APIGWA RISASI ASUBUHI YA LEO, YOMBO VITUKA JIJINI DAR ES SALAAM!
![](http://api.ning.com:80/files/qvT8WTokz6dhCDcUn6FL-jOQ6AOi*vHAWqMUP7dd8qNvLxPnZ3TZf2zbFvM3ksnxUccd8dv7pF5IAejNO2mSnswZpJ-I3d8U/Newfolder1.jpg?width=650)
Mwili wa marehemu aliyefahamika kwa jina la Betty baada ya kupigwa risasi asubuhi ya leo, Yombo Vituka, Temeke jijini Dar es Salaam akiwa kwenye gari aina ya Toyota Pick Up ya Tunu Security na watu waliokuwa na bodaboda.…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-r5zu7FzQ0A8/VG5A9a2Zk7I/AAAAAAAAc8A/kikHMlNSxIQ/s72-c/tt.jpg)
MAJAMBAZI YAUA BINTI MMOJA NA KUJERUHI MMOJA KATIKA TUKIO LA UPORAJI LILILOTOKEA LEO ASUBUHI YOMBO VITUKA
![](http://1.bp.blogspot.com/-r5zu7FzQ0A8/VG5A9a2Zk7I/AAAAAAAAc8A/kikHMlNSxIQ/s1600/tt.jpg)
Majambazi wawili waliokuwa na pikipiki wamuua Binti mmoja aliyefahamika kwa jina...
10 years ago
GPLAPIGWA RISASI MCHANA KWEUPE, MAGOMENI JIJINI DAR ES SALAAM!
10 years ago
MichuziTBL YAKABIDHI MSAADA WA KISIMA CHA MAJI YOMBO VITUKA DAR
10 years ago
CloudsFM31 Dec
9 years ago
MichuziDALADALA LAACHA NJIA NA KUPARAMIA GENGE NA BAJAJ MAENEO YA KITUNDA JIJINI DAR ES SALAAM LEO ASUBUHI
KWA PICHA ZAIDI BOFYA...
10 years ago
MichuziKIVUKO CHA MV DAR ES SALAAM CHAWASILI KATIKA BANDARI YA DAR LEO ASUBUHI
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/mhrng7eeJg1ucIDuv5sylGl*aEzDq6u3-ioIeFNdLilJcPwMDWfKlw1EPqfuxh2TeyAbGwyLdwudhr7U5sPwbgqJGtlJwD0e/mc.jpg?width=550)
MC MAARUFU DAR APIGWA RISASI 9
10 years ago
GPLPROFESA ALIYEPIGWA RISASI AZIKWA JIJINI DAR LEO
10 years ago
Mtanzania14 May
Mmoja apigwa risasi na jambazi Dar
NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAM
MTU mmoja ambaye jina lake halikufahamika amepigwa risasi mbili na kuporwa fedha na mtu mmoja anayedhaniwa kuwa ni jambazi katika eneo la Kijiweni Karibu na Baa ya Delux, Sinza, Dar es Salaam.
Tukio hilo lilitokea jana ambako MTANZANIA lilifika na kuelezwa na mashuhuda wa tukio hilo waliodai lilikuwa la kushtukiza na lilitokea saa 6.00 mchana.
Akisimulia tukio hilo dereva aliyekuwa akiendesha gari lililoshambuliwa namba T 236 DDT aliyefahamika kwa jina moja la...