Mama Maria Nyerere ni mzima wa afya, taarifa za kifo zipuuzwe
Wasomaji wa Mo dewji blog mnaoendelea kuperuzi mtandao huu ni kwamba taarifa zinazosambazwa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii (Sio Mo dewji blog) zinazomuhusisha Mama Maria Nyerere. ‘SI ZA KWELI NA ZIPUUZWE’.
Awali habari mbalimbali juu ya kuenezwa kwa uvumi wa kifo kwa Mama Maria zilianza kusambaa hata kuzifikia chumba cha Habari cha Mo dewji, ambapo tumejiridhisha na kwa mujibu wa watu waliongea na familia ya Mama Nyerere, akiwemo Mtoto wake Madaraka Nyerere, alibainisha kuwa...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
TheCitizen26 Nov
Mama Maria Nyerere’s take on escrow scandal
11 years ago
Mwananchi20 Jul
Mama Maria Nyerere kuandika kitabu
11 years ago
BBCSwahili09 Dec
Mama Maria Nyerere amsimulia Mandela
11 years ago
Daily News17 May
Repentant MP seeks Mama Maria Nyerere's mercy
Daily News
Daily News
MWALIMU Julius Nyerere's widow, Mama Maria Nyerere, has confirmed to have received an apology from a legislator who uttered scornful remarks about Mwalimu in the Constituent Assembly shortly before it was adjourned last month. Speaking to members ...
10 years ago
BBCSwahili11 Mar
Mama Maria Nyerere asema yuko hai
9 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/yI7paFpljq0/default.jpg)
10 years ago
Mwananchi26 Nov
Mama Maria Nyerere ataka wabunge waijadili escrow
10 years ago
Tanzania Daima14 Nov
Mama Maria Nyerere akerwa na wanasiasa wanaomkejeli Kikwete
FAMILIA ya baba wa Taifa, Hayati mwalimu Julius Nyerere, imetoa pole kwa Rais Jakaya Kikwete, kutokana na kufanyiwa upasuaji wa tezi dume. Taarifa iliyotolewa jana na kusainiwa na mbunge wa...
11 years ago
MichuziMama Maria Nyerere awaasa Wanawake Wajasiliamali kujiamini