Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jambazi auawa katika majibishano ya risasi

MTU mmoja anayedaiwa kuwa jambazi sugu maarufu kama Ramadhani Jumanne ‘Rama Ndonga’ (37) ameuawa katika majibizano ya risasi kati yake na polisi yaliyotokea usiku wa kuamkia jana katika kijiji cha...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Jambazi apigwa risasi na wenzake

MTU mmoja anayeshukiwa kuwa ni jambazi sugu, Benard Aaron (47) ‘Chinga’ amefariki dunia kwa kupigwa risasi na majambazi wenzake. Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia jana majira ya saa 8:00...

 

10 years ago

Mtanzania

Mmoja apigwa risasi na jambazi Dar

NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAM
MTU mmoja ambaye jina lake halikufahamika amepigwa risasi mbili na kuporwa fedha na mtu mmoja anayedhaniwa kuwa ni jambazi katika eneo la Kijiweni Karibu na Baa ya Delux, Sinza, Dar es Salaam.
Tukio hilo lilitokea jana ambako MTANZANIA lilifika na kuelezwa na mashuhuda wa tukio hilo waliodai lilikuwa la kushtukiza na lilitokea saa 6.00 mchana.
Akisimulia tukio hilo dereva aliyekuwa akiendesha gari lililoshambuliwa namba T 236 DDT aliyefahamika kwa jina moja la...

 

10 years ago

CloudsFM

JAMBAZI AKUTWA NA MIFUPA YA BINADAMU BUNDUKI NA RISASI

Makamanda wa polisi wa mikoa mitatu ya simiyu, shinyanga na mwanza wamefanikiwa kuvunja mtandao hatari wa ujambazi uliokuwa unaongozwa na mfanyabiashara wa mjini bariadi Njile Samwel huku makachero wa jeshi hilo katika mikoa ya kanda ya ziwa pia wakikamata watuhumiwa watano, bunduki moja ya SMG, risasi 331 na mifupa inayodaiwa kuwa ya binadamu.Kamanda wa polisi mkoani mwanza, SACP Valentino Mlowola, akiwa ameambatana na kamanda Justus Kamugisha wa mkoa wa shinyanga pamoja na Charles Mkumbo...

 

10 years ago

Habarileo

Jambazi raia wa Kenya auawa Tarime

WATU wawili akiwemo mkazi wa kitongoji cha Nchoke katika Kijiji cha Kubiterere, Kata ya Mwema wilayani hapa, Mwikwabe Kirutu (30) wameuawa katika mapambano baina ya wananchi na majambazi waliokuwa na bunduki mbili za kivita kijijini hapo.

 

10 years ago

Mwananchi

Jambazi tishio kwa wanawake Arusha auawa

Jeshi la Polisi mkoani Arusha limefanikiwa kumuua jambazi aliyekuwa akiutikisa mkoa huo kwa matukio ya kuteka na kuwapora wanawake wenye magari na kisha kuwapiga risasi.

 

10 years ago

Habarileo

Kanda ya Ziwa wanasa jambazi sugu, SMG, risasi 331

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Valentino MlowolaPOLISI wa mikoa ya Mwanza, Simiyu na Shinyanga wamefanikiwa kusambatarisha mtandao wa ujambazi kwenye mikoa hiyo baada ya kukamatwa kwa mtuhumiwa wa ujambazi sugu, Njile Samweli (46) mkazi wa kijiji cha Lyoma, Bariadi mkoani Simiyu aliyekuwa akitafutwa kwa muda mrefu.

 

10 years ago

Mwananchi

Polisi aliyenusurika Sitakishari asimulia alivyoua jambazi akiwa majeruhi wa risasi

>Ni ukweli usiopingika kwamba siku ya kuzaliwa na kufa ya kila binadamu anaijua Mungu. Akaiamua kukuita kwake, huwezi kupinga kifo kwa namna yoyote.

 

11 years ago

GPL

DENTI AUAWA KWA RISASI

Stori: Makongoro Oging’ na Harun Sanchawa
MAJONZI, huzuni na masikitiko vimeikumba familia ya Lwena kufuatia mtoto wao mpendwa Dorryce Lwena (27) kufariki dunia kwa kupigwa risasi mkono wa kushoto na ubavu wa kushoto na watu wasiojulikana, Uwazi lilifuatilia. Tukio hilo la kusikitisha lilitokea mwanzoni mwa mwezi huu, saa tatu usiku, Uwanja wa Edosi, Kitunda, Ilala hatua chache kutoka nyumbani kwa marehemu huyo. Siku ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mfanyabiashara auawa kwa risasi

MFANYABIASHARA mkazi wa Kijiji cha Katuma wilayani Mpanda, Juma Luhanga (29) ameuawa kwa kupingwa risasi katika jicho lake la kushoto na watu wawili wanaosaidkiwa kuwa majambazi akiwa dukani kwake. Kaimu Kamanda wa Polisi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani