Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwenyekiti wa Kijiji matatani kwa uchochezi

MWENYEKITI wa Serikali ya Kijiji cha Karukekere wilayani Bunda, Mara, Jogoro Amoni amekamatwa na polisi kwa kile kinachodaiwa kuchochea ukabila katika kijiji hicho na kusababisha ugomvi uliojeruhi vijana watatu. Amri...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Mwenyekiti wa ‘JKT’ akamatwa kwa tuhuma za uchochezi

>Mwenyekiti wa Wahitimu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), George Mgoba ambaye alilazwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) baada ya kutekwa na kuteswa na watu wasiojulikana, ameruhusiwa jana kisha kukamatwa na Polisi akituhumiwa kwa makosa ya uchochezi na mikusanyiko isiyo halali.

 

10 years ago

Vijimambo

MWENYEKITI WA CHADEMA IRINGA MJINI AINGIA MATATANI TENA, AMTUKANA MWENYEKITI WAKE WA MKOA, ASHITAKIWA

Picha ya Maktaba ikumuonesha Frank Nyalusi (mwenye suti nyeupe) ambaye ni Mwenyekiti wa Chadema Iringa Mjini akiwa chini ya ulinzi wa Polisi
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Iringa Mustapher Msowela amemshitaki mwenyekiti wa chama hicho jimbo la Iringa Mjini, Frank Nyalusi ambaye jana jeshi la Polisi lilifanikiwa kumtia nguvuni kabla ya kuachiwa kwa dhamana.Nyalusi aliyeshitakiwa katika kituo cha Polisi cha kati cha mjini Iringa jana, anatuhumiwa kumtusi...

 

10 years ago

Mwananchi

Mwenyekiti wa kijiji jela miaka 20 kwa ujangili

Mwenyekiti wa Kijiji cha Mgomba, Kata ya Mgomba, Jumanne Ligonge amehukumiwa jela miaka 20 au kulipa faini ya Sh49.1 milioni baada ya kupatikana na vipande 43 vya meno ya tembo kinyume cha sheria.

 

10 years ago

Vijimambo

KATIBU MKUU BARAZA LA VIJANA TAIFA CHADEMA AKABIDHI KADI KWA MWENYEKITI WA KIJIJI

Katibu Mkuu wa Baraza la Vijana Taifa la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA), Julius Mwita (kushoto), akimkabidhi kadi ya chama hicho, Mwenyekiti wa Kijiji cha Udomo Kata ya Uchama Jimbo na Wilaya ya Bukene mkoani Tabora, Julius Lubala, baada ya kurudisha kadi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kujiunga na Chadema katika mkutano wa hadhara uliofanyika kijijini hapo.

 

10 years ago

Habarileo

Mwenyekiti Mbomipa matatani

BAADHI ya wananchi wa vijiji 14 kati 21 vinavyounda Jumuiya ya Hifadhi ya Mali Hai Tarafa ya Idodi na Pawaga (Mbomipa), wanamtaka Mwenyekiti wao aachie ngazi.

 

11 years ago

Mwananchi

Mwenyekiti matatani kutoshiriki harambee

Mwenyekiti wa Kijiji cha Chonde Kata ya Makanda wilayani hapa, Daud Nhiti ameuagiza uongozi wa kijiji kumweka mahabusu Mwenyekiti wa Kitongoji cha Ng’ambo, Zebedayo Hemezi kwa kosa la kutohudhuria harambee ya kuchangia ujenzi wa zahanati.

 

11 years ago

Tanzania Daima

DC ang’aka mwenyekiti wa kijiji kutimuliwa

MKUU wa Wilaya (DC) ya Igunga, Elibariki Kingu, amewakemea viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kijiji cha Igurubi kwa kumfukuza kazi mwenyekiti wa serikali ya kijiji hicho, Selemani Mdeka, kwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Mwenyekiti wa kijiji akutwa na fuvu la binadamu

Bariadi. Polisi mkoani Simiyu inamshikilia mkazi wa Kijiji cha Bukigi, Kata ya Malampaka wilayani Maswa, kwa tuhuma za kukutwa na viungo vinavyosadikiwa kuwa ni vya binadamu likiwamo fuvu la kichwa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mwenyekiti wa kijiji Rorya mbaroni wizi wa ng’ombe

JESHI la Polisi Rorya linamshikilia Mwenyekiti wa Kijiji cha Marasibora, Kata ya Kisumwa, Sproza Charles, kwa tuhuma za wizi wa ng’ombe watatu wa ofisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani