Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mzungu akamatwa na fuvu la binadamu

Matukio ya wasafiri kukamatwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) wakiwa na nyara za Serikali na dawa za kulevya, yanazidi kuchukua sura mpya baada ya raia mmoja wa Ubelgiji kukamatwa akiwa na fuvu la binadamu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Mwenyekiti wa kijiji akutwa na fuvu la binadamu

Bariadi. Polisi mkoani Simiyu inamshikilia mkazi wa Kijiji cha Bukigi, Kata ya Malampaka wilayani Maswa, kwa tuhuma za kukutwa na viungo vinavyosadikiwa kuwa ni vya binadamu likiwamo fuvu la kichwa.

 

9 years ago

GPL

AKAMATWA NA VIUNGO VYA BINADAMU, NYARA ZA SERIKALI SINGIDA

Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Singida,  ACP Thobias Sedoyeka. Vipande viwili vya fuvu la binadamu. Chupa tatu za mafuta ya simba alizokutwa nazo mtuhumiwa. Vipande vya ngozi ya simba JESHI la polisi mkoani Singida linamshikilia mkazi moja wa Kijiji cha Itumba, wilaya ya…

 

11 years ago

Tanzania Daima

Fuvu la kichwa lakutwa Chanika

WATU watatu wameripotiwa kufariki dunia jijini Dar es Salaam juzi katika matukio tofauti akiwamo mmoja aliyekutwa fuvu la kichwa pekee. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ilala, Marietha Minangi, alisema kati...

 

10 years ago

StarTV

Fuvu, mifupa yakutwa imetapaka Mwatulole Geita

Na Salma Mrisho,

Geita.

 

Wakazi wa Mwatulole Mjini Geita wameiomba Halmashauri ya Mji huo kuingilia kati suala la viwanja vilivyotelekezwa katika maeneo yao kwa muda mrefu ambavyo kwa sasa vimegeuka pori la maficho ya wahalifu.

 

Katika tukio lililowashtua wakazi wengi wa eneo hilo fuvu na mifupa inayosadikiwa kuwa ni ya binadamu imekutwa imetapakaa kwenye vichaka vya nguzo mbili mjini Mwatulole hali iliyowapa hofu wananchi na kuiomba Halmashauri ya Mji kufyeka pori hilo.

 

Wakazi wa eneo...

 

10 years ago

Mwananchi

Mchina adakwa na fuvu la swala, mifupa ya twiga

Raia wa China, Pianan Li (51), amekamatwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), akiwa na mifupa miwili ya twiga na fuvu la kichwa cha swala likiwa na pembe zake.

 

9 years ago

Habarileo

Sita wahukumiwa kifo kwa kumpasua fuvu mwenzao

MAHAKAMA Kuu ya Tanzania, Kanda ya Sumbawanga imewatia hatiani watu sita na kuwahukumu kunyongwa hadi kufa kwa kosa la kuua kwa kukusudia. Waliohukumiwa kunyongwa hadi kufa ni Oden Msongela (40), Philibert Majaliwa (20), Edwin Simba (30), Sabas Alfred (19),Wenseslaus Kakwale (30) na Maiko Simfukwe (33). Hukumu hiyo imetolewa na Jaji Mfawidhi wa Mahakama hiyo, Mwakipombe Sango.

 

10 years ago

Mwananchi

Sir Andy Chande: Nilirejesha fuvu la Zinjanthropus nchini

Wiki iliyopita, mwandishi wa makala haya aliyewahi kuwa Mkuu wa Freemason Afrika Mashariki, Sir Andy Chande alisimulia namna alivyoanzisha Shule ya Shaaban Robert, pia alieleza kuwa Rais mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa alikuwa gavana wa kwanza wa shule hiyo. Sasa endelea…

 

9 years ago

Dewji Blog

Tume ya Haki za Binadamu na DIGNITY wafanya semina juu elimu kuhusu haki za binadamu!!

DSC_1095

Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Mhe. Bahame Tom Nyanduga akielezea mambo mbalimbali katika semina hiyo. kulia kwake ni afisa kutoka DIGNITY, Bi. Brenda Van Den Bergh. (Picha zote na Mpiga picha wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora).

Na Rabi Hume,Modewjiblog

Tume ya haki za binadamu na utawala bora ikishirikiana na Taasisi ya haki za binadamu kutoka Denmark (DIGNITY) wamefanya semina inayohusu haki za binadamu   kwa kutoa elimu kwa asasi mbalimbali kuhusu...

 

9 years ago

Michuzi

MAHAKAMA YA HAKI ZA BINADAMU YAADHIMISHA SIKU YA HAKI ZA BINADAMU AFRIKA JIJINI ARUSHA

Wanafunzi wa Shule ya Msingi Mariado na walimu iliyopo Usa River ,wilaya ya Arumeru mkoa wa Arusha wakiwa katika picha ya pamoja waliposhiriki maadhimisho ya Siku ya Haki za Binadamu barani Afrika katika Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu iliyofanyika Oktoba 21 na kudai haki za wenye ulemavu wa ngozi(Ualibino) kulindwa kama wananchi wengine
Mwanafunzi Kelvin wa shule ya Mariado akiimba wimbo Umoja wa Afrika(AU)ambao ni maalumu wakati wa shughuli za umoja huo zinapofanyika.
Kamishna wa Tume...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani