Mkapa aongoza mazishi ya Meja Jenerali Lupogo
RAIS mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa jana aliwaongoza viongozi mbalimbali na mamia ya waombolezaji katika mazishi ya Meja Jenerali mstaafu Herman Lupogo kwenye makaburi ya Kinondoni jijini Dar...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziRAIS MSTAAFU BENJAMIN MKAPA AONGOZA WAOMBOLEZAJI KATIKA MAZISHI YA MEJA JENERALI HERMAN LUPOGO
PICHA...
11 years ago
Tanzania Daima13 Oct
JK aongoza mazishi ya Meja Jenerali Kimario
RAIS Jakaya Kikwete ameongoza maelfu ya wakazi wa mji wa Moshi na mikoa ya jirani katika mazishi ya Meja Jenerali mstaafu wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), Muhidin Mfaume Kimario...
11 years ago
Michuzi
RAIS KIKWETE AONGOZA MAZISHI YA MEJA JENERALI MSTAAFU MUHIDDIN MFAUME KIMARIO MJINI MOSHI


11 years ago
Habarileo21 Oct
JK aomboleza kifo cha Meja Jenerali Lupogo
RAIS Jakaya Kikwete ametuma salamu za rambirambi na pole kwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini, Jenerali Davis Mwamunyange kuomboleza kifo cha Meja Jenerali Herman Lupogo aliyeaga dunia Jumapili ya Oktoba 19, 2014, akiwa na umri wa miaka 76 katika Hospitali Kuu ya Jeshi ya Lugalo, Dar es Salaam ambako alikuwa anapata matibabu.
11 years ago
Michuzi
MWILI WA WAZIRI WA ZAMANI MEJA JENERALI KIMARIO UMEWASILI TAYARI KWA MAZISHI

Mwili wa aliyekuwa Waziri mwandamizi kwenye serikali ya awamu ya kwanza na pili Meja Jenerali (mstaafu) Muhiddin Mfaume Kimario umewasili leo mchana kwa ndege ya shirika la Ethiopia kutoka nchini India alikokuwa akipata matibabu tayari kwa mazishi siku ya Jumamosi mjini Moshi Mkoani Kilimanjaro.
Mwili wa Meja Jenerali Kimario uliwasili jana saa saba mchana kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere (JKNIA) na ...
11 years ago
GPL
RAIS KIKWETE AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUAGA MWILI WA MAREHEMU MEJA JENERALI AIDAN ISIDORE MFUSE
11 years ago
Vijimambo
RAIS KIKWETE AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUAGA MWILI WA MAREHEMU MEJA JENERALI AIDAN ISIDORE MFUSE LEO


5 years ago
Michuzi
CGP SULEIMAN MZEE APANDISHWA CHEO NA RAIS MAGUFULI TOKA BREGEDIA JENERALI KUWA MEJA JENERALI

Meja Jenerali Suleiman Mzee ambaye pia ni Kamishna Jenerali wa Magereza, akizungumza na Maafisa na askari wa Makao Makuu ya Jeshi la Magereza(hawapo pichani) mapema leo Juni 3, 2020 katika hafla fupi ya kumpongeza iliyofanyika Ofisi za Makao Makuu ya Magereza leo Juni 3, 2020, jijini Dodoma. Meja Jenerali Mzee amepandishwa cheo hicho na Rais na...
11 years ago
Tanzania Daima08 Apr
Meja Jenerali Msemwa kuzikwa leo
MWILI wa aliyekuwa Meja Jenerali wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Kevin Msemwa, umewasili mjini Songea na kupokewa na viongozi mbalimbali wa serikali akiwemo Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma,...