MFANYABIASHARA AUAWA KWA RISASI GETINI
![](http://api.ning.com:80/files/li0jpfi0h9ncbHh9lZe3p*hHhTFT9qUGiHTSrz1kLYDg8srr6HX3qTzoYEtYSxrDRSr58Epkhl2iPTehITSVoPRqnQ7L6fm7/BACKUWAZI.jpg)
STORI: WAANDISHI WETU/Uwazi MFANYABIASHARA mwanamama aliyetambulika kwa jina la Prisca Paul Rugeiyamu au Mama Koku (34) ameuawa kwa kupigwa risasi na majambazi nje ya geti la nyumba yake huku mwanaye Careen (12) akishuhudia. Padri akiuombea mwili wa marehemu Prisca Paul Rugeiyamu kanisani. Tukio hilo la kusikitisha lilitokea Januari 12, mwaka huu saa mbili usiku maeneo ya Tabata Segerea jijini Dar ambapo kwa mujibu wa...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima13 Jul
Mfanyabiashara auawa kwa risasi
MFANYABIASHARA mkazi wa Kijiji cha Katuma wilayani Mpanda, Juma Luhanga (29) ameuawa kwa kupingwa risasi katika jicho lake la kushoto na watu wawili wanaosaidkiwa kuwa majambazi akiwa dukani kwake. Kaimu Kamanda wa Polisi...
10 years ago
Uhuru Newspaper14 Jan
Mfanyabiashara wa samaki auawa kwa risasi
Na Ahmed Makongo, Bunda
MFANYABIASHARA wa samaki ameuawa kwa kupigwa risasi na mwingine kujeruhiwa kwa risasi katika matukio mawili tofauti, yaliyotokea wilayani Bunda mkoani Mara.
Kamanda wa Polisi mkoani Mara, Philpo Kalangi, alithibitisha jana kutokea kwa matukio hayo alipozungumza na Uhuru kwa njia ya simu.
Alisema tukio la kwanza lilitokea juzi saa 3:00 usiku, katika eneo la Nyasura mjini hapa.
Alisema mfanyabiashara huyo, Mkome Marwa (39), akiwa na mke wake, wakati wakirejea...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/YBFp7QfmCZfKTftH0xy8L1-272ZBhkGvJT*1IikXLTfhMX08m3DWvjqROZyhmixElo-bCM7e3DhMPUEH4eq6AOt0-gavprVT/AHMED.jpg)
MFANYABIASHARA AUAWA KWA KUPIGWA RISASI MOMBASA, KENYA
11 years ago
Habarileo10 Jun
Mfanyabiashara ajiua kwa risasi
MFANYABIASHARA wa madini, Richard Lucas (29) anadaiwa kujiua kwa kujipiga risasi kichwani baada ya kusababisha ajali mbili tofauti.
10 years ago
Habarileo27 Oct
Mfanyabiashara ajiua kwa risasi baa
MFANYABIASHARA wa Arusha anayemiliki kampuni ya Tanzania Bush Camp yenye kambi za watalii katika hifadhi za Serengeti mkoani Mara na Manyara iliyopo katika mikoa ya Arusha na Manyara, Timoth Mroki (36) amejiua kwa kujipiga risasi tatu kifuani akiwa katika baa maarufu ya Arusha Raha iliyopo eneo la Shams, jijini hapa.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ho7RWhwBiVf*H3ZekAtJMTVsfgexGIsZ5Q9Z0jZmOMgHT-Dn2kZUGi6LPqRI6bYTiyFCXmRBlo31S5NmyZvf0PuBhaMEj*zQ/dent.jpg?width=650)
DENTI AUAWA KWA RISASI
11 years ago
Tanzania Daima19 Jun
Auawa kwa kupigwa risasi
MKAZI wa Kijiji cha Masuguru, Kata ya Masagala, wilayani Kishapu, Juma Masalu (25), ameuawa kwa kupigwa risasi baada ya kuingia katika mgodi wa Almasi unaomilikiwa na Wiliamson Diamond. Kaimu Kamanda...
10 years ago
BBCSwahili17 Apr
Mwandishi Ukraine auawa kwa risasi
9 years ago
BBCSwahili28 Dec
Mchezaji auawa kwa risasi El Salvador