JK aomboleza kifo cha Mchungaji Mtikila
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ametuma salamu za rambirambi na maombolezo kumlilia Mwenyekiti wa Chama cha Siasa cha Democratic Party (DP), Mchungaji Christopher Mtikila (pichani), ambaye alipoteza maisha katika ajali ya gari iliyotokea alfajiri ya leo, Jumapili, Oktoba 4, 2015, katika Kijiji cha Msolwa, Wilaya ya Bagamoyo, Mkoa wa Pwani.
Katika salamu zake za rambirambi kwa Chama cha DP, Rais Kikwete amesema: “ Nimepokea kwa huzuni kubwa taarifa...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/07/Christopher-Mtikila.jpg)
TAARIFA YA POLISI KUHUSU KIFO CHA MCHUNGAJI MTIKILA
9 years ago
VijimamboBARAZA LA VYAMA VYA SIASA LAAHIRISHWA KUTOKANA NA KIFO CHA MCHUNGAJI CHRISTOPHER MTIKILA
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-sl485ffxMkw/VhLrp67HWKI/AAAAAAAH9PE/HUtNrMbZiSY/s72-c/unnamed%2B%25286%2529.jpg)
Baraza la Vyama vya Siasa nchini latuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha Mchungaji Mtikila
![](http://2.bp.blogspot.com/-sl485ffxMkw/VhLrp67HWKI/AAAAAAAH9PE/HUtNrMbZiSY/s640/unnamed%2B%25286%2529.jpg)
11 years ago
Habarileo29 Jul
Kikwete aomboleza kifo cha Kundya
RAIS Rais Jakaya Kikwete ametuma salamu za rambirambi kwa Mkuu wa Mkoa wa Singida, Dk Parseko Kone, kuomboleza kifo cha aliyepata kuwa Naibu Waziri, Mbunge na Katibu Mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata), Mahami Kundya.
10 years ago
Mwananchi15 Mar
Malinzi aomboleza kifo cha Marsh
11 years ago
Michuzi03 Jul
JK aomboleza kifo cha Nkwabi Ng’wanakilala
![Nkwabi-Ng’wanakilala](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/07/Nkwabi-Ng%E2%80%99wanakilala.jpg)
11 years ago
Habarileo03 Jul
Rais Kikwete aomboleza kifo cha Ng’wanakilala
RAIS Jakaya Kikwete ametuma salamu za rambirambi, kuomboleza kifo cha mwandishi wa habari mkongwe na mhadhiri mwandamizi katika Chuo Kikuu cha Mt. Augustine, Nkwabi Ng’wanakilala.
10 years ago
Habarileo21 Oct
JK aomboleza kifo cha Meja Jenerali Lupogo
RAIS Jakaya Kikwete ametuma salamu za rambirambi na pole kwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini, Jenerali Davis Mwamunyange kuomboleza kifo cha Meja Jenerali Herman Lupogo aliyeaga dunia Jumapili ya Oktoba 19, 2014, akiwa na umri wa miaka 76 katika Hospitali Kuu ya Jeshi ya Lugalo, Dar es Salaam ambako alikuwa anapata matibabu.
10 years ago
Habarileo19 Oct
Kikwete aomboleza kifo cha Jenerali Makunda
RAIS Jakaya Kikwete amemtumia Salamu za Rambirambi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Jenerali Davis Mwamunyange kufuatia kifo cha Meja Jenerali mstaafu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Rowland Makunda.