JAMBAZI AKUTWA NA MIFUPA YA BINADAMU BUNDUKI NA RISASI
Makamanda wa polisi wa mikoa mitatu ya simiyu, shinyanga na mwanza wamefanikiwa kuvunja mtandao hatari wa ujambazi uliokuwa unaongozwa na mfanyabiashara wa mjini bariadi Njile Samwel huku makachero wa jeshi hilo katika mikoa ya kanda ya ziwa pia wakikamata watuhumiwa watano, bunduki moja ya SMG, risasi 331 na mifupa inayodaiwa kuwa ya binadamu.
Kamanda wa polisi mkoani mwanza, SACP Valentino Mlowola, akiwa ameambatana na kamanda Justus Kamugisha wa mkoa wa shinyanga pamoja na Charles Mkumbo...
CloudsFM
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima28 Oct
Jambazi apigwa risasi na wenzake
MTU mmoja anayeshukiwa kuwa ni jambazi sugu, Benard Aaron (47) ‘Chinga’ amefariki dunia kwa kupigwa risasi na majambazi wenzake. Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia jana majira ya saa 8:00...
10 years ago
Tanzania Daima11 Oct
Jambazi auawa katika majibishano ya risasi
MTU mmoja anayedaiwa kuwa jambazi sugu maarufu kama Ramadhani Jumanne ‘Rama Ndonga’ (37) ameuawa katika majibizano ya risasi kati yake na polisi yaliyotokea usiku wa kuamkia jana katika kijiji cha...
10 years ago
Mtanzania14 May
Mmoja apigwa risasi na jambazi Dar
NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAM
MTU mmoja ambaye jina lake halikufahamika amepigwa risasi mbili na kuporwa fedha na mtu mmoja anayedhaniwa kuwa ni jambazi katika eneo la Kijiweni Karibu na Baa ya Delux, Sinza, Dar es Salaam.
Tukio hilo lilitokea jana ambako MTANZANIA lilifika na kuelezwa na mashuhuda wa tukio hilo waliodai lilikuwa la kushtukiza na lilitokea saa 6.00 mchana.
Akisimulia tukio hilo dereva aliyekuwa akiendesha gari lililoshambuliwa namba T 236 DDT aliyefahamika kwa jina moja la...
10 years ago
Habarileo11 Jun
6 mbaroni kwa kukutwa na mifupa 6 ya binadamu
JESHI la Polisi mkoani Tabora, limewakamata na kuwafikisha mahakamani watu sita, kwa tuhuma za kukutwa na mifupa sita ya binadamu, inayodhaniwa kuwa ni ya watu wenye ulemavu wa ngozi (albino).
10 years ago
Habarileo30 Apr
Rukwa wakamata bunduki 50, risasi 768
JESHI la Polisi mkoani Rukwa limewakamata watuhumiwa 50 na silaha za aina mbalimbali zikiwemo bunduki 48 , risasi 768 na maganda ya risasi 101.
11 years ago
Habarileo13 Mar
Polisi yanasa bunduki ya kivita, risasi 399
WATU wawili wakazi wa Kijiji cha Kitagasembe wamekamatwa na polisi wakituhumiwa kwa ujambazi wa kutumia silaha.
10 years ago
Habarileo18 Jan
Kanda ya Ziwa wanasa jambazi sugu, SMG, risasi 331
POLISI wa mikoa ya Mwanza, Simiyu na Shinyanga wamefanikiwa kusambatarisha mtandao wa ujambazi kwenye mikoa hiyo baada ya kukamatwa kwa mtuhumiwa wa ujambazi sugu, Njile Samweli (46) mkazi wa kijiji cha Lyoma, Bariadi mkoani Simiyu aliyekuwa akitafutwa kwa muda mrefu.
10 years ago
Mwananchi28 Jul
Polisi aliyenusurika Sitakishari asimulia alivyoua jambazi akiwa majeruhi wa risasi
10 years ago
Mwananchi14 May
Mwenyekiti wa kijiji akutwa na fuvu la binadamu