwenye hoteli ya JB Belmont jijini Mwanza August 23, 2014. Zaidi ya sh. Bilioni 1.3 zilichangwa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A3152

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipokea mchango wa shilingi milioni 15 kutoka kwa Mfanyabiashara wa Mwanza na Dar es salaam Jumanne Kishimba katika harambee ya kuchangia  Mradi wa Mkapa Fellows iliyofanyiak kwenye hoteli ya JB Belmont jijini Mwanza August 23,2014. Zaidi ya...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MH. PINDA AONGOZA HARAMBEE YA MKAPA FELLOWS JIJINI MWANZA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza katika harambee ya kuchangia Mradi wa Mkapa Fellows kwenye hoteli ya JB Belmont jijini Mwanza August 23, 2014. Zaidi ya sh. Bilioni 1.3 zilichangwa. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipokea mchango wa shilingi milioni 15 kutoka kwa Mfanyabiashara wa Mwanza na Dar es salaam Jumanne Kishimba katika harambee ya kuchangia Mradi wa Mkapa Fellows iliyofanyiak kwenye hoteli ya JB Belmont jijini Mwanza August 23,2014. Zaidi ya Shilingi Bilioni 1.3 zilichangwa. Rais...

 

10 years ago

Michuzi

Pinda aongoza harambee ya kuchangia ujenzi wa kanisa Katoliki la Kibiti Mkoani Pwani

 Mh Waziri Mkuu Mizengo Pinda akipokea picha ya mji wa Jerusalemu kutoka kwa Muadhama, Askofu Mkuu Polycarp Kardinali Pengo   katika chakula cha jioni kilichoandaliwa katika makazi Muadhama, Askofu Mkuu Polycarp Kardinali Pengo Kurasini jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo kwa ajili ya kuchangia ujenzi wa kanisa Katoliki la Kibiti Mkoani Pwani Waziri Mkuu alikuwa mgeni rasimi katika shughuli hiyo ambapo kulipatikana pesa tasilimu na ahadi shilingi milioni miamoja ishirini na saba laki...

 

10 years ago

Michuzi

MH. PINDA AKUTANA NA MZEE MKAPA NA MAMA ANNA MKAPA JIJINI MWANZA

PG4A2748Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na  Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa na mkewe Mama Anna Mkapa kwenye Ikulu ya Mwanza  ambako atakuwa  mgeni rasmi katiaka harambee ya Mkapa Foundation inayotarajiwa kufanyika  jijini Mwanza.
PG4A2753Waziri Mkuu Mizengo  Pinda akizungumza na  Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa na mkewe Mama Anna Mkapa kwenye Ikulu ya Mwanza  ambako  atakuwa   mgeni rasmi katiaka harambee ya Mkapa Foundation inayotarajiwa kufanyika  jijini Mwanza. (Picha na Ofisi ya Waziri...

 

11 years ago

Michuzi

JK aongoza Harambee ujenzi wa Kanisa la KKKT Bumbuli

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiteta jambo na Naibu waziri Mawasiliano Sayansi na Technolojia na mbunge wa Bumbuli January Makamba wakati wa harambee ya kuchangia ujenzi wa kanisa la Bumbuli Shughuli hiyo imefanyika katika Hotel ya Golden Tulip  Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifurahia wimbo wa wanabumbuli mara baada ya kuwasili katika ukumbi wa Hotel ya Golden Tulip kwa ajili ya harambee ya kuchangia ujenzi wa kanisa la Kilutheri la Bumbuli, Kushoto ni askofu mkuu wa KKKT DKt.Gerhas...

 

9 years ago

Michuzi

DK. KIMEI AONGOZA HARAMBEE YA UJENZI WA KANISA LA KKKT USHARIKA WA SIHA MKOANI KILIMANJARO

  Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akizungumza wakati wa ibada maalum iliyofanyika katika Kanisa la KKKT Usharika wa Siha Sango Mkoani Kilimanjaro. Ibada hiyo ilikwenda sambamba na harambee ya kuchangia ujenzi wa kanisa hilo ambapo zaidi ya shs Milioni 100 zilipatikana.















Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Kiijili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Cuthbert Temba akiongoza ibada. Waumini wa Kanisa hilo wakiwa katiba ibada.  Katibu Mkuu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani, Goodfrey...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mkapa aongoza mazishi ya Meja Jenerali Lupogo

RAIS mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa jana aliwaongoza viongozi mbalimbali na mamia ya waombolezaji katika mazishi ya Meja Jenerali mstaafu Herman Lupogo kwenye makaburi ya Kinondoni jijini Dar...

 

11 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AONGOZA HARAMBEE KUCHANGIA WODI YA DHARURA YA WATOTO NA VIFAA VYAKE HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete usiku wa jana, Jumamosi, Februari 22, 2014, aliongoza harambee ya kupatikana kwa zaidi ya sh milioni 600 kwa ajili ya ununuzi wa vifaa vya kisasa vya matibabu kwa ajili ya Wodi ya Watoto katika Hospitali ya Taifa, Muhimbili, Dar Es Salaam.  Katika halfa hiyo iliyofanyika kwenye Hoteli ya Golden Tulip, Dar Es Salaam, Rais Kikwete pia ameahidi kuendeleza kuongoza jitihada za kupatikana kwa kiasi cha sh milioni 328...

 

5 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS AONGOZA HARAMBEE UJENZI WA JENGO LA OFISI NA UKUMBI LA KITEGA UCHUMI WA CCM MKOA WA PWANI


Mhandisi wa ujenzi wa Jengo la Ofisi na Ukumbi la Kitega Uchumi wa CCM Mkoa wa Pwani  Suleiman Nassor  akimuelezea  Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM na Mlezi  wa CCM Mkoa wa Dar es salaam na Pwani ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, kuhusu  Jengo hilo litakavyokuwa  wakati  Makamu wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani