Mama Maria Nyerere asema yuko hai
''Niko salama na buheri wa afya''Hayo ni maneno ya Mama Maria Nyerere ,mjane wa rais wa kwanza wa taifa la Tanzania Mwalimu Julius Kambarage Nyerere
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo13 Dec
Sala, maombi kudumisha amani asema Mama Maria Nyerere
MJANE wa Baba wa Taifa, Mama Maria Nyerere, amepokea nishani ya kudumisha na kuhamasisha amani nchini, huku akimtaka kila mwananchi kwa nafasi yake kuombea taifa.
11 years ago
BBCSwahili09 Dec
Mama Maria Nyerere amsimulia Mandela
Uhusiano kati ya familia ya Mwalimu Nyerere na ile ya Mzee Nelson Mandela umekuwa ni wa karibu kiasi kwamba familia yake inajiandaa kwenda kuhudhuria mazishi ya Mandela
11 years ago
Mwananchi20 Jul
Mama Maria Nyerere kuandika kitabu
Mjane wa Baba wa Taifa, Mama Maria Nyerere amesema ataandika kitabu kuelezea hatua mbalimbali ambazo nchi imepitia tangu wakati wa ukoloni hadi sasa.
10 years ago
TheCitizen26 Nov
Mama Maria Nyerere’s take on escrow scandal
>Mwalimu Nyerere’s widow, Mama Maria Nyerere, yesterday urged Parliament to exhaustively debate the Tegeta escrow account scandal.
11 years ago
Daily News17 May
Repentant MP seeks Mama Maria Nyerere's mercy
Daily News
Repentant MP seeks Mama Maria Nyerere's mercy
Daily News
MWALIMU Julius Nyerere's widow, Mama Maria Nyerere, has confirmed to have received an apology from a legislator who uttered scornful remarks about Mwalimu in the Constituent Assembly shortly before it was adjourned last month. Speaking to members ...
10 years ago
Mwananchi26 Nov
Mama Maria Nyerere ataka wabunge waijadili escrow
Mjane wa Baba wa Taifa, Mama Maria Nyerere amesema wabunge wanatakiwa kuijadili kwa kina ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), kuhusu Akaunti ya escrow kwa kuwa kuficha mambo kutaendelea kuzidisha matatizo nchini.
11 years ago
MichuziMama Maria Nyerere awaasa Wanawake Wajasiliamali kujiamini
Mama Maria Nyerere akitoa nasaa wakati wa Ufunguzi wa Semina kwa Wanawake Wajasiliamali kutoka Mikoa yote ya Tanzania, akiwa ni Mwanamke Mjasiliamali pia, amewahakikishia wanawake mafanikio iwapo watajiamini na kumsirikisha Mungu katika kazi zao.
Mwenyekiti wa EOTF Mama Anna Mkapa, akitoa utangulizi wa Mafunzo na ntambulisho wa Waalikwa, wakati wa ufunguzi wa Mafunzo ya siku tatu kwa Wanawake Wajasiliamali, kuanzia Juni 23-25/2014, kuanzia saa2 asubuhi katika ukumbi wa Bwalo la...
9 years ago
Vijimambo10 years ago
MichuziPINDA AMTEMBELEA MAMA MARIA NYERERE KIJIJINI BUTIAMA
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Mjane wa Baba wa Taifa Mama Maria Nyerere wakati alipokwenda kijijini Butiama mkoani Mara kumsalimia akiwa njiani kuelekea Mwanza akitoka Musoma Ijumaa.Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na mtoto wa Baba wa Taifa Madaraka Nyerere wakati alipokwenda kijijini Butiama mkoani Mara kumsalimia akiwa njiani kuelekea Mwanza akitoka Musoma
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwasha mshumaa kwenye kaburi la Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere wakati...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania