DENTI AUAWA KWA RISASI
![](http://api.ning.com:80/files/Ho7RWhwBiVf*H3ZekAtJMTVsfgexGIsZ5Q9Z0jZmOMgHT-Dn2kZUGi6LPqRI6bYTiyFCXmRBlo31S5NmyZvf0PuBhaMEj*zQ/dent.jpg?width=650)
Stori: Makongoro Oging’ na Harun Sanchawa MAJONZI, huzuni na masikitiko vimeikumba familia ya Lwena kufuatia mtoto wao mpendwa Dorryce Lwena (27) kufariki dunia kwa kupigwa risasi mkono wa kushoto na ubavu wa kushoto na watu wasiojulikana, Uwazi lilifuatilia. Tukio hilo la kusikitisha lilitokea mwanzoni mwa mwezi huu, saa tatu usiku, Uwanja wa Edosi, Kitunda, Ilala hatua chache kutoka nyumbani kwa marehemu huyo. Siku ya...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Global Publishers24 Dec
Denti Chuo Kikuu auawa kwa risasi!
Marehemu Mafwiri Mfungo, enzi za uhai wake.
Stori: Gabriel Ng’osha, Dar na Gregory Nyankaira, Mara
VILIO na majonzi vilitawala nyumbani kwa mzee Mfungo Mtaengelwa wakati wa mazishi ya kijana wake, Mafwiri Mfungo, 28, aliyekuwa mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), aliyeuawa kwa kupigwa risasi tatu kifuani na watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi. Tukio hilo linalowaliza wanachuo wenzake mpaka sasa, lilijiri Desemba 15, mwaka huu, Ubungo Msewe jijini Dar es Salaam.
Jeneza lenye...
11 years ago
Tanzania Daima13 Jul
Mfanyabiashara auawa kwa risasi
MFANYABIASHARA mkazi wa Kijiji cha Katuma wilayani Mpanda, Juma Luhanga (29) ameuawa kwa kupingwa risasi katika jicho lake la kushoto na watu wawili wanaosaidkiwa kuwa majambazi akiwa dukani kwake. Kaimu Kamanda wa Polisi...
11 years ago
Tanzania Daima19 Jun
Auawa kwa kupigwa risasi
MKAZI wa Kijiji cha Masuguru, Kata ya Masagala, wilayani Kishapu, Juma Masalu (25), ameuawa kwa kupigwa risasi baada ya kuingia katika mgodi wa Almasi unaomilikiwa na Wiliamson Diamond. Kaimu Kamanda...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/li0jpfi0h9ncbHh9lZe3p*hHhTFT9qUGiHTSrz1kLYDg8srr6HX3qTzoYEtYSxrDRSr58Epkhl2iPTehITSVoPRqnQ7L6fm7/BACKUWAZI.jpg)
MFANYABIASHARA AUAWA KWA RISASI GETINI
10 years ago
BBCSwahili17 Apr
Mwandishi Ukraine auawa kwa risasi
10 years ago
Uhuru Newspaper14 Jan
Mfanyabiashara wa samaki auawa kwa risasi
Na Ahmed Makongo, Bunda
MFANYABIASHARA wa samaki ameuawa kwa kupigwa risasi na mwingine kujeruhiwa kwa risasi katika matukio mawili tofauti, yaliyotokea wilayani Bunda mkoani Mara.
Kamanda wa Polisi mkoani Mara, Philpo Kalangi, alithibitisha jana kutokea kwa matukio hayo alipozungumza na Uhuru kwa njia ya simu.
Alisema tukio la kwanza lilitokea juzi saa 3:00 usiku, katika eneo la Nyasura mjini hapa.
Alisema mfanyabiashara huyo, Mkome Marwa (39), akiwa na mke wake, wakati wakirejea...
9 years ago
Global Publishers16 Dec
Mwanafunzi UDSM auawa kwa risasi
Mwanafunzi wa UDSM, Mutaengerwa Mafwiri enzi za uhai wake.
Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Mutaengerwa Mafwiri ameuawa kwa kupigwa risasi na watu wanaosadikiwa kuwa majambazi jana usiku eneo la Msewe jijini Dar es Salaam.
Akizungumza na www.globalpublishers.co.tz kwa njia ya simu, Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni, Camillus Wambura amekiri kutokea kwa tukio hilo.
Kwa mujibu wa Kamanda Wambura tukio hilo lilitokea jana usiku majira ya saa mbili...
9 years ago
BBCSwahili28 Dec
Mchezaji auawa kwa risasi El Salvador
10 years ago
CloudsFM14 Aug
MGANGA WA KIENYEJI AUAWA KWA RISASI, MAPANGA
Watu wasiofahamika wamemvamia na kumuua mganga wa kienyeji, Salehe Garimoshi (65), mkazi wa Kijiji cha Milala wilayani Mpanda kwa kumpiga risasi kichwani kisha kuukatakata mwili wake kwa mapanga.
Taarifa kutoka eneo la tukio, zilizothibitishwa na Jeshi la Polisi zinadai kuwa baada ya mganga huyo kuvamiwa na watu hao, mmoja wao aliyekuwa na bunduki, alimfyatulia risasi kichwani kisha kuamuru wenzake wamkatekate kwa mapanga.
Kaimu kamanda wa polisi wa Mkoa wa Katavi, Focus Malengo alisema jana...