Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JK aomboleza kifo cha Meja Jenerali Lupogo

RAIS Jakaya Kikwete ametuma salamu za rambirambi na pole kwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini, Jenerali Davis Mwamunyange kuomboleza kifo cha Meja Jenerali Herman Lupogo aliyeaga dunia Jumapili ya Oktoba 19, 2014, akiwa na umri wa miaka 76 katika Hospitali Kuu ya Jeshi ya Lugalo, Dar es Salaam ambako alikuwa anapata matibabu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Mkapa aongoza mazishi ya Meja Jenerali Lupogo

RAIS mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa jana aliwaongoza viongozi mbalimbali na mamia ya waombolezaji katika mazishi ya Meja Jenerali mstaafu Herman Lupogo kwenye makaburi ya Kinondoni jijini Dar...

 

10 years ago

Tanzania Daima

JK aombeleza kifo cha Meja Jenerali Kimario

RAIS Jakaya Kikwete amemtumia salamu za rambirambi Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk. Hussein Mwinyi kutokana na kifo cha Meja Jenerali Muhidin Kimario kilichotokea jana nchini India...

 

10 years ago

Habarileo

Kikwete aomboleza kifo cha Jenerali Makunda

RAIS Jakaya Kikwete amemtumia Salamu za Rambirambi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Jenerali Davis Mwamunyange kufuatia kifo cha Meja Jenerali mstaafu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Rowland Makunda.

 

10 years ago

Michuzi

RAIS MSTAAFU BENJAMIN MKAPA AONGOZA WAOMBOLEZAJI KATIKA MAZISHI YA MEJA JENERALI HERMAN LUPOGO

 Rais mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa na mkewe wakiweka shada la maua katika kaburi la Meja Jenerali mstaafu, Herman Lupogo wakati wa mazishi yake katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam. Meja Lupogo alifariki Oktoba 19 katika hospitali ya Jeshi ya Lugalo. 
 Mke wa marehemu akiweka shada la maua. Familia ikiweka shada la maua. Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange akiweka shada la maua. Mashada ya maua yakiwekwa. Heshima kwa marehemu Meja Jenerali Herman Lupogo.
PICHA...

 

5 years ago

Michuzi

CGP SULEIMAN MZEE APANDISHWA CHEO NA RAIS MAGUFULI TOKA BREGEDIA JENERALI KUWA MEJA JENERALI



Meja Jenerali Suleiman Mzee ambaye pia ni Kamishna Jenerali wa Magereza, akizungumza na Maafisa na askari wa Makao Makuu ya Jeshi la Magereza(hawapo pichani) mapema leo Juni 3, 2020 katika hafla fupi ya kumpongeza iliyofanyika Ofisi za Makao Makuu ya Magereza leo Juni 3, 2020, jijini Dodoma. Meja Jenerali Mzee amepandishwa cheo hicho na Rais na...

 

11 years ago

Michuzi

JK aomboleza kifo cha Nkwabi Ng’wanakilala

Nkwabi-Ng’wanakilalaRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ametuma salamu za rambirambi kuomboleza kifo cha mwandishi wa habari mkongwe na mhadhiri mwandamizi katika Chuo Kikuu cha Mt. Augustine, Bwana Nkwabi Ng’wanakilala.Bwana Ng’wanakilala ambaye alifariki dunia mwishoni mwa wiki kwenye Hospitali ya Rufani ya Bugando mjini Mwanza kwa matatizo ya figo na tumbo, alizikwa  Jumatatu, Julai Mosi, 2014, nyumbani kwake Kibamba, Dar es Salaam.Katika salamu ambazo amemtumia Mkuu wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Malinzi aomboleza kifo cha Marsh

Aliyekuwa kocha msaidizi wa Taifa Stars, Sylvester Marsh amefariki dunia jana kwenye Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dar es Salaam.

 

11 years ago

Habarileo

Kikwete aomboleza kifo cha Kundya

RAIS Rais Jakaya Kikwete ametuma salamu za rambirambi kwa Mkuu wa Mkoa wa Singida, Dk Parseko Kone, kuomboleza kifo cha aliyepata kuwa Naibu Waziri, Mbunge na Katibu Mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata), Mahami Kundya.

 

9 years ago

Dewji Blog

JK aomboleza kifo cha Mchungaji Mtikila

1

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ametuma salamu za rambirambi na maombolezo kumlilia Mwenyekiti wa Chama cha Siasa cha Democratic Party (DP), Mchungaji Christopher Mtikila (pichani), ambaye alipoteza maisha katika ajali ya gari iliyotokea alfajiri ya leo, Jumapili, Oktoba 4, 2015, katika Kijiji cha Msolwa, Wilaya ya Bagamoyo, Mkoa wa Pwani.

Katika salamu zake za rambirambi kwa Chama cha DP, Rais Kikwete amesema: “ Nimepokea kwa huzuni kubwa taarifa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani