Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAARIFA YA POLISI KUHUSU KIFO CHA MCHUNGAJI MTIKILA

Marehemu Christopher Mtikila enzi za uhai wake. Mnamo tarehe 04/10/2015 majira ya saa 05:45hrs huko Msolwa Kata ya Bwilingu barabara kuu ya Dar es Salaam – Morogoro, Wilaya ya Ki-Polisi Chalinze, Mkoa wa Pwani. Gari No. T.189 AGM aina ya Toyota Corolla likiendeshwa na George Steven Ponera miaka 31, mkazi wa Mbezi Mwisho Dar es Salaam liliacha barabara kisha kupinduka na kusababisha kifo cha Christopher Mtikila miaka 62,...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

JK aomboleza kifo cha Mchungaji Mtikila

1

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ametuma salamu za rambirambi na maombolezo kumlilia Mwenyekiti wa Chama cha Siasa cha Democratic Party (DP), Mchungaji Christopher Mtikila (pichani), ambaye alipoteza maisha katika ajali ya gari iliyotokea alfajiri ya leo, Jumapili, Oktoba 4, 2015, katika Kijiji cha Msolwa, Wilaya ya Bagamoyo, Mkoa wa Pwani.

Katika salamu zake za rambirambi kwa Chama cha DP, Rais Kikwete amesema: “ Nimepokea kwa huzuni kubwa taarifa...

 

9 years ago

Vijimambo

BARAZA LA VYAMA VYA SIASA LAAHIRISHWA KUTOKANA NA KIFO CHA MCHUNGAJI CHRISTOPHER MTIKILA

Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa Nchini, Peter Mziray (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, kuhusu kuahirishwa kwa kikao cha baraza hilo kilichokuwa kifanyike Oktoba 6 na r7, 2015 kutokana na kifo Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Democratic Party (DP), Mchungaji Christopher Mtikila. Kulia ni Msajili Msaidizi wa Vyama Vya Siasa, Sisty Nyahoza na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge na Siasa na Rais wa ADA, John Chipaka.Msajili Msaidizi wa...

 

9 years ago

Michuzi

Baraza la Vyama vya Siasa nchini latuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha Mchungaji Mtikila

 Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa nchini Peter Kuga Mzirai (katikati) akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo jijini Dar es salaam alipokuwa akitoa salamu za rambirambi na kutoa taarifa ya kuahirishwa kwa kikao cha Baraza la Vyama vya Siasa kilichokuwa kifanyike tarehe 06 na 07 Oktoba, 2015 katika Hoteli Bwawani Zanzibar  hadi tarehe nyingine itakapotangazwa tena kutokana na msiba wa Mwenyekiti wa taifa wa Democratic Party (DP) Mchungaji Christopher Mtikila kilichotokea...

 

9 years ago

Vijimambo

Polisi yaeleza sababu kifo cha Mtikila

  Mchungaji Christopher MtikilaKibaha/Dar. Polisi mkoani Pwani, imeweka bayana sababu za kitaalamu za kifo cha aliyekuwa Mwenyekiti wa DP, Mchungaji Christopher Mtikila ikisema alivunjika mbavu nane upande wa kushoto, damu kuingia kwenye mfumo wa hewa na kushindwa kupumua.

Mchungaji Mtikila alifariki dunia juzi alfajiri baada ya gari alilokuwa akisafiria kutoka Njombe kwenda Dar es Salaam, likiwa katika mwendo mkali, kuacha njia na kupinduka. Alirushwa nje kupitia kioo cha mbele kutokana na kutofunga mkanda.

Katika ajali...

 

9 years ago

Raia Mwema

Kingunge kakurupuka, Polisi nao wamekurupuka kifo cha Mtikila

HATIMAYE tumebakiwa na takriban wiki mbili tu kabla ya Uchaguzi Mkuu uliopangwa kufanyika hapo Ok

Evarist Chahali

 

5 years ago

BBCSwahili

Kifo cha George Floyd: Tunafahamu nini kuhusu maafisa 4 wa polisi waliohusika?

Wako wapi maafisa wengine watatu waliokuwepo wakati wa kukamatwa kwa George Floyd na kushuhudia Derek Chauvin akimzuilia chini kwa kutumia goti lake?

 

9 years ago

Michuzi

MWENYEKITI wa chama cha DP mchungaji Christopher Mtikila azikwa kijijini kwake Milo Wilaya ya Ludewa

 Wananchi wakimsikiliza Mhe. Deo Filikunjombe wakati wa mazishi ya Mwenyekiti wa  chama cha DP mchungaji Christopher Mtikila kijijini kwake Milo Wilaya ya Ludewa mkoa wa Njombe leo

Mhe. Deo Filikunjombe akiongea wakati wa mazishi ya Mwenyekiti wa  chama cha DP mchungaji Christopher Mtikila kijijini kwake Milo Wilaya ya Ludewa mkoa wa Njombe leo Mhe DeomFilikunjombea akitoa mkono wa pole  kwa wafiwa  katikati ni mjane Mama Georgina  Mtikila. Waombolezaji wakiwa msibani Mhe Deo Filikunjombe na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani