Mama Maria Nyerere awaasa Wanawake Wajasiliamali kujiamini
Mama Maria Nyerere akitoa nasaa wakati wa Ufunguzi wa Semina kwa Wanawake Wajasiliamali kutoka Mikoa yote ya Tanzania, akiwa ni Mwanamke Mjasiliamali pia, amewahakikishia wanawake mafanikio iwapo watajiamini na kumsirikisha Mungu katika kazi zao. Mwenyekiti wa EOTF Mama Anna Mkapa, akitoa utangulizi wa Mafunzo na ntambulisho wa Waalikwa, wakati wa ufunguzi wa Mafunzo ya siku tatu kwa Wanawake Wajasiliamali, kuanzia Juni 23-25/2014, kuanzia saa2 asubuhi katika ukumbi wa Bwalo la...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
TheCitizen26 Nov
Mama Maria Nyerere’s take on escrow scandal
11 years ago
Mwananchi20 Jul
Mama Maria Nyerere kuandika kitabu
11 years ago
BBCSwahili09 Dec
Mama Maria Nyerere amsimulia Mandela
11 years ago
Habarileo06 Mar
Mama Salma awaasa wanawake viongozi
WANAWAKE wenye nafasi za uongozi na madaraka, wametakiwa kusaidia wanawake na wasichana wasio na nafasi hizo, watambue fursa muhimu zitakazowawezesha kimaendeleo.
10 years ago
BBCSwahili11 Mar
Mama Maria Nyerere asema yuko hai
11 years ago
Daily News17 May
Repentant MP seeks Mama Maria Nyerere's mercy
Daily News
Repentant MP seeks Mama Maria Nyerere's mercy
Daily News
MWALIMU Julius Nyerere's widow, Mama Maria Nyerere, has confirmed to have received an apology from a legislator who uttered scornful remarks about Mwalimu in the Constituent Assembly shortly before it was adjourned last month. Speaking to members ...
10 years ago
Tanzania Daima14 Nov
Mama Maria Nyerere akerwa na wanasiasa wanaomkejeli Kikwete
FAMILIA ya baba wa Taifa, Hayati mwalimu Julius Nyerere, imetoa pole kwa Rais Jakaya Kikwete, kutokana na kufanyiwa upasuaji wa tezi dume. Taarifa iliyotolewa jana na kusainiwa na mbunge wa...
10 years ago
Mwananchi26 Nov
Mama Maria Nyerere ataka wabunge waijadili escrow
10 years ago
TheCitizen11 Mar
Mama Maria Nyerere emerges to refute death rumours