Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TANZIA:TAARIFA YA KIFO CHA MCHUNGAJI DKT GERTRUDE RWAKATALE KILICHOTOKEA LEO ASUBUHI JIJINI DAR.


Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

TANZIA: Taarifa ya kifo cha mama Betisheba Ketangenyi, Maryland, Marekani

Bettisheba Pole Ketang'enyi Bettisheba Pole Ketang'enyi enzi ya uhai wakeTunasikitika kutangaza kifo cha mama Betisheba Ketangenyi, mama yake Yvonne Matinyi, Felicia Simms, Fredderek Ketangenyi pia ni Dada yake na Rossie Musika, Neema Musika, Daudi Musika na Sijaona Musika, kilichotekea tarehe Septemba 30, 2015 katika hospitali ya NIH Maryland, Marekani.

Mipango ya kusafiri mwili wa marehemu inaendelea kwa mdogo wa marehemu Daudi Musika wa 3819 Gateway terrace Burtonsville MD 20866.
Unaweza kuwasiliana na:
Frederick...

 

9 years ago

GPL

TAARIFA YA POLISI KUHUSU KIFO CHA MCHUNGAJI MTIKILA

Marehemu Christopher Mtikila enzi za uhai wake. Mnamo tarehe 04/10/2015 majira ya saa 05:45hrs huko Msolwa Kata ya Bwilingu barabara kuu ya Dar es Salaam – Morogoro, Wilaya ya Ki-Polisi Chalinze, Mkoa wa Pwani. Gari No. T.189 AGM aina ya Toyota Corolla likiendeshwa na George Steven Ponera miaka 31, mkazi wa Mbezi Mwisho Dar es Salaam liliacha barabara kisha kupinduka na kusababisha kifo cha Christopher Mtikila miaka 62,...

 

10 years ago

Dewji Blog

Dkt. Kigoda azindua bodi ya uongozi ya chuo cha CBE leo Jijini Dar

Picha na 1

Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Abdallah Kigoda akisalimiana na viongozi na wafanyakazi wa Chuo cha Elimu ya Biashara kampasi ya Dar es salaam alipowasili chuoni hapo kuzindua Bodi mpya ya uongozi ya Chuo hicho leo.

Na Aron Msigwa –MAELEZO

Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Abdallah Kigoda amezindua rasmi Bodi ya Uongozi ya Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) na kuitaka bodi hiyo kufanya kazi zake kwa kuzingatia sheria na kushirikiana na menejimenti ya chuo hicho kuweka mikakati na...

 

10 years ago

Michuzi

TAARIFA YA CHAMA CHA CUF KUFUATIA MWENYEKITI WAO KUTANGAZA KUJIUZULU LEO JIJINI DAR

Leo tarehe 6 Agosti, 2015 Profesa Ibrahim Lipumba aliitisha mkutano na waandishi wa habari katika Hoteli ya Peacock, mjini Dar es Salaam na kutangaza kwamba amejizulu nafasi yake kama Mwenyekiti wa Taifa wa Chama Cha Wananchi (CUF).

Sisi kama Chama tumezipokea taarifa hizo na tunayaheshimu maamuzi yake. Ni haki yake ya kikatiba na haki ya kidemokrasia kufanya maamuzi anayoyaona yana maslahi kwake.
Bila shaka, Profesa Ibrahim Lipumba amekifanyia kazi kubwa Chama chetu katika miaka 16 ambayo...

 

10 years ago

Michuzi

KIVUKO CHA MV DAR ES SALAAM CHAWASILI KATIKA BANDARI YA DAR LEO ASUBUHI

Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli kushoto akimuonesha Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadiki Meli kubwa ya mizigo iliyobeba Kivuko kipya cha MV Dar es Salaam ilipokuwa inakaribia kutia nanga katika bandari ya Dar es Salaam.Taaswira ya Kivuko cha MV Dar es Salaam kama kinavyoonekana juu ya Meli kabla ya kushushwa majini katika bandari ya Dar es Salaam.Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli akionesha furaha yake ndani ya Kivuko hicho cha MV Dar es Salaam.Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam...

 

5 years ago

CCM Blog

BREAKING NEWS: MCHUNGAJI MAMA GERTRUDE RWAKATARE AFARIKI DUNIA

Mchungaji wa Kanisa la Mlima wa Moto, Askofu Gertrude Rwakatare amefariki dunia alfajiri ya leo ya Aprili 20, 2020.

Mtoto wake Muta Rwakatare amethibitisha.
Taarifa zaidi tutawaletea kadri tutakavyoendelea kupata taarifa.

 

10 years ago

GPL

APIGWA RISASI ASUBUHI YA LEO, YOMBO VITUKA JIJINI DAR ES SALAAM!

Mwili wa marehemu aliyefahamika kwa jina la Betty baada ya kupigwa risasi asubuhi ya leo, Yombo Vituka, Temeke  jijini Dar es Salaam akiwa kwenye gari aina ya Toyota Pick Up ya Tunu Security na watu waliokuwa na bodaboda.…

 

10 years ago

Vijimambo

AJALI YA ROLI KUGONGA TRENI ENEO LA KARUME JIJINI DAR LEO ASUBUHI


Injini ya treni almaarufu kama kichwa cha treni kikiwa nje ya njia yake (reli), jirani na machinga complex, barabara ya Kawawa jijini Dar es Salaam leo Ijumaa Machi 27, 2015, baada ya kulibamiza lori lililokuwa na shehena ya ngano mali ya kampuni ya Nyati. Dhahma hiyo ilitokea mapema asubuhi, lakini hadi inafika saa nane mchana, bado shughuli ya kukirejesha kichwa hicho kwenye nia yake ilikuwa pevu ambapo muda wote huo barabara ya Kawawa kutoka machinga compelex hadi kwenye mataa ya...

 

9 years ago

Michuzi

MWENYEKITI WA CCM DKT. JAKAYA KIKWETE AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Mwenyekiti wa CCM Taifa, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha Kamati kuu ya CCM jijini Dar es salaam ambacho kimehudhuriwa kwa mara ya kwanza na Rais wa Awamu ya Tano, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli. PICHA NA ISSA MICHUZI - IKULU.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani