Mwenyekiti wa kijiji akutwa na fuvu la binadamu
Bariadi. Polisi mkoani Simiyu inamshikilia mkazi wa Kijiji cha Bukigi, Kata ya Malampaka wilayani Maswa, kwa tuhuma za kukutwa na viungo vinavyosadikiwa kuwa ni vya binadamu likiwamo fuvu la kichwa.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi12 Feb
Mzungu akamatwa na fuvu la binadamu
10 years ago
Dewji Blog08 Jan
JK ateua Mwenyekiti, Makamu Mwenyekiti na Makamishna wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora
UTEUZI – TUME YA HAKI ZA BINADAMU.doc by moblog
10 years ago
Michuzi07 Jan
10 years ago
CloudsFM19 Jan
JAMBAZI AKUTWA NA MIFUPA YA BINADAMU BUNDUKI NA RISASI
Makamanda wa polisi wa mikoa mitatu ya simiyu, shinyanga na mwanza wamefanikiwa kuvunja mtandao hatari wa ujambazi uliokuwa unaongozwa na mfanyabiashara wa mjini bariadi Njile Samwel huku makachero wa jeshi hilo katika mikoa ya kanda ya ziwa pia wakikamata watuhumiwa watano, bunduki moja ya SMG, risasi 331 na mifupa inayodaiwa kuwa ya binadamu.
Kamanda wa polisi mkoani mwanza, SACP Valentino Mlowola, akiwa ameambatana na kamanda Justus Kamugisha wa mkoa wa shinyanga pamoja na Charles Mkumbo...
11 years ago
Tanzania Daima03 Mar
DC ang’aka mwenyekiti wa kijiji kutimuliwa
MKUU wa Wilaya (DC) ya Igunga, Elibariki Kingu, amewakemea viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kijiji cha Igurubi kwa kumfukuza kazi mwenyekiti wa serikali ya kijiji hicho, Selemani Mdeka, kwa...
11 years ago
Tanzania Daima28 May
Mwenyekiti wa Kijiji matatani kwa uchochezi
MWENYEKITI wa Serikali ya Kijiji cha Karukekere wilayani Bunda, Mara, Jogoro Amoni amekamatwa na polisi kwa kile kinachodaiwa kuchochea ukabila katika kijiji hicho na kusababisha ugomvi uliojeruhi vijana watatu. Amri...
11 years ago
Tanzania Daima21 Apr
Mwenyekiti wa kijiji Rorya mbaroni wizi wa ng’ombe
JESHI la Polisi Rorya linamshikilia Mwenyekiti wa Kijiji cha Marasibora, Kata ya Kisumwa, Sproza Charles, kwa tuhuma za wizi wa ng’ombe watatu wa ofisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)...
10 years ago
Mwananchi02 Feb
Mwenyekiti wa kijiji jela miaka 20 kwa ujangili
10 years ago
Habarileo08 Jan
JK ateua Mwenyekiti Tume ya Haki za Binadamu na Utawala bora
RAIS Jakaya Kikwete amemteua Bahame Nyanduga kuwa Mwenyekiti Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora.