TANZIA: Taarifa ya kifo cha mama Betisheba Ketangenyi, Maryland, Marekani
![](http://4.bp.blogspot.com/-3RJKVvYUGXY/VgxcM47towI/AAAAAAAD_J4/nCb1SG3-leE/s72-c/b4a6297d3516cc010eda1174237cbdd5.jpg)
Bettisheba Pole Ketang'enyi enzi ya uhai wakeTunasikitika kutangaza kifo cha mama Betisheba Ketangenyi, mama yake Yvonne Matinyi, Felicia Simms, Fredderek Ketangenyi pia ni Dada yake na Rossie Musika, Neema Musika, Daudi Musika na Sijaona Musika, kilichotekea tarehe Septemba 30, 2015 katika hospitali ya NIH Maryland, Marekani.
Mipango ya kusafiri mwili wa marehemu inaendelea kwa mdogo wa marehemu Daudi Musika wa 3819 Gateway terrace Burtonsville MD 20866.
Unaweza kuwasiliana na:
Frederick...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-AKwga6JRAgk/Xp1zkW_0sMI/AAAAAAALndM/WwKtkUAxN-8go2bGQoOEuS21iGo4dL0wgCLcBGAsYHQ/s72-c/73ad0be9-854a-4baf-ab29-0a510d62b295.jpg)
5 years ago
BBCSwahili30 May
Kifo cha George Floyd : Maandamano yatanda huku afisa akikamatwa kwa kifo cha raia mweusi wa Marekani
5 years ago
BBCSwahili02 Jun
George Floyd: Sababu 4 zilizofanya kifo cha M'marekani mweusi kusababisha maandamano makubwa Marekani
10 years ago
Dewji Blog09 Mar
Mama Maria Nyerere ni mzima wa afya, taarifa za kifo zipuuzwe
Wasomaji wa Mo dewji blog mnaoendelea kuperuzi mtandao huu ni kwamba taarifa zinazosambazwa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii (Sio Mo dewji blog) zinazomuhusisha Mama Maria Nyerere. ‘SI ZA KWELI NA ZIPUUZWE’.
Awali habari mbalimbali juu ya kuenezwa kwa uvumi wa kifo kwa Mama Maria zilianza kusambaa hata kuzifikia chumba cha Habari cha Mo dewji, ambapo tumejiridhisha na kwa mujibu wa watu waliongea na familia ya Mama Nyerere, akiwemo Mtoto wake Madaraka Nyerere, alibainisha kuwa...
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-f_JRc5jOdg0/Uu-IFwIsNQI/AAAAAAAFKqI/gCjzgivx4vo/s72-c/bbb.jpg)
Maendeleo ya Taarifa ya Msiba wa mama Theonestina Rweyemamu huko new york, marekani
![](http://2.bp.blogspot.com/-f_JRc5jOdg0/Uu-IFwIsNQI/AAAAAAAFKqI/gCjzgivx4vo/s1600/bbb.jpg)
Bado harambe ya kutafuta dolla 10,000 za kufanikisha mipango ya mazishi inaendelea. Tunawaomba mtafute walau muda mchache mweze kujumuika na Watanzania wenzetu...
11 years ago
Mwananchi20 Jul
Marekani inathibitisha kifo cha Ballali
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/07/Christopher-Mtikila.jpg)
TAARIFA YA POLISI KUHUSU KIFO CHA MCHUNGAJI MTIKILA
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-I-Pxp5bMEPM/XrQRejvOVXI/AAAAAAALpaQ/LI7OY7geLiYRrM3SRKKXhBA1Swx0asxewCLcBGAsYHQ/s72-c/51127f94-59cf-434e-81bb-172758dfa411.jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/UUHZoZFGT4jRSqU-gJqG0bJoq0nSHgQpBAQ69oUzEYg50RZtUY6bCFGECV86wPvjpArrfMX23rS3k*Wra7CpxfIQqnqWWH8Q/Banza.gif?width=650)
MAMA KIKWETE GUMZO KIFO CHA BANZA!