Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mmoja apigwa risasi na jambazi Dar

NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAM
MTU mmoja ambaye jina lake halikufahamika amepigwa risasi mbili na kuporwa fedha na mtu mmoja anayedhaniwa kuwa ni jambazi katika eneo la Kijiweni Karibu na Baa ya Delux, Sinza, Dar es Salaam.
Tukio hilo lilitokea jana ambako MTANZANIA lilifika na kuelezwa na mashuhuda wa tukio hilo waliodai lilikuwa la kushtukiza na lilitokea saa 6.00 mchana.
Akisimulia tukio hilo dereva aliyekuwa akiendesha gari lililoshambuliwa namba T 236 DDT aliyefahamika kwa jina moja la...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Jambazi apigwa risasi na wenzake

MTU mmoja anayeshukiwa kuwa ni jambazi sugu, Benard Aaron (47) ‘Chinga’ amefariki dunia kwa kupigwa risasi na majambazi wenzake. Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia jana majira ya saa 8:00...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mtu mmoja apigwa risasi Bujumbura

Habari kutoka Burundi zinasema kuwa mtu mmoja amepigwa risasi na kuuawa katika mji mkuu wa Bujumbura.

 

11 years ago

GPL

MC MAARUFU DAR APIGWA RISASI 9

Stori: Haruni Sanchawa na Issa Mnally
Masikitiko yameigubika familia ya Jafari na wakazi wa Yombo-Kilakala, Temeke jijini Dar kufuatia tukio la mshereheshaji (MC) maarufu, Kelvin Jafari ‘Kalembo’ (42) kupigwa risasi tisa na watu wanaodaiwa kuwa ni majambazi. MC Kelvin Jafari ‘Kalembo’ enzi za uhai wake. Tukio hilo lilijiri saa moja usiku wa Jumamosi iliyopita huko Yombo ambapo kwa mujibu wa mashuhuda,...

 

10 years ago

GPL

APIGWA RISASI MCHANA KWEUPE, MAGOMENI JIJINI DAR ES SALAAM!

Mtu asiyefahamika akiwa ndani ya gari lake mara baada ya kupigwa risasi tumboni. Kushoto kwake ni mwanamke aliyekuwa naye garini. ....wapita njiawakijaribu kutoa msaada kwa mtu huyo.…

 

10 years ago

GPL

APIGWA RISASI ASUBUHI YA LEO, YOMBO VITUKA JIJINI DAR ES SALAAM!

Mwili wa marehemu aliyefahamika kwa jina la Betty baada ya kupigwa risasi asubuhi ya leo, Yombo Vituka, Temeke  jijini Dar es Salaam akiwa kwenye gari aina ya Toyota Pick Up ya Tunu Security na watu waliokuwa na bodaboda.…

 

10 years ago

Tanzania Daima

Jambazi auawa katika majibishano ya risasi

MTU mmoja anayedaiwa kuwa jambazi sugu maarufu kama Ramadhani Jumanne ‘Rama Ndonga’ (37) ameuawa katika majibizano ya risasi kati yake na polisi yaliyotokea usiku wa kuamkia jana katika kijiji cha...

 

10 years ago

CloudsFM

JAMBAZI AKUTWA NA MIFUPA YA BINADAMU BUNDUKI NA RISASI

Makamanda wa polisi wa mikoa mitatu ya simiyu, shinyanga na mwanza wamefanikiwa kuvunja mtandao hatari wa ujambazi uliokuwa unaongozwa na mfanyabiashara wa mjini bariadi Njile Samwel huku makachero wa jeshi hilo katika mikoa ya kanda ya ziwa pia wakikamata watuhumiwa watano, bunduki moja ya SMG, risasi 331 na mifupa inayodaiwa kuwa ya binadamu.Kamanda wa polisi mkoani mwanza, SACP Valentino Mlowola, akiwa ameambatana na kamanda Justus Kamugisha wa mkoa wa shinyanga pamoja na Charles Mkumbo...

 

10 years ago

Habarileo

Kanda ya Ziwa wanasa jambazi sugu, SMG, risasi 331

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Valentino MlowolaPOLISI wa mikoa ya Mwanza, Simiyu na Shinyanga wamefanikiwa kusambatarisha mtandao wa ujambazi kwenye mikoa hiyo baada ya kukamatwa kwa mtuhumiwa wa ujambazi sugu, Njile Samweli (46) mkazi wa kijiji cha Lyoma, Bariadi mkoani Simiyu aliyekuwa akitafutwa kwa muda mrefu.

 

10 years ago

Mwananchi

Polisi aliyenusurika Sitakishari asimulia alivyoua jambazi akiwa majeruhi wa risasi

>Ni ukweli usiopingika kwamba siku ya kuzaliwa na kufa ya kila binadamu anaijua Mungu. Akaiamua kukuita kwake, huwezi kupinga kifo kwa namna yoyote.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani