Mchina adakwa na fuvu la swala, mifupa ya twiga
Raia wa China, Pianan Li (51), amekamatwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), akiwa na mifupa miwili ya twiga na fuvu la kichwa cha swala likiwa na pembe zake.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
StarTV14 Apr
Fuvu, mifupa yakutwa imetapaka Mwatulole Geita
Na Salma Mrisho,
Geita.
Wakazi wa Mwatulole Mjini Geita wameiomba Halmashauri ya Mji huo kuingilia kati suala la viwanja vilivyotelekezwa katika maeneo yao kwa muda mrefu ambavyo kwa sasa vimegeuka pori la maficho ya wahalifu.
Katika tukio lililowashtua wakazi wengi wa eneo hilo fuvu na mifupa inayosadikiwa kuwa ni ya binadamu imekutwa imetapakaa kwenye vichaka vya nguzo mbili mjini Mwatulole hali iliyowapa hofu wananchi na kuiomba Halmashauri ya Mji kufyeka pori hilo.
Wakazi wa eneo...
10 years ago
Mwananchi12 Feb
Mzungu akamatwa na fuvu la binadamu
11 years ago
Tanzania Daima19 Apr
Fuvu la kichwa lakutwa Chanika
WATU watatu wameripotiwa kufariki dunia jijini Dar es Salaam juzi katika matukio tofauti akiwamo mmoja aliyekutwa fuvu la kichwa pekee. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ilala, Marietha Minangi, alisema kati...
10 years ago
Mwananchi14 May
Mwenyekiti wa kijiji akutwa na fuvu la binadamu
10 years ago
Mwananchi11 Oct
Sir Andy Chande: Nilirejesha fuvu la Zinjanthropus nchini
9 years ago
Habarileo23 Aug
Sita wahukumiwa kifo kwa kumpasua fuvu mwenzao
MAHAKAMA Kuu ya Tanzania, Kanda ya Sumbawanga imewatia hatiani watu sita na kuwahukumu kunyongwa hadi kufa kwa kosa la kuua kwa kukusudia. Waliohukumiwa kunyongwa hadi kufa ni Oden Msongela (40), Philibert Majaliwa (20), Edwin Simba (30), Sabas Alfred (19),Wenseslaus Kakwale (30) na Maiko Simfukwe (33). Hukumu hiyo imetolewa na Jaji Mfawidhi wa Mahakama hiyo, Mwakipombe Sango.
10 years ago
Mtanzania01 Oct
Vicky Kamata adakwa polisi
![Mbunge wa Viti Maalumu (CCM), Vicky Kamata](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/10/Vicky-Kamata.jpg)
Mbunge wa Viti Maalumu (CCM), Vicky Kamata
MBUNGE wa Viti Maalumu, Vicky Kamatta (CCM), amekamtwa na Polisi Mkoa wa Dodoma kwa tuhuma za kuwatumia ujumbe mfupi wa simu za matusi wabunge wenzake.
Chanzo ncha kuaminika kutoka mjini Dodoma kiliambia MTANZANIA kuwa kwa kipindi cha miezi kadhaa Vicky amekuwa akituma sms za matusi kwa wabunge wenzake wa viti maalumu kupitia CCM, Catherine Magige na Lucy Mayenga ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Uyui.
Taarifa zaidi zinasema kuwa wabunge hao walikuwa...
11 years ago
Mwananchi25 Mar
Mmarekani adakwa na dawa za kulevya
10 years ago
Mwananchi23 Oct
Mtumishi ‘adakwa’ akiondoka na dawa