Kikwete aomboleza kifo cha Jenerali Makunda
RAIS Jakaya Kikwete amemtumia Salamu za Rambirambi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Jenerali Davis Mwamunyange kufuatia kifo cha Meja Jenerali mstaafu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Rowland Makunda.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo21 Oct
JK aomboleza kifo cha Meja Jenerali Lupogo
RAIS Jakaya Kikwete ametuma salamu za rambirambi na pole kwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini, Jenerali Davis Mwamunyange kuomboleza kifo cha Meja Jenerali Herman Lupogo aliyeaga dunia Jumapili ya Oktoba 19, 2014, akiwa na umri wa miaka 76 katika Hospitali Kuu ya Jeshi ya Lugalo, Dar es Salaam ambako alikuwa anapata matibabu.
11 years ago
Habarileo29 Jul
Kikwete aomboleza kifo cha Kundya
RAIS Rais Jakaya Kikwete ametuma salamu za rambirambi kwa Mkuu wa Mkoa wa Singida, Dk Parseko Kone, kuomboleza kifo cha aliyepata kuwa Naibu Waziri, Mbunge na Katibu Mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata), Mahami Kundya.
10 years ago
Habarileo05 Aug
Kikwete aomboleza kifo cha Mzee Kisumo
RAIS Jakaya Kikwete ameelezea kuhuzunishwa na kifo cha mmoja wa wanasiasa wakongwe nchini, Mzee Peter Kisumo ambaye alipata kuwa Mzee wa Chama cha TANU, Muasisi na mdhamini wa CCM na aliyeshikilia nafasi nyingi za uongozi ndani ya Serikali na utumishi wa umma ukiwemo uwaziri.
11 years ago
Habarileo03 Jul
Rais Kikwete aomboleza kifo cha Ng’wanakilala
RAIS Jakaya Kikwete ametuma salamu za rambirambi, kuomboleza kifo cha mwandishi wa habari mkongwe na mhadhiri mwandamizi katika Chuo Kikuu cha Mt. Augustine, Nkwabi Ng’wanakilala.
11 years ago
Dewji Blog02 Jul
Rais Kikwete aomboleza kifo cha Nkwabi Ng’wanakilala
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ametuma salamu za rambirambi kuomboleza kifo cha mwandishi wa habari mkongwe na mhadhiri mwandamizi katika Chuo Kikuu cha Mt. Augustine, Bwana Nkwabi Ng’wanakilala.
Bwana Ng’wanakilala ambaye alifariki dunia mwishoni mwa wiki kwenye Hospitali ya Rufani ya Bugando mjini Mwanza kwa matatizo ya figo na tumbo, alizikwa jana, Jumatatu, Julai Mosi, 2014, nyumbani kwake Kibamba, Dar es Salaam.
Katika salamu ambazo amemtumia...
10 years ago
Dewji Blog11 May
Rais Kikwete aomboleza kifo cha John Nyerere
Rais Jakaya Mrisho Kikwete ametuma salama za rambirambi kwa mama Maria Nyerere na familia yake kwa kuondokewa na mmoja wa wana familia yake, Bw. John Nyerere aliyefariki Jumamosi Mei 9,2015 katika Hospitali ya Muhimbili jijini Dar es Salaam
Pamoja na salamu hizi, Rais Kikwete ambaye yuko nchini Alrgeria kwa ziara ya kikazi, amefanya mawasiliano binafsi na Mama Maria na kumpa pole kwa kuondokewa na kijana wake.
“Hakuna mzazi anayependa kuondokewa na mwanae, ni kitu kigumu sana kwa mzazi...
10 years ago
Dewji Blog31 Oct
Rais Kikwete aomboleza kifo cha mzee Ben Kiko
Marehemu mzee Ben Hamis Kikoromo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia Salamu za Rambirambi Waziri wa Habari, Vijana Utamaduni na Michezo, Mheshimiwa Dkt. Fenela Mukangara kuomboleza kifo cha aliyekuwa Mtangazaji na Mwandishi Mkongwe na Mahiri hapa nchini wa iliyokuwa Radio Tanzania Dar es Salaam (RTD) ambayo kwa sasa ni TBC Taifa, Ben Hamis Kikoromo maarufu kama Ben Kiko.
Ben Kiko amefariki dunia usiku wa kuamkia tarehe 31 Oktoba, 2014...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Apuk65MO0R18dQGI6uh*OEDQmU*V0WJIDjB5CeRfxoptceqc-YNuRtvwqO1YgLTM9eTokQwwPaFkQBP9KtUrbLguAEQDjHcS/1536668_695124830520391_2134470031_n.jpg)
11 years ago
Michuzi23 Feb